Nilichogundua kuhusu Arusha

Utaliii si ndo nguzo yenu....ukidorola kidogo tu mahotel yote yanageuka nyumba za popo na mengne mnatembeza bakuli...kama sa hv...issue ya wazungu hata zooo wapo nyomi
 
Hujui mitaa ya mwanza wewee...umezoea chuga...ukizunguka nyuma ya mtaa mji unakatika....zunguka mji mzima uone viwanja vinafungwa sa ngap...Instagram party daily zinamiminika mwanza...huko chuga nan apeleke..watu wakitabasam utadhan chungu cha bibi...viroba, bangi na ushamba ndo vimejaa

 
Vipi kuhusu mwanza kiongoz...zipo zipo ngapi...maan hapa ligi kubwa n kati ya mwanza na arusha...dar iweke pembeni...!
Hakuna cha ushamba...tupia ma vitu uonekane mjanja we nguruwe pori wa kimasai usiyejua kupiga mswaki
 
Mara ya mwisho kufika chuga. na gari la dagaa. Ni lini weww msukumaaaa,,, mshambaaa
Tupia mavitu we black mamba...acha kulia lia na mtepesho wa viroba...dhibitisha hoja yako mbwa wa kimasai usiyejua kupiga mswaki
 
Aim mall,,, under construction near TANAPA HQ
Hzo ndo picha za mall Tatu zilizopo chuga...we kiroboto vip? Aim mall mlidai inapiga kazi.. Nikawambia hyo ipo u/c... sa hvi unajirud....chuga naifahamu kuliko hata wewe nyumbu wa sekei...tupia picha za mall Tatu zilizopo chuga kama hujaweja moja na zingine min supermarket
 
Jamaa hata hafaham arusha kuna traffic lights ngap lakn anakuja kuleta ligi humu ndani...!
Umedai kuna traffic light sita hapo city...nimewambia tupien picha za traffic light NNE ukitoa za sanawali na mianzin
 
Wanakuja na malori ya Dagaa alafu akiona nyumba imezungukwa na garden anasema hapo ni porini mawe yameshamuathiri psychology kule hamna hata mahali pa kuwekea kopo la maua na utamaduni wa kutengeneza gardens hawana kabisa.
Tulia nikunyuke tena we kenge

View attachment 405851View attachment 405852View attachment 405853
Wanakuja na malori ya Dagaa alafu akiona nyumba imezungukwa na garden anasema hapo ni porini mawe yameshamuathiri psychology kule hamna hata mahali pa kuwekea kopo la maua na utamaduni wa kutengeneza gardens hawana kabisa.
Tulia nikunyuke tena we kenge

View attachment 405851View attachment 405852View attachment 405853
 
Hivi mwanza wana International school (simaanishi English medium maana mangosha wanaita English medium international) namaanisha zile shule ada ni Mil 10 mpka 20 kwa mwaka...

Mkuu chongchung hebu nisaidie labda wanazo huko Mwanza
Zpo nyingi kama uyoga...sample ni hii hapa isamilo international school...mwanao hawezi ungua meno hapa

 
Kwa kweli sijafanikiwa bado kuziona naona international zao ni alliance na nyakahoja na st.Mary's ila ukiziangalia ni kama magereza ya butimba au maromboso Mkuu.
Zipo nyingi kama uyoga...hii hapa ni isamilo int school...mwanao atajipatia elimu na meno yatabaki meupeeee..tabasamu lenye furaha keep it
 
Mkuu ungefanya uungwana upande pale Ngarasero Lodge ukamate photo 2, 3 uwaekee hawa raia wajue kwanini Arusha iliitwa Geneva of Africa..
Mpe nauli aende akapige hzo picha alete jukwaani af ukumbuke pia wazungu wanadoubt why Genever of Africa inakuwa na nyumba kama mashimo ya panya with miserable life kama hzi katkat ya mji...hapa ni ungalimited

 
Alivyo mshamba anadai hizo ni mall tatu zilizopo chuga....kweli wajanja was chuga wote wamehamia Dsm...yaliyobak yote ni manunga embe
 


Hiyo ni New York recreation center au City Park usifikiri wamepaacha hivyo sababu wamekosa kitu cha kujenga hapo.
Okey sasa tupia view ya chuga ionekane hvi hata kama Ina diffrnt design....sio kutuonesha msitu na kigorofa kimoja kwa mbele Af unadai ni recreation ground...kwanza chuga hata maeneo ya waz hayapo...kama yapo tupia picha even public garden hakuna
 
Msukumaaa anatishia sanamu la samaki,,,, dah kweli wako nyuma kimaendeleo,,, ukiwaambia wakutajie five star hotel mwanza cjui kama zitafika tano
Arusha hakuna five star hotel kwa sasa....parrot ndo inarate kwenye 5 na yenyewe haijaanza kupiga mzigo na kama imeanza bas haina hata sku 15...hata hvyo bado inadumbukia kwenye 4 star kwa viwango internationally....dar ndo kuna 5 star na zenyewe sidhan kama znafka hata tano ....kama unabisha shusha data...sio kuongea tuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…