Nilichogundua: WanaJF wengi ni maskini jeuri

Nilichogundua: WanaJF wengi ni maskini jeuri

Tatizo unataka kile unachokiamini wewe kiwe sawa kwa wote.
 
Maisha ni muda.. Maisha ni nyakati... Chochote kinachobebwa na muda na nyakati ndio maisha yenyewe... Nje ya muda nje ya nyakati hakuna maisha
Nina swali ndogo tu kwako wewe uliye na knowledge ya maisha..
Je maisha ni nini..?

Jr[emoji769]
 
Hakuna mchumi bahili aiseee na ukiona ana gawa pesa jua anazo na Kama Hana anajua anazitoa wapi

Nilichogundua una element flan hv za wivu wa kimaendeleo ambao hauna tija kwako

Maisha haya fanya ya kwako mambo ya mtu Ni choo achana nayo yatakuchafua

Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh teeeeeeh!!

Kati ya watu walimkalia kooni mtu fulani humu kwa kufanya yake nawe ulikuwemo, sikujua kuwa nawe hiyo aya ya mwisho waifahamu na kuizingatia[emoji134]
 
Ata nikikueleza haitosaidia maana we si mimi na utataka ubishi wa kitoto, maana we’re two beings living in different worlds
Sasa kumbe ulikuwa unatugombezea nini kijana!!!!!
 
Kuna thread apo nyuma nimetoa mda si mrefu, ila na nimegundua vitu kadhaa kutoka kwa wana JF wenzangu humu ambao wako maeneo tofauttofaut ya Tanzania

-Wengi ni Masikini Jeuri,
Inashangaza umeandika thread from nowhere mtu anakuja na kutengeneza dhumuni ya nilichoandika ili ionekane dhumuni lake ndo sahihi, mtu from nowhere anakuja kuanza kuponda mleta mada kuhusu hella wakati hujui hali ya kiuchumi ya mleta mada,
Kitendo cha mtu kuona dhumuni kuu la kile nilichoandika ni pessa basi inamaanisha dhumuni kuu la wachangiaji ni pessa, hii inamaanisha wengi huishi kila siku kwa kuona pessa kama changamoto sana kwa upande wao
Hii phenomenal pia inaaply kwann Ukiwa Mchungaji au Mkuu wa serikali au ukiunda kikundi cha maendeleo watu waanze kuhisi negative kuhusu wewe bila kuangalia madhumuni mengine makuu uliomaanisha
Sasa shida ya waliomo humu JF ni kujifanya wanaponda mleta mada na kumtoa uvivu atoe pessa kana kwamba wao wana ghala la hella
Acheni


-Wengi ni Hawajui matumizi ya hella na kinapelekea wengi kuwa maskin
Inanishangaza sana mtu anaona kutumia hella hovyohovyo ni ujanja na kuwa bahili ni jambo baya, hii inaonesha dhahili kwann africa hatuendelei
Kutumia hella vibaya sio sifa, ni ujinga,
Ndo maana mtu akipiga dili akapata kimillion hamsini chake anaanza kutamba kwa kutembea na kuishi maisha ya ki billionaire, unakuta mtu anakuwa adi na wapambe kisa million 50, baadae zinaisha anashangaashangaa na kwenda kwa waganga

Wengi wenu hamjui maisha na hamna knowledge ya kuyaishi,
Ndo maana watu kama akina made-up Kiduku Lilo wanakuja kuwadanganya jinsi matajiri wanavyoishi,
we jamaa ushasema tusikupinge dhumuni lako Sasa la kiduku lilo kwa nini unalipinga.....na kama unajua kwamba hapa hatujuani vipato kwa nini useme kiduku lilo no mwongo...??
 
Back
Top Bottom