Nilichogundua kuhusu Arusha

Nilichogundua kuhusu Arusha

Weka link ngosha
Nikusaidie tu hapa direct angalia na kama huamini nenda Tanzania Revenue Authority - Tax collection statistics nenda kwenye Regional Statistics pakua hiyo excell ujionee mnavyochakwanzwa na Kilimanjaro na Arusha..

Tax.png
 
MANGOSHA TUKIANZA KUWEKA DATA WANAINGIA MITINI... HAPA WAKIRUDI BAADAE WANAKUJA KUBISHA TU HAHAHAHAHAHAHAHA.... BASI BISHENI KWA TAFITI AU DATA WALAU NA SI MANENO MANENO
 
MANGOSHA TUKIANZA KUWEKA DATA WANAINGIA MITINI... HAPA WAKIRUDI BAADAE WANAKUJA KUBISHA TU HAHAHAHAHAHAHAHA.... BASI BISHENI KWA TAFITI AU DATA WALAU NA SI MANENO MANENO
Ngosha wewe fisadi, kwetu Lindi tuko vizuri
 
Mkuu naona mangosha yamelala mbele....hahahah....!
Huyo mkuu wa chuo nilimwambia Kilimanjaro kuna maduka mengi kuliko Mwanza akawa anabisha tu.. Sasa NBS wanasema Kilimanjaro kwa mwaka 2014/15 biashara zilizoanzishwa ni 5695 wakati Mwanza ni 3944..

Sasa ukiwawekea tafiti na data wanaingia mitini wakirudi hapa wanakuja kubisha tu bila tafiti bali blah blah
 
Chapa n'gombe umekimbiza wote
hahahahaha mkuu hao ndio kawaida yao... Ukianza kuwawekea data na tafiti wanaingia mitini.. Mwanza huwezi kuifananisha na Arusha hata kidogo.. Tafiti zote zinaonyesha Arusha is more productive than Mwanza..
 
hahahahaha mkuu hao ndio kawaida yao... Ukianza kuwawekea data na tafiti wanaingia mitini.. Mwanza huwezi kuifananisha na Arusha hata kidogo.. Tafiti zote zinaonyesha Arusha is more productive than Mwanza..
Nimeishi mikoa yote hiyo,
Arusha imeiyacha mwanza mbali sana,Mwanza miaka hii 4 ndio imeanza chanua,
 
Ndo mana nakwambia shida yako hujanielewa mkuu....na inawezekana umenidandia njian bila kujua naelekea Wap.....sasa unatumia nguvu nyingi sana kunipeleka unapotaka...mwanzon tulienda vizur ila concept za fisadi aliyekubuhu zimekuharibu....fatilia page ya 1 had ya 31 ya huu Uzi ujue kama kuna post yeyote niliyopondea Chuga....shida imekuja pale ambapo mtu anadai jiji la mwanza si chochote....nikajaribu kumjibu kwa njia ya picha na wewe ukaingilia...ukawa unapost vitu ambavyo unaamin mwanza havipo nami nikakudhibitishia kwa njia ya picha.....ghafla ukaja na tax statistics za kimkoa...na hapo ndo umeng'ang'ana 'till dis moment....ok mkoa Wa mwanza space land yake ipo fixed kwa sababu ulizotaja ukilinganisha na mkoa Wa arusha.....but mji Wa mwanza unakua zaid ya mji Wa arusha....kwa nini unakua wakat umezungukwa na poor people? Na arusha iliyozungukwa na matajir bado expansion yake ni ndogo....hilo nakuachia wewe ujibu
Kijana acha kujiaibisha unasema Mwanza inakua zaidi ya Arusha wakati tax collection ya Arusha ni mara 2 ya Mwanza

na utofauti wa ukuaji wa mwaka jana Arusha mapato yameongezeka kwa 60% huku Mwanza yameongezeka kwa 24% una maana gani kusema Mwanza inakua zaidi ya Arusha???

Ni kigezo gani unatumia kama verification ya point yako??
 
Sidhani kama hata jamaa anajua kuna vyanzo vya Halmashauri Own Source Collection, sasa jiji linaundwa na halmashauri ya jiji wana vyanzo vyao tuchukulie mfano wa property tax ambapo walikuwa wanataka waipeleke TRA

Sasa jamaa yeye alichokariri ni TRA tu...
Sasa hiyo property tax haikusanywi Arusha mjini?

Sababu mnasema Arusha ni watalii tu.
 
Sitaacha kukupa elimu ya bure kabisa.. Vijana wa Arusha wengi ni wachakalikaji na wana fedha zao.. Vijana wa Arusha huwezi fananisha na maskini wa Mwanza hata siku moja. Tuna mifano ya dhahiri kabisa vijana wachakalikaji waliotokea Arusha lakini leo hii Mwanza huwezi kunipa hata kijana mmoja mashuhuri hapa nchini.. Tuna akina Patrick Ngowi, Alberto Msando, tuna akina Millard Ayo, tuna Weusi, tuna akina Vannessa Mdee, Navy Kenzo, Nisher... Hao ni vijana baadhi tu ambao kujituma kwao kuna onyesha kunavyowalipa.. Hao ni mfano tu wa hao wavaa minyonyo wa Ngaleloo walivyo tofauti na wavua samaki wa Mwanza..

Nikikwambia nitajie mentor yeyote wa vijana huko Mwanza au anayejulikana hapa nchini akitokea huko Mwanza hayupo hata mmoja..

Definition ya HDI ni hii "The Human Development Index (HDI) is a composite statistic of life expectancy, education, and per capita income indicators, which are used to rank countries into four tiers of human development. A country scores higher HDI when the lifespan is higher, the education level is higher, the GDP per capita is higher, the fertility rate is lower, and the inflation rate is lower." HDI haiangalii blah blah zako za kuvaa minyonyo au kuvua samaki.. Inaenda mbali zaidi na kuangalia mfumo mzima wa maisha kwenye jamii husika. Ndio maana leo hii USA pamoja na Utajiri wake wote na kuongoza kwa kuwa na viwanda na wazilishaji wa kila kitu kwenye HDI list wao ni wa nane na wamezidiwa na nchi nyingi tu kutoka ulaya kama Norway, Ireland, Netherland, Germany, Australia, Denmark na Switzerland. HDI inaonyesha hali ya ubora wa maisha kwa kaya moja moja, familia moja moja na mtu mmoja mmoja.. Kwa Tanzania mikoa yenye HDI kubwa ni Arusha, Kilimanjaro na Dar... Mikoa mitatu ya Mwisho ni Mwanza ikiwemo..

Kwahiyo kuna tofauti kubwa sana kati ya vijana wavaa suruali za kubana na maviatu makubwa wenye uhakika wa maisha na kuishi kuliko vijana wachawi wa kisukuma wanaoishi milimani kama ngedere...
 
Ukiangalia hizi Data linganisha tu Mwanza na Kilimanjaro... Arusha iache utaona Mwanza imetupwa na Kilimanjaro karibia katika kila sekta... Hizi ni tafiti za National Board of Statistics (NBS) na si blah blah...

Naomba taratibu fuatilia Mwanza na Kilimanjaro leave alone Arusha.. Utapata majibu kwanini Mwanza ni wapiga kelele na si chochote.. Kwa mfano angalia hapo herufi A kule kwenye glossary watakwambia maana yake ni Agriculture, Forestry and Fishing ambapo Kilimanjaro ina 14 wakati Mwanza ina 7... Ukiangalia tena herufi G ina maana ya Wholesale and Retail trade wakati Kilimanjaro ina 1,252 Mwanza wao wana 928.. Pia herufi C ni Manufacturing wakati Kilimanjaro ina 1,829 Mwanza wao wana 1,639.. Ukienda pia herufi Q ni Human Health and social work activities Kilimanjaro ina 279 wakati Mwanza ina 98.. Vipengele vingine pia ni hivyo hivyo Kilimanjaro imeitangulia Mwanza almost karibu kila kitu... Hizi ni tafiti sio blah blahView attachment 406612 View attachment 406613 View attachment 406615 View attachment 406614
 
Oooohh yes kwenye Agriculture, Forestry and Fishing Kilimanjaro imeizidi Arusha na Dar.. Au wewe unapinga..

Lakini ukienda G kwenye Wholesale Trade and Retail Trade Dar, Arusha, Morogoro, Mbeya zimeizidi Kilimanjaro.. Ukienda kwenye Manufacturing Arusha, Dar, Tanga, Mara, Manyara imewazidi Kilimanjaro... Lakini kwenye category zote hizo 20, Mwanza imeizidi Kilimanjaro category 6 pekee wakati Kilimanjaro ikiizidi Mwanza category 14..

Soma taratibu tu utaelewa na naendelea kukupakulia vitu vya NBS taratibu mpaka ukiri Mwanza si chochote...
 
MANGOSHA TUKIANZA KUWEKA DATA WANAINGIA MITINI... HAPA WAKIRUDI BAADAE WANAKUJA KUBISHA TU HAHAHAHAHAHAHAHA.... BASI BISHENI KWA TAFITI AU DATA WALAU NA SI MANENO MANENO
umeinae wao ni mboyoyo tu sisi tunaenda na facts sio maneno matupu.
 
Back
Top Bottom