Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,702
- 35,756
Aisee kweli capripoint ndio kioo chao penyewe pako kama zile concentration camps za Hitler.Mkuu jana nilisema hapa, wataweka hayo manyumba yao ya kishamba huko milimani basi kwisha.. Sasa si unaona pumzi ishakata hahahaha...
Hii ni shule ya msingi ya kata gani?
Mianzini na sanawali sawa...ila zingine tupia picha zote NNE zilizobakiFrands Corner
Sokön One
Corner ya Nairobi
Mianzini
Sanawari
And so forth.
Usikimbilie porini...mi nakupiga tokea mjini hapa hapa ubapodai pa kishamba...Chuga climate tuu vingine pumba za kawaida sana labda uende huko maporini nyumbu we we
😀😀😀😀😀😀😀 huu mchezo hauhitaj hasira mkuuUsikimbilie porini...mi nakupiga tokea mjini hapa hapa ubapodai pa kishamba...Chuga climate tuu vingine pumba za kawaida sana labda uende huko maporini nyumbu we we
View attachment 405191View attachment 405192
ooh arusha population is less than 500,000?!5 Million population against 4 hundred thousands...
Kwa Chuga hakuna wamama wanaopika pale stendi....? Mbna kila sehemu wapo hapa tz....stendi ya Chuga ni mbovu mno huwez linganisha hata na stendi ya daladala pale sokoniSiongeagi kishabiki mimi hivi pale nyegezi na like group la mama ntilie magenge yametapakaa kila mahali hapohapo wanapikia hapohapo wanaogeshea watoto unafananisha na Arusha??
Bora hats Buzuruga kuliko Nyegezi uchafu ule.
Arusha City ina watu laki nne tu mkuu..ooh arusha population is less than 500,000?!
Sasa huu ni ujinga gani aisee??Usikimbilie porini...mi nakupiga tokea mjini hapa hapa ubapodai pa kishamba...Chuga climate tuu vingine pumba za kawaida sana labda uende huko maporini nyumbu we we
View attachment 405191View attachment 405192
Sijasema zoteTuwekee picha mkuu... Kwahiyo nyumba zote hizo wanakaa waungu sio.. hahahahahaha
Arusha stand zipo restaurants na hotels zenye standard hakuna wamama waliopanga benchi na meza wanapikia hapohapo uwanjani kama Mwanza.Kwa Chuga hakuna wamama wanaopika pale stendi....? Mbna kila sehemu wapo hapa tz....stendi ya Chuga ni mbovu mno huwez linganisha hata na stendi ya daladala pale sokoni
Mnajiinua sana na mnadhan kila kitu kilichopo Chuga mwanza hakipo.....hcho ndo nakataaunachokataa ni nn mkuu wng
Shida yako wewe umekaa kishabiki sana....kuwa tambarare hyo ni natural..na kila mtu anafanyia kaz mazingira aliyopewa....uwepo Wa tambarare with cold climatic condition kunafavor kujenga such houses...Mwanza milima imetapakaa thus y wanajenga nyumba kama zile but modernised kwa watu wenye uwezo...keep itNilishasema ziadi ya hizi picha za hizi nyumba mbili tatu mlimani huko hakuna nyingine... Sasa mtu akakae na mawe huko aisee?? Hivi huoni Estate za Arusha tambarare alafu garden za ukweli..
Na sio nyumba mbili Tuuu...zipo nying za kutosha...na Leo ntacheza na Capri point tuu af ukinizingua sana nahamia bwiru...nikiona umekomaa naingia isamiloNilishasema ziadi ya hizi picha za hizi nyumba mbili tatu mlimani huko hakuna nyingine... Sasa mtu akakae na mawe huko aisee?? Hivi huoni Estate za Arusha tambarare alafu garden za ukweli..
Umesema Wa iringa....pia hujiulizi kwa nin watu wanakimbilia kuish Mwanza na dar na sio Chuga...? Mtu Wa Mwanza hawez taman kuish Chuga...ha ha ila arusha ni pazuri mkuu tuache utan,kuna jamaa yang wa iringa alifika huku usa river kwa mara ya kwanza akasema atatafuta kiwanja kwa gharama yoyte ilmrad aishi huku😀😀😀😀😀