Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,702
- 35,756
Huyo jamaa mshamba mno achana nae....Unamaanisha congestion?
Huyo jamaa mshamba mno achana nae....Unamaanisha congestion?
Asante kiongozi kwa facts huyu mlalahoi azione.Friends corner
Stand kubwa
Mianzin
Sanawar
Kilombero
Sokon 1
Unauhakika?? Kisongo pia sio arusha??Cha kushangaza zaidi ni hakuna uwanja wa ndege
Tuwekee picha mkuu... Kwahiyo nyumba zote hizo wanakaa waungu sio.. hahahahahahaHzo nyumba mnazopost ni za wazungu wanaoish Chuga.. cse wanapenda kujenga kwa mtindo huo....ndo mana kwa tz hzo nyumba utazikuta Chuga, mosh, even mfindi kule iringa kwenye tea estate utazikuta...hii ni kwa sababu ya hali ya hewa.....hata baadh ya wabongo pia wanazo.....but sio kwamba mikoa ambayo haina hal ya hewa kama hyo haina nyumba nzur...zpo tena sana modernised
unachokataa ni nn mkuu wngHal ya hewa sawa sikatai
A million dollar view..
Unanitishia wazungu au? Bora hata hzo houseHapo vipi??
![]()
![]()
Nilishasema ziadi ya hizi picha za hizi nyumba mbili tatu mlimani huko hakuna nyingine... Sasa mtu akakae na mawe huko aisee?? Hivi huoni Estate za Arusha tambarare alafu garden za ukweli..Ongezea na hz...hyo ni Capri point tuu bado cjakupeleka bwiru kwa watasha
View attachment 405122View attachment 405123View attachment 405124View attachment 405125View attachment 405128
ha ha ila arusha ni pazuri mkuu tuache utan,kuna jamaa yang wa iringa alifika huku usa river kwa mara ya kwanza akasema atatafuta kiwanja kwa gharama yoyte ilmrad aishi huku😀😀😀😀😀Mkuu kule akifika ataasi kwao juu ya mawe
Hapo ni utalii ni sawa na wewe uweke furu na mapanki.Unanitishia wazungu au? Bora hata hzo house
5 Million population against 4 hundred thousands...Yaani kama mwenge-bamaga-sayansi-moroko-namanga-st peter's ndio traffic light kwenye jiji zima la arusha? yaani barabara ya ali hassan mwinyi ina traffic lights nyingi kuliko mji mzima wa arusha?!
A beautful place never seen beforeA million dollar view..
Mkuu jana nilisema hapa, wataweka hayo manyumba yao ya kishamba huko milimani basi kwisha.. Sasa si unaona pumzi ishakata hahahaha...Hapo ni utalii ni sawa na wewe uweke furu na mapanki.
Sasa Mwanza kuna matumbawe tu mkuu... Ndio view yao hahaha.. Yaani view ya Mwanza ni lile jiwe lao lileb
A beautful place never seen before
Huo utumbo huwez linganisha na mji kama huuArusha yetu, kama ulaya vileView attachment 405160 View attachment 405161 View attachment 405160 View attachment 405161
Naona umehamia porini....rud tubanane mjinacity in the houseView attachment 405164
Na Meru ndio Arusha napakubali sana kuna cribs zimo kule ndani ukiingia unaweza sema upo Zurich nitaziweka hapa.ha ha ila arusha ni pazuri mkuu tuache utan,kuna jamaa yang wa iringa alifika huku usa river kwa mara ya kwanza akasema atatafuta kiwanja kwa gharama yoyte ilmrad aishi huku😀😀😀😀😀
hapo cyo porin mkuu, mazingira mazur tu hayo...huon panafanana kama pale white house ya marekani?😀😀😀😀Naona umehamia porini....rud tubanane mjin
ziweke mkuu, yan sometimes huwa najihis npo mambele kbsNa Meru ndio Arusha napakubali sana kuna cribs zimo kule ndani ukiingia unaweza sema upo Zurich nitaziweka hapa.