Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,143
- 3,848
Unasema uongo ili kumfananisha nani!?spark dog anaimba matusi bangi tupu
Unasema uongo ili kumfananisha nani!?spark dog anaimba matusi bangi tupu
Hahaaa mashindano ya baiskeli pia kuna mashindano ya safari lager kupiga makasia.mimi hom ni mwz ila kuna vitu vingi jiji la mwanza limekosa mall arusha ziko tatu n hotel za kitalii ndio za kumwaga hapo ndio utaona utaona utofauti mkubwa n mwzHzo apartments ulizoweka ni michoro/renders not real photos...so ulijarbu kucheat then ukachepukia kwenye mashindano ya bike na magari
Hapo cha maana ni climate tuu....vingne hakuna kituHapa ndio umefika kama unataka mamega pixels tuliza kirambas tu.View attachment 404528 View attachment 404529 View attachment 404530
Fisadi kuu mbna umeniletea mburura sana...daaah we ni mshamba kwel kwel ngoja nikalale....najua Chuga kuna vitu vizur...tafuta tafuta bas....sio kutuletea pagale za kawaida sana hata mosh zipo za kumwaga
We utakuwa unaumwa, njoo utibiwe Bugando, Bugando ni mlimani na maji yanapatikana mda wote.Kuhusu eti ambulance wala magari hayapiti ni uongo. Ni sehemu chache sana ndizo hazifikiki kwa Gari..
Pili, nakubaliana na mengine yote aliyosema na nilichofurahi zaidi ni 75% ya watu wa huko Unga Limited wanasupport upinzani (CDM) kwa kujua serikali ndio inawakandamiza mpaka wao waishi vile. Lakini pia hakuna mkoa wowote Afrika usio na slums..
Sasa turudi Mwanza, kwanza kabisa 70% ya watu wa Mwanza wanaishi milimani.. Huko milimani hakuna vyoo wala huduma yeyote ya serikali.. Hakuna maji wanategemea ya ziwani.. Ni wenye uwezo wachache sana ndio wana maji kule milimani.. 70% mnaishi milimani, ni hatari sana hiyo..
Hzo nyumba mnazopost ni za wazungu wanaoish Chuga.. cse wanapenda kujenga kwa mtindo huo....ndo mana kwa tz hzo nyumba utazikuta Chuga, mosh, even mfindi kule iringa kwenye tea estate utazikuta...hii ni kwa sababu ya hali ya hewa.....hata baadh ya wabongo pia wanazo.....but sio kwamba mikoa ambayo haina hal ya hewa kama hyo haina nyumba nzur...zpo tena sana modernisedKwanza umechanganya.. Huyo aliyepost hiyo sio mimi... Alafu kama Moshi zipo nyingi basi ni vyema kabisa. North Empire..
Sasa tuwekee pagala la kishamba kama hilo kutoka Mwanza... Nitakufa hapa hapa...
Hzo nyumba mnazopost ni za wazungu wanaoish Chuga.. cse wanapenda kujenga kwa mtindo huo....ndo mana kwa tz hzo nyumba utazikuta Chuga, mosh, even mfindi kule iringa kwenye tea estate utazikuta...hii ni kwa sababu ya hali ya hewa.....hata baadh ya wabongo pia wanazo.....but sio kwamba mikoa ambayo haina hal ya hewa kama hyo haina nyumba nzur...zpo tena sana modernised
ZitajeWe kumbe n bogus....unabishan wakati hata arusha hupajui...sasa haufaham hata arusha kuna traffic lights sehemu ngap umekalia ubishi tu wa kipimbi...!
Yaani kama mwenge-bamaga-sayansi-moroko-namanga-st peter's ndio traffic light kwenye jiji zima la arusha? yaani barabara ya ali hassan mwinyi ina traffic lights nyingi kuliko mji mzima wa arusha?!Kwahiyo Arusha hakuna traffic lights???
Kweli wewe kapuku wa kutupwa hats Arusha hujawahi fika fanya mpango uje kuhiji huku we mlalahoi.
Arusha zipo traffic lights zaidi ya 6 mjini.
Ongezea na hz...hyo ni Capri point tuu bado cjakupeleka bwiru kwa watashaAhahahaa atatoa wapi cha kuweka kila kona vyoo vya majamvi na masalfeti Mwanza hawana tofauti na India kwenye vyoo kwao hill ni jambo la anasa.
Sasa hapa kuna tofaut gan na soko la morogoro we kiazi
Huwez ringishia stend ya arusha kwa Mwanza ndo mana nikasema we ni mshamba hujui lolote...kwa mtu Wa Chuga aliyeishi Mwanza anajua vitu vya kutishia kwa Mwanza ni mahotel na appartmentARUSHA stand ya busView attachment 404540View attachment 404541View attachment 404542ARUSHA stand ya bus
Kweli tatizo la vyoo limepata mbadala saivi ni express za toilet bags hahhahaa.View attachment 404546
Kwahiyo hapo ndio umeweka nini?Ongezea na hz...hyo ni Capri point tuu bado cjakupeleka bwiru kwa watasha
View attachment 405122View attachment 405123View attachment 405124View attachment 405125View attachment 405128
Hivi nyegezi nayo ni stand kweli??Huwez ringishia stend ya arusha kwa Mwanza ndo mana nikasema we ni mshamba hujui lolote...kwa mtu Wa Chuga aliyeishi Mwanza anajua vitu vya kutishia kwa Mwanza ni mahotel na appartment
Maana ya traffic lights ni control ya traffic congestion mfano flyovers za ubungo zikijengwa hakutakuwepo traffic lights pale the same to TAZARA pakikamilika hautaona traffic lights pale.Yaani kama mwenge-bamaga-sayansi-moroko-namanga-st peter's ndio traffic light kwenye jiji zima la arusha? yaani barabara ya ali hassan mwinyi ina traffic lights nyingi kuliko mji mzima wa arusha?!
OK huo utumbo wako saiz yake hii hapa mana hayo maboda boda hata tunduma yapo
karibu meru ujionee hali ya hewa na mazingira maridhawa kabs