Nilichokiomba nimekipata lakini

Nilichokiomba nimekipata lakini

heshima kwenu..!
kwa wale mnaokumbuka katikati ya mwaka jana nilijitokeza hapa kuomba ushauri baada ya kugundua mchumba niliyetaka kumwoa ana uhusiano na baba yake mzazi!
kutokana na story ilivyokuwa wengi walinishauri kuachana na binti huyo.
Ingawa nilimpenda sana niliamua kumwacha na mpaka sasa nshazoea,
Nimekaa miezi kadhaa bila kuwa na mahusiano na binti yeyote.
Nilijenga imani kwamba pengine nikipata binti ambaye bado bikira(hajaguswa) ndiye atanifaa kuoa,
Inaendelea..............


Wewe ni BIKIRA? Acha kuwachezea wanawake babu wewe!
 
Hii style ya kutoa story nusu ndio ya mwaka mpya au??? Maana sielewix2..
 
Kaa nae mweleze ni jinsi gani unavyompenda na target zako kwake naamini atkuelewa na kutulia na wewe ulikuwa wapi mpaka mzigo unaliwa,chunga mali zako bana

hapo bado hajakutana na wataalam wa mgegedo, wazuri zaidi ya jamaa. aendelee na uvumilivu, subira yavuta heri bhana.. binti akimaliza tuition atatulia tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom