Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,702
- 35,756
OK ungeiweka waz... Sio unapost picha za madirisha tuu...istoshe son hw finishing yake zinaendanaHapo ni Lake Duluti Serena Hotel acha umwanza.![]()
![]()
![]()
OK ungeiweka waz... Sio unapost picha za madirisha tuu...istoshe son hw finishing yake zinaendanaHapo ni Lake Duluti Serena Hotel acha umwanza.![]()
![]()
![]()
Ha ha haaaa
Unamaanisha congestion?Maana ya traffic lights ni control ya traffic conjunctions mfano flyovers za ubungo zikijengwa hakutakuwepo traffic lights pale the same to TAZARA pakikamilika hautaona traffic lights pale.
Arusha zipo maeneo 6 yenye traffic conjunctions tu.
Mwanza IPO 1.
Mwanza haipo moja usibishane bila ushahd....za Chuga weka ushahd kama wameinstal zimefikia sita kama unavyodaiKwahiyo sababu Mwanza traffic lights IPO moja tu unafikiri na Arusha zipo chache?
Hapo vipi??OK huo utumbo wako saiz yake hii hapa mana hayo maboda boda hata tunduma yapoView attachment 405156
View attachment 405152View attachment 405154View attachment 405155
Yeah congestion sio conjunction please.Unamaanisha congestion?
Thibitisha uwepo wa mall tatu arusha...we bwege kweli....ongea vitu relevantHahaaa mashindano ya baiskeli pia kuna mashindano ya safari lager kupiga makasia.mimi hom ni mwz ila kuna vitu vingi jiji la mwanza limekosa mall arusha ziko tatu n hotel za kitalii ndio za kumwaga hapo ndio utaona utaona utofauti mkubwa n mwz
Frands CornerMwanza haipo moja usibishane bila ushahd....za Chuga weka ushahd kama wameinstal zimefikia sita kama unavyodai
Wewe ulipost nin? Mbna huna uzoefu na huu mchezo?Kwahiyo hapo ndio umeweka nini?
We we ni boga....nyegezi ufananishe na huo utumbo Wa Chuga?Hivi nyegezi nayo ni stand kweli??
Na lile kundi la wakata tiketi kama nzige ni la mini?
Stand ya ngudu IPO nyegezi hivi unaweza kufananisha Yale mazingira na stand ya Arusha?
Mkuu kule akifika ataasi kwao juu ya mawekaribu meru ujionee hali ya hewa na mazingira maridhawa kabs
Friends cornerFrands Corner
Sokön One
Corner ya Nairobi
Mianzini
Sanawari
And so forth.
Siongeagi kishabiki mimi hivi pale nyegezi na like group la mama ntilie magenge yametapakaa kila mahali hapohapo wanapikia hapohapo wanaogeshea watoto unafananisha na Arusha??We we ni boga....nyegezi ufananishe na huo utumbo Wa Chuga?
Hal ya hewa sawa sikataikaribu meru ujionee hali ya hewa na mazingira maridhawa kabs