Nilichogundua kuhusu Arusha

Nilichogundua kuhusu Arusha

Hivi wewe umeingia kwenye hiyo web au unaongea tu...?! Kwenye hiyo web kuna Halmashauri zote Tanzania na kiasi kilichokukusanywa katika Vyanzo vya Halmashauri yaani Own Source Revenue zipo data mwisho mpaka mwakaa 2012/2013

kuna sehemu unaingiza mwaka unachagua na Halmashauri unachagua unataka halmashauri ipi, katika orodha kuna Arusha City Council, kuna Mwanza City Council pia kuna Ilemela Municipal Council...

Sasa wewe unabisha hata hujaingia, yaani unapinga vitu visivyokuwepo... labda nikuulize yaani unaweza ukakadiria kiaje kwamba tumepata kitu fulani ilhali mnakusanya...?! Labda nikuulize zile kodi za majengo halmashauri wanazokusanya kodi za huduma ambapo huwa ni 0.3% ya sales turnover wanakadiriaje...?! Kodi ya hotel ambayo huwa ni 10% ya mauzo halmashauri wanakadiriaje kama wamekusanya...?! Ushuru wa mabango huwa wanakadiaria kiaje kama imekusanywa...?! Ushuru wa masoko na minada, ushuru wa maua, ushuru wa mazao, ada za leseni za biashara vyanzo vipo vingi halmashauri wanaweza wakakadiariaje kama wamekusanya...?!

sasa huwa kuna kitu kimoja huwa wanapewa target wakusanye kiasi fulani kulingana na halmsahauri husika na vyanzo vyake vya ndani katika mwaka sasa wanaweza wakavuka malengo au wakakusanya kwa asilimia fulani kubwa...

Kama unasema makusanyo yanakadiriwa basi na TRA wanakadiria pia, sidhani kama hata kama unajua miundo ya halmashauri unaweza ukawa unaongea lakini hujui unachoongea...

Unajua kwamba kuna maeneo ya halmashauri ya wilaya ya Arusha yalichukuliwa na halmashauri ya manispaa ya Arusha ili kuweza kuwezesha manispaa ya Arusha kuwa jiji na walipata hadhi kuna kata kama tatu zilichukuliwa mfano ni kata ya Moshono...
Hatuwezi kuzungumzia plan za 2013 mwaka huu hivi unachukuaje statistics za sensa ya 2002 na kuacha ya 2012 em kuwa msomi kidogo aise.

Mwanza

Madiwani wapitisha bajeti
Baraza la madiwani la Halmashauri ya jiji la
MWANZA limepitisha makadirio ya mapato
na matumizi ya shilingi Bilioni 87 katika
mwaka wa fedha wa 2016/2017
Madiwani wapitisha bajeti - TBC.go.tz


Arusha

bajeti ya mapato na matumizi kwa mwaka
wa fedha 2016/2017 ya Halimasahauri ya
jiji la Arusha hatimaye jambo hilo
limewekwa hadharani ambapo kiasi cha
shilingi bilioni 109 zimepitishwa na baraza
la madiwani kwa ajili ya kuanza kutekeleza
mipango ya kimaendeleo.
CHAGUO LA MSOMI | UNLIMITED NEWS

Hizi ndio current situations.
 
serikali nzima inahangaika kukusanya 1 trillion tena kwa sasa, kipindi kile ilikuwa billion 800-900 kwa mwezi, kwa hiyo mapato ya serikali yalikuwa hayafiki trillion 10, leo mwanza na geita wakusanye 8 trillion, zungusha akili yako achana na uandishi wa watu wasiotumia akili na wewe uwafuate kwa ujinga wao
Yaani mantiki ipo rahisi tuseme TRA wanakusanya kila mwezi Trilioni 1 inamaana kwa Mwaka watakusanya Trilioni 12...

sasa mtu anashindwa kujiuliza iweje kwa Mwanza na Geita yaani mikoa miwili wapate hiyo Trilioni 8...
 
msimu wa 2012/2013 makusanyo kulingana Na vyanzo via halmashauri Ni kama ifuatavyo
viwango Katika mamilioni tshs.

mwanza city council 7,053.7
mbeya municipal 5,206.4
arusha municipal 4,313.2

hiyo ni kutoka website ya tamisemi
Hizo ni targets sio report kuwa makini.
 
Hatuwezi kuzungumzia plan za 2013 mwaka huu hivi unachukuaje statistics za sensa ya 2002 na kuacha ya 2012 em kuwa msomi kidogo aise.

Mwanza

Madiwani wapitisha bajeti
Baraza la madiwani la Halmashauri ya jiji la
MWANZA limepitisha makadirio ya mapato
na matumizi ya shilingi Bilioni 87 katika
mwaka wa fedha wa 2016/2017
Madiwani wapitisha bajeti - TBC.go.tz


Arusha

bajeti ya mapato na matumizi kwa mwaka
wa fedha 2016/2017 ya Halimasahauri ya
jiji la Arusha hatimaye jambo hilo
limewekwa hadharani ambapo kiasi cha
shilingi bilioni 109 zimepitishwa na baraza
la madiwani kwa ajili ya kuanza kutekeleza
mipango ya kimaendeleo.
CHAGUO LA MSOMI | UNLIMITED NEWS

Hizi ndio current situations.
Okay, wasije kuwa na deficit tu...

Hizo ni halmashauri mbili, moja inaongozwa na ccm na nyingine chadema...

Arusha madiwani wa chadema wamejaa, Mwanza ni ccm wamejaa...

Kama budget hiyo ndio imepitishwa unaweza ukakuta Arusha City Council wamepewa target ya kukusanya kiasi kikubwa zaidi...
 
Yaani mantiki ipo rahisi tuseme TRA wanakusanya kila mwezi Trilioni 1 inamaana kwa Mwaka watakusanya Trilioni 12...

sasa mtu anashindwa kujiuliza iweje kwa Mwanza na Geita yaani mikoa miwili wapate hiyo Trilioni 8...
hayo ni mapato ya mwaka regional Revenue Wewe kilaza hata kusoma hujui na link nimeweka bure kabisa wewe wala sitareply tena message zako naona ni kujipotezea tu muda.
 
Mitaa mingi ya Arusha ni mizuri sana...ila kuna hii ya huku Daraja mbili na Ngalimi..mmm...hadi vinyumba vya matope vipo
kwan tz ni america kila maahali kuna najumba ya kifahar mbona jiji kubwa tanzania kuna vijumba vya udongo vilivyopakwa choka
 
●●●HAHAHAHA....!!!!●●●

Wewe bado hujaifahamu Arusha hata kidogo. Ukiwa Arusha kama ni starehe utaenjoy hivi vyoote vifuatavyo:-

1) Climatic Condition:

Kanda ya kaskazini kwa ujumla climate yake ni nzuri sana especcially Arusha na Kilimanjaro.

2) Good & Executive Hotels,

Hotel zote kubwa za Arusha ni za 5 * na zipo za kutosha

3) Misosi, Nyamachoma, All fast foods mpaka vyakula vya asili ya kimasai na kichagga.

Kumbuka: wachoma nyama wazuri wanatokea huku na sio wale wa Dsm wanaobabua nyama kama mahindi ya kuchoma.

4) Arusha ipo karibu sana na Airports 3, yaani KIA, JKIA na mdogo wa Kisongo.

5) Swimming pools za hadhi nzuri sana

6) RALLY & Horse Ridding Je?

zipo karibu kiiila mara na maeneo yaliyotengwa kwaajili hiyo.

7) Really National Parks

ie. Ngorongoro, Manyara, Arusha National Parks, Tarangire.

8) Mt. Meru Je?

Kumbuka: after Kilimanjaro Mt. inafuata Mt. Meru na ina barafu throughout

9) Uoto wa Asili je?

Huko Olmotonyi Forest unapajua?

10) Water falls je?

Kuanzia Duluti juu, Meru na Ilboru juu zipo

11) Bar & Night Clubs Je?

Club D, Masai Camp, Apex, Babylon, Via Via.


12) Mito na Mabonde je?


13) HipHop Musics Je?

Unawajua hawa?

-Watengwa?
-Weusi?
-Nako2Nako
-Juniour Nakoz


Sasa umeifahamu Arusha? Usiishie Stand Mgeni. Karibu....

●ILA WARNING:
Ukitaka kuijua Arusha uwe na PESA.
hakuwa na pesa huyo ndo maan akaishia kuchunguza jiji letu
 
hayo ni mapato ya mwaka regional Revenue Wewe ****** hata kusoma hujui na link nimeweka bure kabisa wewe wala sitareply tena message zako naona ni kujipotezea tu muda.
Kwa mwezi TRA wanakusanya Trilioni 1 kwa mwaka watakusanya Trilioni 12 yaani miezi 12... hapo ni Tanzania kwa mwaka mikoa yote

sasa iweje kwa mwaka mikoa miwili yaani Mwanza na Geita itoe Trilioni 8...?!

Nakushauri uendelee ku post picha tu za majengo na kusifia watu, mambo ya kitaalamu tuachie sie, umechukua uamuzi mzuri kuacha ku reply quote zangu maana zinakuzidi kimo, ni vema kutekeleza uamuzi wako ulioamua...
 
Yani wewe ni hovyo kabisa...Umekaa kishabiki na ubishi kimbe kichwani ni matope....Badala wewe ndo utuletee data za Mkoa wako unataka huyu wa Arusha ndo akuletee...

Nimefuatilia huu mjadala ila nimeona watu wanaoutetea mkoa wa Mwanza huenda wote mlipata Div 4 au Zero..Huna facts, huna data, hujui chochote....

Toa aibu hapa...shwain kabisa
Mkuu ni mapopoma kabisa hata secondary hawajafika kama Kuna box moja linasema bajeti ya Tanzania ni trillion 12 wakati juzi wamepitisha makadirio ya Trilioni 29.5 hawajui hata zipo report za budget ya mkoa binafsi kwa Mwaka annum regional Revenue collection.

Alafu huyo ndio think tank wa mkoa
 
Arusha ilikuwa ni sehemu ya mashamba mji ulipamgwa Mbulu ndio maana Arusha imezunguukwa na mashamba ya Kahawa na sehemu nyingi za Arusha hazijapimwa kwa mfano kisongo,kambi ya fisi,kwa mromboo,kwa Iddi,Mbauda,Uswailini,Ngaranaro,Daraja mbili,Sombetini,Kijenge,Mbauda,Mwanama,Mianzini,Ungalimitedi,Azimio,kwa mrefuu,Sanawari na sehemu zote hizo nilizozitzija ndizo zinazofanya Jiji la Arusha kwa kifupi Arusha ni shiiida
 
Who are u mpaka kutousikia kwako kudhibitishe udogo wa uwanja..for your info ni uwanja mkubwa ila hutumika sana na TMA for military training,pamoja na hayo kuna civil avation pia

Hata ndege kubwa ya Ethiopian Airlines aina ya Boeing 787 ilitua kwa makosa lakini iliweza kuondoka bila tatizo.
 
Huwezi kusema tumeaminishwa ile ni report ambayo imepitia process za kisayansi sio siasa.

Hata UNPD imefanya utafiti huo na matokeo ya katoka hayohayo.
Kwa hiyo unakubali mwwanza ni moja wapo ya mikoa maskini Tanzania . Kama ndio unapingana na kauli zako za kuitetea, kama Wilaya na manispaa zingekuwa zinafanya vizuri matokeo yake yangeriflect jiji lenu unalolitetea.
 
Yani wewe ni hovyo kabisa...Umekaa kishabiki na ubishi kimbe kichwani ni matope....Badala wewe ndo utuletee data za Mkoa wako unataka huyu wa Arusha ndo akuletee...

Nimefuatilia huu mjadala ila nimeona watu wanaoutetea mkoa wa Mwanza huenda wote mlipata Div 4 au Zero..Huna facts, huna data, hujui chochote....

Toa aibu hapa...shwain kabisa
We ni pimbi nin...fala kabisa, sliyeleta mabishano ya mapato ni nan....usilete ushoga hapa mbwa wewe
 
We ni pimbi nin...fala kabisa, sliyeleta mabishano ya mapato ni nan....usilete ushoga hapa mbwa wewe
Ukisika paa!!! Mbona povu...Daah

Vipi we mwana Mwanza uombe data kwa mtu wa Arusha..? Sijaona cha maana zaidi ya kubisha bila fact na kujaza sever za JF..
FisadiKuu na chongchung kuendelea kujadiliana na wewe kichwa tupu ni kuwashushia hadhi zao...Wewe saizi yako ni kule Celebrity Forum na Udaku...
Unatia huruma....Daah
 
Hatuwezi kuzungumzia plan za 2013 mwaka huu hivi unachukuaje statistics za sensa ya 2002 na kuacha ya 2012 em kuwa msomi kidogo aise.

Mwanza

Madiwani wapitisha bajeti
Baraza la madiwani la Halmashauri ya jiji la
MWANZA limepitisha makadirio ya mapato
na matumizi ya shilingi Bilioni 87 katika
mwaka wa fedha wa 2016/2017
Madiwani wapitisha bajeti - TBC.go.tz


Arusha

bajeti ya mapato na matumizi kwa mwaka
wa fedha 2016/2017 ya Halimasahauri ya
jiji la Arusha hatimaye jambo hilo
limewekwa hadharani ambapo kiasi cha
shilingi bilioni 109 zimepitishwa na baraza
la madiwani kwa ajili ya kuanza kutekeleza
mipango ya kimaendeleo.
CHAGUO LA MSOMI | UNLIMITED NEWS

Hizi ndio current situations.
Unganisha na ilemela mana pia ipo kwenye mipaka ya jiji la Mwanza....kama we kidume leta mapato ya wilaya ya arusha....mkoa wa arusha una resources nyingi ndo mana kimapato inazidi mkoa Wa mwanza........mapato ya wilaya mbili za ilemela na nyamagana hayawezi zidiwa na wilaya ya arusha hata kama kuna tofauti bas ni ndogo sana..mbna nyie mmeleta data za city council za mwaka 2013, pia unaposema TRA wameshindwa kufikia lengo la ukusanyaji mapato unajua ni changamoto gan zimesababisha ni mapato hakuna au ni changamoto za ukusanyaji? Unajua miji inayoongoza kwa kukwepa kodi? Acha uduwanzi
 
Ukisika paa!!! Mbona povu...Daah

Vipi we mwana Mwanza uombe data kwa mtu wa Arusha..? Sijaona cha maana zaidi ya kubisha bila fact na kujaza sever za JF..
FisadiKuu na chongchung kuendelea kujadiliana na wewe kichwa tupu ni kuwashushia hadhi zao...Wewe saizi yako ni kule Celebrity Forum na Udaku...
Unatia huruma....Daah
Haujielewi....I cnt wast my time discussing with ds fcked nonsense
 
Haina stendi ya maana si ya daladala wala mabasi, maendeleo kama yanaenda kwa kusua sua, boda boda mmoja kaniambia angendelea mkwere wangekua mbali,

ila mwenyeji mmoja kaniambia atanionyesha sehemu kadhaa zitakazonifanya niamini kwamba Moshi kwa Arusha si chochote,

Japo upande wa population naona wapo vizuri, kama upo Arusha niambie ni wapi nikienda nitapiga salute na kuacha kufananisha huu mji na sehemu za kawaida, asanteni, ila kwa muda wote niliokaa Arusha nimeshangaa sana uzuri wa sura wa mabinti hadi nikatengeneza principal kwamba ukiwa Arusha angalia shape tu sura wengi wazuri kama siyo wote, Arusha na Singida si mchezo kwa upande huwo, maendeleo yapigianeni, Japo njiro na baadhi ya maeneo ni pazuri pia, Unga limited nasikia hapapitiki usiku ni shida, shivers nilikaribishwa nimmepaona lakini hicho siyo kiashiria cha maendeleo Japo kuna wadada wazuri hataree
Kwani hapa Tanganyika kuna stendi gani angalau iko standard zaid ya msamvu Morogoro
 
Back
Top Bottom