chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,297
- 45,087
In case umesahau my today's motto.....Zunguka kote na hzo data zako lakini uelewe kuwa arusha haina msuli mzito wa kuikabili mwanza city..kama ni kodi endeleeni kutoa kwa uaminifu
Leo nimeamka na facts tu sitaki malumbano ya kipopoma leo natembeza bakora ya kwenye makarabrasha kisomi zaidi na sitaki back fire ya kimbulula ya maneno ya vijiweni nmake sure unapingana na facts kwa facts................ Nadhani nimeeleweka.
Nimekupa fact
>tumewapiga gap la vitanda 1900
>moja ya mkoa masikini zaidi Tanzania
>tumewapiga gap kwa tax collection 60%
Case done.
makao makuu ya wilaya