Nilichogundua kuhusu Arusha

Nilichogundua kuhusu Arusha

Hapo ni utalii ni sawa na wewe uweke furu na mapanki.
Hoja yako ni mfu sana, ntajishusha sana kuijadil but ngoja nkujibu....hao ni wafrika eh hapa mwanza

1474575067740.jpg
1474575077264.jpg
 
Njoo,, kibo palace, mount meru, east Africa hotel, naura spring, palace hotel, njiro cinemax, aim mall, parrot hotel, Fiona tower, ngurdoto lodge, New hyatt regency hotel,,
 
Arusha stand zipo restaurants na hotels zenye standard hakuna wamama waliopanga benchi na meza wanapikia hapohapo uwanjani kama Mwanza.
Daah...niweke picha za stendi ya Chuga huku Wa mama wakichoma chipsi...mbna utaaibika mkuu
 
Ok naona completely umehamia porini kwenye lodge nyingi mana hapo mjin pa kchoko sana but mi nakunyuka tuuu..

View attachment 405204View attachment 405205View attachment 405206
Nikupe tu lifestyle ya Arusha naona unasema huko ni porini sababu unaona garden kubwa nzuri ni kwamba watu Wa Arusha hawajengi sehemu iliyobanana kama huko kwenu.

Arusha lazima ununue eneo kubwa utakaloweza kujenga nyumba ya maana na gardens za kufa MTU ambapo hata unaweza kupata space ya kufanyia viparty vya kifamilia kikubwa zaidi Arusha wanajali privacy ndiomana hamnaga mambo ya kiswahili huku.
 
Njoo,, kibo palace, mount meru, east Africa hotel, naura spring, palace hotel, njiro cinemax, aim mall, parrot hotel, Fiona tower, ngurdoto lodge, New hyatt regency hotel,,
Hakuna hotel ya Hyatt regency arusha hyo ni proposed na labda ipo under construction, Fiona tower ni incomplete na sidhan kama imeisha, parrot hotel labda imefunguliwa Jana...aim mall haijakamilika...cjui umenielewa we mburura? Au unabisha we masai
 
Nikupe tu lifestyle ya Arusha naona unasema huko ni porini sababu unaona garden kubwa nzuri ni kwamba watu Wa Arusha hawajengi sehemu iliyobanana kama huko kwenu.

Arusha lazima ununue eneo kubwa utakaloweza kujenga nyumba ya maana na gardens za kufa MTU ambapo hata unaweza kupata space ya kufanyia viparty vya kifamilia kikubwa zaidi Arusha wanajali privacy ndiomana hamnaga mambo ya kiswahili huku.
Sm hw umeongea point...ila hzo lodge unazoweka zpo more aside frm da city....kama vpi tupia complete scene ya hzo hotel and lodge then tuone surrounded object ni zpi kama sio miti na vichaka...mana mji Wa arusha ukubwa wake ni kama mji Wa tanga
 
Nikikwambia Ngurdoto imezungukwa na nyumba kila upande utakubali??
Japo overview yake inaonyesha mashamba.

Tambua arusha hamna mbanano ukiona hotel imrzungukwa na miti sio kama ipo kichakani kwanza arusha watu wanapenda kupanda miti sana hivyo unavyoona miti mingi sio kama hakuna makazi ya watu yapo hukohuko ndani ya miti.

Na hii ndio inafanya watu wanaokuja na mabasi kutoka dar waone Arusha sio kivile wanapoona road ya arusha-moshi imezungukwa na miti tu kumbe wakiingia ndani kidogo ni Habari nyingine.
 
Back
Top Bottom