Nilichogundua kuhusu Arusha

Nilichogundua kuhusu Arusha

Hamna kitu kama hicho halmashauri ya jiji ni nyamagana na ilemela inayo halmashauri yake na wanakusanya mapato yao independently.

Manispaa yawageuzia kibao wafanyabiashara
Sikia mkuu huwez tenganisha jiji la Mwanza na manispaa ya ilemela, mwka 2013 kikwete alitishia kulifuta jiji la Mwanza baada ya kutokea Mzozo mkubwa Wa mipaka. .but akasema ameipandisha ilemela kuwa manispaa but sio kuelimimate frm mwnza city...la sivyo Mwanza haina hadh ya jiji...hvyo huwez kuitoa ilemela kwenye jiji la mwza..
Mkuu hebu pitia hii link
Mwanza washikana mashati kuhusu mipaka ya jiji hilo na manispaa ya Ilemela....Rais KIKWETE atishia kulifuta jiji la Mwanza. | MPEKUZI
 
Mkuu kama ni hivyo bas jiji la Mwanza lina wakazi 370000 kama sikosei...na kwa mantik hyo arusha ambayo Ina wakazi around 400000 inakuwa the second largest city in Tanzania.....cjui umenielewa? Kama sivyo kuna kitu hakiko sawa
Wewe ndio kichwa ngumu nimekwambia ilemela na nyamagana wanashiriki kila kitu lakini budget kila mmoja anajitegemea na kuna mwenzako wa Mwanza hapo juu amekuambia.

Ila nyamagana ndio inachukuliwa kama jiji na ndio ipo responsible kwa budget ya jiji mbona ipo simple tu.
Sikia mkuu huwez tenganisha jiji la Mwanza na manispaa ya ilemela, mwka 2013 kikwete alitishia kulifuta jiji la Mwanza baada ya kutokea Mzozo mkubwa Wa mipaka. .but akasema ameipandisha ilemela kuwa manispaa but sio kuelimimate frm mwnza city...la sivyo Mwanza haina hadh ya jiji...hvyo huwez kuitoa ilemela kwenye jiji la mwza..
Mkuu hebu pitia hii link
Mwanza washikana mashati kuhusu mipaka ya jiji hilo na manispaa ya Ilemela....Rais KIKWETE atishia kulifuta jiji la Mwanza. | MPEKUZI

Mimi sijakuambia ilemela sio sehemu ya jiji la Mwanza ila nimekuambia budget ni nyamagana.

Ulishawahi kuona meya wa jiji na naibu wake wanatoka ilemela?

Kila jiji lina mfumo wake wa muundo tofauti na vyanzo vyake vya mapato mfano jiji la dar moja ya chanzo chake kikuu cha mapato ni ubungo hivyo vingine vinashikiliwa na halmashauri za kinondoni temeke na ilala.

Mwanza eneo la jiji ni nyamagana na ilemela lakini tukija kwenye muundo wa uongozi wa jiji na makusanyo ya kodi na budget nyamagana inasimama kama jiji na ilemela kama municipal council.

Ina haiwezekani zijitenge ukisema jyamagana pekee iwe jiji geographically mwaloni airport nyakato maeneo muhimu kwa jiji la Mwanza yatakua ilemela kitu kisicholeta maana.

Point ni kwamba nyamagana yote ni mjini na ilemela nusu ni mjini that's why zikaunda jiji under agreed conditions kama nilivyozitaja hapo.
 
Sifa mojawapo ya jiji lolote duniani lazima liwe na uwezo wa ku atract watu kutoka miji na mataifa mengine kuja kuwekeza, ndiomana Dar na Mwanza zinaongoza kuwa na sifa hiyo ya ku atract hao unaowaita washamba kutoka mikoani ikiwemo Arusha kuja mjini maana ndio kwenye kila kitu. We unafikili akina joe makini bila kuja mjini dar muziki wao watamuuzia nani wakati arusha hamzijui shangwe,? 😀
Atract - Attract

Cc: FisadiKuu
 
Wewe ndio kichwa ngumu nimekwambia ilemela na nyamagana wanashiriki kila kitu lakini budget kila mmoja anajitegemea na kuna mwenzako wa Mwanza hapo juu amekuambia.

Ila nyamagana ndio inachukuliwa kama jiji na ndio ipo responsible kwa budget ya jiji mbona ipo simple tu.

Mimi sijakuambia ilemela sio sehemu ya jiji la Mwanza ila nimekuambia budget ni nyamagana.

Ulishawahi kuona meya wa jiji na naibu wake wanatoka ilemela?

Kila jiji lina mfumo wake wa muundo tofauti na vyanzo vyake vya mapato mfano jiji la dar moja ya chanzo chake kikuu cha mapato ni ubungo hivyo vingine vinashikiliwa na halmashauri za kinondoni temeke na ilala.

Mwanza eneo la jiji ni nyamagana na ilemela lakini tukija kwenye muundo wa uongozi wa jiji na makusanyo ya kodi na budget nyamagana inasimama kama jiji na ilemela kama municipal council.

Ina haiwezekani zijitenge ukisema jyamagana pekee iwe jiji geographically mwaloni airport nyakato maeneo muhimu kwa jiji la Mwanza yatakua ilemela kitu kisicholeta maana.

Point ni kwamba nyamagana yote ni mjini na ilemela nusu ni mjini that's why zikaunda jiji under agreed conditions kama nilivyozitaja hapo.
Mkuu hawa jamaa wamepania tu kubisha na kupotosha. Juzi walilalama tulinganishe mapato ya Jiji la Mwanza na Arusha nimewaletea hapa eti wanasingizia Nyamagana ndogo hehehehe
 
Hahahahahahaaa nashukuru sana mkuu.. Sasa sijui na yeye bingwa wa kukosoa atajiteteaje
Unajua mkuu hapa JF lazima ujue nani ni level yako na pia ujue yule anaekuzidi..

Huyu bwana mdogo ukipambana nae atashusha IQ yako..
 
Mkuu hawa jamaa wamepania tu kubisha na kupotosha. Juzi walilalama tulinganishe mapato ya Jiji la Mwanza na Arusha nimewaletea hapa eti wanasingizia Nyamagana ndogo hehehehe
Mkuu tatizo hawajui namna gani Mwanza ipo doro na hawajui mpaka saivi Central Government Revenue Collection bado inachukulia mapato ya Geita ni ya Mwanza hata baada ya kuwa mikoa tofauti 2012

hivyo hawajui pia hayo mapato kiuhalisia siyo ya Mwanza pekee ikipigwa ya Geita chini Mwanza hawana tofauti na Songwe.
 
Unaleta mboyoyo mingii halafu mfukoni hauna chapaa.
Achana na mimi we mbwigila, unanijua mm wewe au unataka kuleta shobo,hiyo mipasho yenu ya insta msiihamishie humu bana.kila mtu aanze kuonyesha maisha yake humu si umama huo!😀
 
Uonyeshe mara ngapi bhana unaweka bondi vitu vya ndani unakuja kutangaza humu. Utakua tapeli tuu maana hata kitaani hawakuamni ndio maana ukakimbilia Jf.
 
Unajua mkuu hapa JF lazima ujue nani ni level yako na pia ujue yule anaekuzidi..

Huyu bwana mdogo ukipambana nae atashusha IQ yako..

I don't know you,you don't me,let's keep that way and no name calling pls.unaweza ukajifanya unamjua sana mtu humu kumbe ni shemeji au mume mwenzako😀
Tumeshindwa kukubaliana kwenye hoja,basi tupotezeane tu kwani vita hii,?
 
Ulifanikiwa kuweka bond ile laptop?
 
Uonyeshe mara ngapi bhana unaweka bondi vitu vya ndani unakuja kutangaza humu. Utakua tapeli tuu maana hata kitaani hawakuamni ndio maana ukakimbilia Jf.
Mkuu sio tapeli atakuwa mwizi.. Hivi dunia ya leo kama mtu ni mwaminifu utakosa wa kukukopesha hiyo pesa ya bia mpaka ukimbilie mitandaoni.. Tena mbaya mtandao ambao members ni invisible..
 
I don't know you,you don't me,let's keep that way and no name calling pls.unaweza ukajifanya unamjua sana mtu humu kumbe ni shemeji au mume mwenzako😀
Tumeshindwa kukubaliana kwenye hoja,basi tupotezeane tu kwani vita hii,?
I don't know you,you don't me.

Sasa ulivyoshadadia ile yangu jana wewe umeandika nini hapo? Hata kuweka space kati ya neno na neno tu shida.
 
Mkuu tatizo hawajui namna gani Mwanza ipo doro na hawajui mpaka saivi Central Government Revenue Collection bado inachukulia mapato ya Geita ni ya Mwanza hata baada ya kuwa mikoa tofauti 2012

hivyo hawajui pia hayo mapato kiuhalisia siyo ya Mwanza pekee ikipigwa ya Geita chini Mwanza hawana tofauti na Songwe.
Una uhakika na ulichoandika???.
 
Hahahahaha Laptop ya wizi
1474990876337.jpg
 
Mkuu sio tapeli atakuwa mwizi.. Hivi dunia ya leo kama mtu ni mwaminifu utakosa wa kukukopesha hiyo pesa ya bia mpaka ukimbilie mitandaoni.. Tena mbaya mtandao ambao members ni invisible..

Unampangiaje mtu chake?na si ni wewe uliyedai umeni ignore kwakuwa wewe mwelevu,sasa mbona unaendeleza personal attacks kwangu, kwa kutoka nje ya mjadala?huoni kama unaidhalilisha hata hio Iq yako kiduchu uliyonayo😀
 
Back
Top Bottom