Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,402
- 58,951
Dahhhh..Jf kama umeleta mada/thread ikatokea mchngiaji wa kwanza, pili na tatu wakuponda basi na wengine wote watakaofata watakuponda, yaani kuna vichwa maji humu balaa.
Pia kuna wale wakongwe wa jf, hao hata wakiongea utumbo watu watasifia tu. Kuna ujinga mwingi sana humu.
Pia watu wengi wanaishi maisha fake sana, yaani jf kila mmoja kafika chuo kikuu, ana gari, amejenga Mbezi, yaani ni full ku-fake maisha hadi aibu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaniuma sana.....It depends with someone’s perspective
You’ll be foolish to expect the same answer with me
Wahivyo wanakua wanajinyoosha na line za chuo, na yashukuriwe makampuni ya simu siku hizi minara inasoma popote ulipo.Inaeelekea hadi mwaka unaisha hujawahi jiunga bando la 10,000 hata mara moja. Pole sana.
Hapo yeye amemaliza na cheti ametunukiwa. Mwambieni Ras Simba aje achukue voda fasta yake huku imekosea mtandao.
anzishia Uzi upate majibu tofaut tofaut
Nimefika chuo ila sina hela. Nipe deal nianze kuwa maskini jeuriJf kama umeleta mada/thread ikatokea mchngiaji wa kwanza, pili na tatu wakuponda basi na wengine wote watakaofata watakuponda, yaani kuna vichwa maji humu balaa.
Pia kuna wale wakongwe wa jf, hao hata wakiongea utumbo watu watasifia tu. Kuna ujinga mwingi sana humu.
Pia watu wengi wanaishi maisha fake sana, yaani jf kila mmoja kafika chuo kikuu, ana gari, amejenga Mbezi, yaani ni full ku-fake maisha hadi aibu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha unoko wewe, kila siku watu wanalia shida hapa jamii forum wengine wanatafuta kazi, wengine wana omba kuchangiwa ada za vyuo, wengine wanaomba mitaji wengine wanaomba mawazo ya kuanzisha miradi midogo midogo n.kWatema povu wote humu wana maisha choka mbaya. Usikute hata bandle la kuingia JF wanagongea ili waonekane matawi. Zamani kuna msemo ulisema "unadhifu huficha umaskini" ila siku hizi "internet inaficha umaskini zaidi". Maana kila mtu hapa anajinasibu kuwa ametusua life. Hakuna choka mbaya JF.
Sent using Jamii Forums mobile app
nitafutie sehemu Depal nilisema nina gari 😎 usipende kujumuisha watu kiivyo mkuu its better useme baadhi yao wana JF.Pia watu wengi wanaishi maisha fake sana, yaani jf kila mmoja kafika chuo kikuu, ana gari, amejenga Mbezi, yaani ni full ku-fake maisha hadi aibu!
Watu wanongea ukweli wengne hatujui hata kujiunga Ni nin aiseee na muda wa kujiunga hatuna tunaweka pesa tuna ongea tu bando tuna waachia wanafunziWatema povu wote humu wana maisha choka mbaya. Usikute hata bandle la kuingia JF wanagongea ili waonekane matawi. Zamani kuna msemo ulisema "unadhifu huficha umaskini" ila siku hizi "internet inaficha umaskini zaidi". Maana kila mtu hapa anajinasibu kuwa ametusua life. Hakuna choka mbaya JF.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani huyo USA baby au?Jf kuna platinum member mmoja hiviii hata sijui alipewaje pewaje..
Cha ajabu ni kwamba ndo yeye yeye anaongoza kwa kula ban
Wewe nae kiazi. Id fake inaionea vipi aibuJf kama umeleta mada/thread ikatokea mchngiaji wa kwanza, pili na tatu wakuponda basi na wengine wote watakaofata watakuponda, yaani kuna vichwa maji humu balaa.
Pia kuna wale wakongwe wa jf, hao hata wakiongea utumbo watu watasifia tu. Kuna ujinga mwingi sana humu.
Pia watu wengi wanaishi maisha fake sana, yaani jf kila mmoja kafika chuo kikuu, ana gari, amejenga Mbezi, yaani ni full ku-fake maisha hadi aibu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo "bandle" ilibidi iwe "bundle". Sijatema povu bali nimekusahihishaWatema povu wote humu wana maisha choka mbaya. Usikute hata bandle la kuingia JF wanagongea ili waonekane matawi. Zamani kuna msemo ulisema "unadhifu huficha umaskini" ila siku hizi "internet inaficha umaskini zaidi". Maana kila mtu hapa anajinasibu kuwa ametusua life. Hakuna choka mbaya JF.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maskini jeuri ni msemo tu usiutie kwenye akili.Hii uzi wako ni ukweli maana jana nlikutana na mada hapa nkabak nachek mwenyew eti mtu kabsa anaanzisha mada kwanin wamiliki wa magar wanawasha AC wakat wa mvua? Kwamba ni ushamba, Hahhaa sasa yeye inamuhusu nini wakat gari ni yake ana maamuzi ya kuwasha au kuzima. JF humu wengi wetu ni maskini tena wale jeuri
Sent from my iPhone using JamiiForums