Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 10,439
- 36,103
- Thread starter
-
- #41
Kama hujui tu, mvuta bangi ndio ana uhalali mkubwa zaidi wa kumuumbua muongo na mnafiki kuliko asiyevuta bangi.Unacho sema ni sahihi lakini nani anapaswa kuwaonya hao 🌝 maana mvuta bangi hawezi kumwambia mwenzake aache bangi😁 hata akimwambia hawezi kumfokea vikali
Asanteni ☺️
...Zamani tulipokuwa na Munishi TU kwani nyimbo za INJILI hazikuwepo ? msitutishie kuacha Kuimba, acheni Ufuska !!Kwahiyo ndio mnatusimanga..? Tutaacha kuimba muanze kuhangaika kwa kukosa vibe za nyimbo za kidini nyie tusengenyeni Tu!
Injili sio usanii bali ni uweza wa Mungu uletao wokovu kwa watu wote. Utahubirije kile usichokiamini au usichokitaka kukiishi.Do as I Say.., not as I Do..., Mantra kama hio ndio ninayoitumia hapa Jukwaani na kwenye Maisha yangu naangalia Nguvu ya Hoja na sio Mtoa Hoja...
Kutangaza Injili ni lazima ufanye kwa matendo ? - Kama wanatangaza kwa ujumbe na Ujumbe kwenye ule wimbo unakwenda mainstream huoni kwamba wanakidhi the objective kuliko hata yule anayekesha na kusali lakini hana medium ya kufikisha ujumbe ?(hata kama wanafanya wapate pesa - the end justifies the means)
Mimi nimeamua kufunguka hapa JF ili kuwafungua na wengine. Kuhusu viongozi wa dini, hilo pia ninalifahamu, ipo siku yao nitawapiga nyundo nzito pia.
Kama hujui tu, mvuta bangi ndio ana uhalali mkubwa zaidi wa kumuumbua muongo na mnafiki kuliko asiyevuta bangi.
Haihitaji kuwa mwema au mbaya ili kumuonya anayekosea ili kuwalinda wengine. Tusiogope kuwanyoshea kidole wale wote wanaoharibu taswira ya imani zetu kisa sisi pia sio wasafi. Uovu upingwe na watu wote.
Hizo ni Imani na Maisha ya mtu huwezi kumpangia jinsi ya kuishi..., ninavyosikiliza mfano Nibebe ya yule sijui nani sisikilizi sababu anaishi maisha kama aliyoishi mama Theresa hata kama akiwa Teja ila kazi aliyofanya ni nzuri na inaburudisha..., tukiseme watakatifu ndio waimbe playlist ya wengi itatoka kwenye nyimbo za kutosha na kushuka mpaka sifuri....Injili sio usanii bali ni uweza wa Mungu uletao wokovu kwa watu wote. Utahubirije kile usichokiamini au usichokitaka kukiishi.
Kama maisha yako hayana muunganiko wa moja kwa moja na injili unayoihubiri au kuimba, maana yake hiyo ni dhihaka kubwa kwa Mungu na malengo yako yatakuwa kuitumia injili vibaya (kibiashara!) na mwisho utaishia kupotosha watu.
Kwa kifupi sana Mhubiri (muimbaji) wa injili anapaswa kuwa na maisha masafi ili kulinda ushuhuda
Hizo ni Imani na Maisha ya mtu huwezi kumpangia jinsi ya kuishi..., ninavyosikiliza mfano Nibebe ya yule sijui nani sisikilizi sababu anaishi maisha kama aliyoishi mama Theresa hata kama akiwa Teja ila kazi aliyofanya ni nzuri na inaburudisha..., tukiseme watakatifu ndio waimbe playlist ya wengi itatoka kwenye nyimbo za kutosha na kushuka mpaka sifuri....
Usifuate matendo ya mtu bali sikiliza neno kama lina mantiki na kama halina achana nalo....., After all hata kwenye vitabu kina Daudi, Suleiman n.k. maisha yao huenda yalikuwa ya hovyo kuliko hata hawa wa sasa
Sasa kule studio wanarecord bure? Haikuandikwa kuwa mtumishi wa Mungu atakula madhabahuni?Mtu yeyote anayekutoza pesa ili atoe huduma inayohusiana na Injili huyo ni pepo tapeli
Mpigie simu Boni Mwaitege, Rose Muhando, Christina shusho nk dau watakalokutajia ndipo utajua kuwa wanatoza ili kufidia gharama za kurekodi au wana agenda nyingineSasa kule studio wanarecord bure? Haikuandikwa kuwa mtumishi wa Mungu atakula madhabahuni?
kuwa na adabu kijana...Zamani tulipokuwa na Munishi TU kwani nyimbo za INJILI hazikuwepo ? msitutishie kuacha Kuimba, acheni Ufuska !!
maana nikasisitiza hakuna alie mkamilifu ( sisi ni binadamu) hivyo tuwaombee maana shetani yupo kazini na anawalenga zaidi watendakazi ambao wanawakumbusha watu kuhusu uwepo wa MunguHata Diamond, Harmonise au Zuchu (tena akiwa na mtindo wa maisha ulio kinyume na Yesu) anaweza kuimba nyimbo za Injili na watu wakabarikiwa. Hivyo kuimba gospel na watu wakapata vibe ya gospel sio issue. Issue inakuja pale tunataka kuhusianisha injili unayoihubiri (kuimba) na maisha unayoishi, kama haviko sambamba tunapaswa kukuonya wazi wazi, maana huo ni usanii wa kidunia kwa mgongo wa injili. Hatuutaki, maana unaua thamani ya Injili kwa watu wanaomtafuta Yesu maishani mwao. Ni dhihaka.
tena wengine ni waovu, ndio maana nyimbo zao hazina upakoWatu wemegeuza Dini fursa na ubaya hakuna wa kukemea Kila mmoja anatetea na kuvuta upande wake.