Wewe Acha ujinga na elimu yako kuunga unga. Tunalinganisha majiji wewe ubachanganya mkoa na jiji. Wewe fanya utafiti kati ya majiji haya mawili ni lipi watu wengi wanapenda kuhamia na kuishi. Jibu utalipata kwamba ni Mwanza.
Factors zinazochangia immigrations/population kubwa Mwanza ni hizi.
- Mwanza imezungukwa na mikoa masikini sana
- Mwanza maisha marahisi (sababu mtu akifungua biashara Mwanza anamlenga mvuvi - low income people)
- Mwanza wanazaliana kwa wingi
- Mwanza population ni kubwa
- Wakazi wa Mikoa jirani ya Mwanza wana ndugu wengi Mwanza ( higher immigrants low emigrants)
- Wengi wanaokuja Mwanza wanakuja kutafuta maisha from the scratch.
- Wengi wanaokuja Mwanza ni tegemezi na elimu yao ni ndogo.
Factors zinazochangia immigrations/population ndogo Arusha
- Arusha imezungukwa na mikoa yenye hali bora za kimaisha (HDI) Kilimanjaro na Manyara. (Ina fertile soil, major tourism attraction, reliable economic activities) hawa wakija Arusha wanakuja kuwekeza sio kutafuta vibarua.
- Arusha maisha ni ghali (higher cost of living) threat kubwa kwa mlalahoi kuja kuanzia maisha. (Mtu akifungua biashara Arusha anamlenga mtalii - high income people)
- Birth rate ya Arusha ni minimum
- Population ya Arusha ni ndogo
- Wakazi wengi wa Arusha wanaondoka Arusha na kuenda kutafuta maisha mikoani
(Higher emigrants lower immigrants)
- wengi wanaokuja Arusha ni watu wa mataifa yaliyoendelea (tourists) hawa wanakuja kuwekeza, kuoa/kuolewa. kuleta new developed lifestyles, partnership na wenyeji in positive movements.
- Arusha kuna wakazi wengi wanaonda nchi za ulaya na marekani kusoma au kufanya kazi hivyo huwasaidia familia zao in many ways mfano ni shule za St Jude inayotoa elimu standard ya ulaya bure kwa maelfu ya watoto masikini wa Arusha wengi wa wanafunzi wake wenye uelewa wa hali ya juu hupelekwa marekani na Canada kusoma higher education with 100% free sponsorship.