Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 10,000
- 16,203
🤣 🤣 🤣 🤣
Muhurumien basi kama mmUnataka ukileta uzi wooote mfanane mawazo Kama mbuzi was milimani?
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣 🤣 🤣 🤣
Muhurumien basi kama mmUnataka ukileta uzi wooote mfanane mawazo Kama mbuzi was milimani?
Sent using Jamii Forums mobile app
It depends with someone’s perspective
You’ll be foolish to expect the same answer with me
Kaja kutufokea anataka kila mada watu waendane na mawazo yake banaMuhurumien basi kama mm
🤣 🤣
Sawa.. nachohitaji ni kujua maisha ni nini kwa jinsi unavyoelewa wewe.. Haya niambie maisha ni nini?It depends with someone’s perspective
You’ll be foolish to expect the same answer with me
Katika maisha fanya kile ambacho kwako n sahihi kufanya ukiangalia wenzio wanafanya Nini au wanatumia pesa hovyo hovyo utaumia Sana
Kila mtu anautafutaj wake na mipango yake katika maisha yake ya dunian kwahyo usiongee Sana utaumia Sana
Pesa Ni Zaid ya maji inapopatikana lazima utumie huwez kujitesa wakat una milion kadhaaa bank
Na akuna tajiri alieanzia na ubahir kuwa tajiri na angali watu wote mabahiri utajiri wao Ni wa kishirikina
Sent using Jamii Forums mobile app
Afu wee jamaa umejuaje..Huenda kadogo flani kamejikalia chumba giza kinarusha mawe mtaani tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mchumi bahili aiseee na ukiona ana gawa pesa jua anazo na Kama Hana anajua anazitoa wapiSiongelei ubahili huo unaodhania
Ubahili wa kugawa hella kama karanga ndo nauongelea,
Ubahili wa kuwa mchumi ndo naouongelea,
Kwenye hao wengi mie nitoe..
Nimekupa za mwakinyo kubali mkuu umeshindwa..yaani ungejibu hili swali ungekula maswali mahususiAta nikikueleza haitosaidia maana we si mimi na utataka ubishi wa kitoto, maana we’re two beings living in different worlds
Sasa kwanini unawaponda wenzio kuwa hawajui maisha wakati jibu unalo?It depends with someone’s perspective
You’ll be foolish to expect the same answer with me
Mkuu eti umesema kwamba...!!? Ongeza SAUTI huku nyuma husikiki vizuri.It depends with someone’s perspective
You’ll be foolish to expect the same answer with me