Nilichogundua kuhusu Arusha

Nilichogundua kuhusu Arusha

Mkuu labda na wewe hujaelewa, swali jiji la arusha linaindwa na manispaa ngapi? Na je unajua jiji la mwanza linaundwa na manispaa ngapi?.
kama arumeru ni sehemu ya jiji la arusha hapo uko sawa. Lakini kama siyo hivyo utakuwa haupo sahihi kubisha kwa maana jiji la mwanza limeundwa na manispaa mbili. Ingekuwa mkoa mzima si ungeona sengerema, ngudu, missungwi nukerewe na magu zikitajwa.
Kama haujui ni kwamba in budget functionality and accountability ni Nyamagana IPO responsible wala sio ilemela ndiomana kwenye kila kikao cha madiwani wa Mwanza jiji wanawaita madiwani wa nyamagana ni madiwani wa jiji na wa ilemela ni madiwani wa ilemela.

Sio typing error muandiashi kaandika budget ya jiji na budget ya ilemela bali ndivyo inavyotakiwa iwe nenda kaulize wausika kesho.

Hautasikia madiwani wa nyamagana kwenye kikao cha jiji Bali wao ndio jiji ilemela wapo in cooperation with some other issues but quite different from city budget.

Soma hii taarifa nayo kama wameikosea.

Madiwani Mwanza wapitisha mpango kabambe wa jiji | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today
 
Kuna mtu kasema hakuna kitu ambacho mwanza inaizidi arusha zaidi ya population

Kwa mujibu wa ripoti ya Benki kuu ya Tanzania(BOT),Dsm ndio mkoa unaoongoza kwa kuchangia pato la taifa.

1. Dar-es-salaam(GDP-7.5 trilion)
2. Mwanza(GDP-4.09 trilion)
3. Mbeya(GDP-3.2 trilion)
4. Shinyanga
5. Iringa
6. Morogoro
7. Arusha(GDP-2.1 triliom)
8. Tanga(GDP-2.09 trillion)
9. Kilimanjaro(GDP-2.03 trillion)
 
Okay Fanya ulinganifu wa superiority ya Arusha na Mwanza from their recent cities budget in comparison.

Mwanza

Madiwani wapitisha bajeti
Baraza la madiwani la Halmashauri ya jiji la MWANZA limepitisha makadirio ya mapato na matumizi ya shilingi Bilioni 87 katika mwaka wa fedha wa 2016/2017

Madiwani wapitisha bajeti - TBC.go.tz

Arusha

bajeti ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2016/2017 ya Halimasahauri ya jiji la Arusha hatimaye jambo hilo limewekwa hadharani ambapo kiasi cha shilingi bilioni 109 zimepitishwa na baraza la madiwani kwa ajili ya kuanza kutekeleza mipango ya kimaendeleo.

CHAGUO LA MSOMI | UNLIMITED NEWS

Sasa nikupa range ya cash budget deposits in hand ya hizo halmashauri mbili unaweza kuhama Mwanza .
Simaanishi kuwa mwanza inaweza izidi arusha as cities...but gape litakuwa dogo sana na huenda hata lisiwepo halmashaur ya jiji ina undwa na wilaya ya nyamagana completely hata hata hvyo kuna vitu wanashare na manispaa ya ilemela....hvyo budget ya jiji unatakiwa ujumlishe bill 87 + bill 54 kama skosei ambapo utakuta total ni bill 141....kwa mji mzima, sjajua kama hyo inaweza kuwa relevant indicator ya ukusanyaji mapato na kama ikiwa applicable bas Mwanza city inakusanya more money kuliko jiji la arusha but kimkoa arusha inakusanya zaid kuliko mwanza
 
I'm done with you... Unaomba laki 2 mitandaoni????
Maliza kutafuna kiroba ukalale wewe, giza limeshaingia huko polini,unalazimisha hicho ki manispaa kuwa jiji? We wa wapi?.
Yani mezidiwa hata na kahama ndiomana shangwe limepita kule sababu kuna hela😀
 
Last time I checked Arusha ina viwanda vingi kuliko Mwanza...

Arusha mwaka 2014/15 zimefunguliwa biashara mpya 7500 wakati Mwanza 3200... Hizi ni official si blah blah..

Rudi kwenye ID yako ya siku zote usifiche ujinga huku...
Mkuu hzi data ni kimkoa hebu tuingie chimbo zaid
 
Kuna mtu kasema hakuna kitu ambacho mwanza inaizidi arusha zaidi ya population

Kwa mujibu wa ripoti ya Benki kuu ya Tanzania(BOT),Dsm ndio mkoa unaoongoza kwa kuchangia pato la taifa.

1. Dar-es-salaam(GDP-7.5 trilion)
2. Mwanza(GDP-4.09 trilion)
3. Mbeya(GDP-3.2 trilion)
4. Shinyanga
5. Iringa
6. Morogoro
7. Arusha(GDP-2.1 triliom)
8. Tanga(GDP-2.09 trillion)
9. Kilimanjaro(GDP-2.03 trillion)
Tuwekee Link ya hichi unachosema tafadhali... hahahahahaha wewe unachukua porojo huko unaleta hapa..

Weka link au chapisho la BOT hapa lililosema hicho kitu mnachodanganyana miaka nenda rudi
 
Mkuu hzi data ni kimkoa hebu tuingie chimbo zaid
Mkuu leta tuu...!!! Hakuna mtu atakayeingia mitini
Hujaona nimekuwekea hapo?? Naona umezisoma alafu umepita kimya kimya...

Haya Property Tax and Land Rent ya hayo majiji inaonyesha Arusha ikiwaghalagaza mara mbili zaidi ya mnachokusanya.. Hapo chini hizo ni za mwaka wa fedha 2012/13.. Nitatafuta za latest nadhani hizo ndizo gap litakuwa 3 times... Hizi ni za majiji si mkoa.. Sasa sijui na hapa mtasingizia kitu gani..

mwanza.png
Arusha City.jpg
 
Kuna mtu kasema hakuna kitu ambacho mwanza inaizidi arusha zaidi ya population

Kwa mujibu wa ripoti ya Benki kuu ya Tanzania(BOT),Dsm ndio mkoa unaoongoza kwa kuchangia pato la taifa.

1. Dar-es-salaam(GDP-7.5 trilion)
2. Mwanza(GDP-4.09 trilion)
3. Mbeya(GDP-3.2 trilion)
4. Shinyanga
5. Iringa
6. Morogoro
7. Arusha(GDP-2.1 triliom)
8. Tanga(GDP-2.09 trillion)
9. Kilimanjaro(GDP-2.03 trillion)
Mbona sasa umeishia kuzitazama tu au haujui zinavyotumika???

Sasa anza kuzigawanya hizo pesa kwa kila mkazi wa mkoa husika uone mategemeo yako yatakavyokwenda mrama.
 
Simaanishi kuwa mwanza inaweza izidi arusha as cities...but gape litakuwa dogo sana na huenda hata lisiwepo halmashaur ya jiji ina undwa na wilaya ya nyamagana completely hata hata hvyo kuna vitu wanashare na manispaa ya ilemela....hvyo budget ya jiji unatakiwa ujumlishe bill 87 + bill 54 kama skosei ambapo utakuta total ni bill 141....kwa mji mzima, sjajua kama hyo inaweza kuwa relevant indicator ya ukusanyaji mapato na kama ikiwa applicable bas Mwanza city inakusanya more money kuliko jiji la arusha but kimkoa arusha inakusanya zaid kuliko mwanza
Hamna kitu kama hicho halmashauri ya jiji ni nyamagana na ilemela inayo halmashauri yake na wanakusanya mapato yao independently.

Manispaa yawageuzia kibao wafanyabiashara
 
Hamna kitu kama hicho halmashauri ya jiji ni nyamagana na ilemela inayo halmashauri yake na wanakusanya mapato yao independently.

Manispaa yawageuzia kibao wafanyabiashara
Mkuu kama ni hivyo bas jiji la Mwanza lina wakazi 370000 kama sikosei...na kwa mantik hyo arusha ambayo Ina wakazi around 400000 inakuwa the second largest city in Tanzania.....cjui umenielewa? Kama sivyo kuna kitu hakiko sawa
 
Hujaona nimekuwekea hapo?? Naona umezisoma alafu umepita kimya kimya...

Haya Property Tax and Land Rent ya hayo majiji inaonyesha Arusha ikiwaghalagaza mara mbili zaidi ya mnachokusanya.. Hapo chini hizo ni za mwaka wa fedha 2012/13.. Nitatafuta za latest nadhani hizo ndizo gap litakuwa 3 times... Hizi ni za majiji si mkoa.. Sasa sijui na hapa mtasingizia kitu gani..

View attachment 407443 View attachment 407444
bwana Fisadi umekunywa Dadii..?! Nimekuja kugundua wanapotaja Mwanza City wanaongelea Nyamagana, kumbe kuna Ilemela Municipal...
 
Back
Top Bottom