Nilichogundua kuhusu Arusha

Halafu umesahau, huku Arusha tunaishi kibabe zaidi, karibu huku pande za Meru mkuu
 
Nothing is impossible kama land surveyors wapo... Halafu, hebu pita barabara ya Arusha- Namanga uone tambarare zilizopo...
Mkuu kwenda namanga ni mpaka ufike mbuga nyeupe ndo unakutana na tambarare ambapo ukianzisha uwanja wa ndege urefu wake ni sawa na kwenda KIA sasa kuna haja gani hapo
 
Huwez peleka fiesta Chuga..utaishia kupata hasara...kule hakuna mwamko wa burdani
Huwezi kutuletea wabana pua huku tukawaelewa, hili ni jiji la hip hop labda hiyo Fiesta iwe na wana hip hop tupu!
 
Hata hii baridi na vumbi navyo ni sehemu ya mafunzo, semeni ukweli upinzani kuishika Arusha, serikali kuu imeingiza mikono kwenye sweta lengo ikiwa ni kuwasomesha namba kwa nini mmewapa upinzani, ila kwa jinsi mlivyo wabishi mtaribishia ili
Hatutegemei serikali kwa kila kitu, hatuli serikalini wala kulala serikalini mkuu, kuwa na heshima
 
Wakazi wa Arusha ni wabinafsi. Wana roho mbaya hata ongea yao ya kikatili katili tu mpaka wanawake...Mi nikifikaga Arusha kuna niboa sana kesho yake natamani kuondoka...Bora uishi Njombe au Songea wakazi wa huko wanaroho nzuri sana..
Ndo maana huku huwa hatupendi upumbavu upumbavu
 
Ona sasa mtu mzima unanizidi miaka 50 afu unaleta utoto aagrrr shkamoo kwanza....
Hoja hujibu unaruka ruka tu ,nishasafiri mara mbili nakata tiketi za precision kwenda mwanza ila tunapanda costa hadi KIA sasa kwanini hatuanzii safari Arusha?????
Sorry kwa kuingilia majibizano yenu, mkuu hebu kuwa mkweli unataka wajenge kiwanja kingine cha nini wakati KIA sio mbali kutoka Arusha mjini nauli haizidi hata elfu mbili, pia hata kiwanja cha bado kipo nje ya mji ingawa sio kama umbali wa kiwanja cha KIA, hata geography ya Arusha mjini hairuhusu kiwanja kikubwa cha ndege karibu na mjini zaidi mpaka uanze kutoka nje ya mji, au kama kweli unaijua geography ya Arusha hebu niambie ni sehemu gani unaona uwanja wa ndege unaweza kujengwa ili kuhimili ndege kubwa ambapo ni karibu na mjini ukiachana na kuanzia Kikatiti ambapo KIA inaanzia labda na mbuga nyeupe ukiwa unaelekea Namanga na kidogo maeneo ya TMA!?
 
OK...wana style yao...aka weusi
 
Duh watu mmeleta mahaba tu hapa hakuna asiejua kama arusha ni kuzuri, again arusha ni pazuri mnooo ila kwanini stand ipo vile ,kwanini hakuna kiwanja cha ndege cha maana?
Sasa hivi eneo la kujenga stand limeshapatikana maeneo ya tengeru, na hiyo stand ni ya mda mrefu hata kabla mji haujakua na ilikuwa inajitoshereza kwa mahitaji wakati huo lakini sio sasa
 
Aisee mbna unaongea kshabiki sana.....wamachinga Chuga hawapo, wachuuzi chuga hawapo? Nssf hotel ina miaka kumi? Mwanza kuna hotel mbili..? Rock city mall kuna wauza dagaa? Haha haaaaa...lofa sana wee....jitafakari af urud
 
Unajisifia mapagale ysliyopakwa ranging...but yamejaa popo...hyo club D in sehemu ya kutishiana bastola tuu....hakuna ktu mule
 
Hapana me bado aikubali sana Arusha
Arusha iko powa kwa kila kitu na ndo mji wa gharama kwa tz
 
Chuga kuna ujanja gan? Kunywa viroba
Unafikiri chuga kuna wapuuzi na washamba watembea na baiskeli ngala ngala... Huku ni uzunguni bwana ndio maana kuna mashindano ya kizungu zungu kama Kilimanjaro Marathon wakati Mwanza mashindano yenu ni ya kuendesha baiskeli ngala ngala... Mnaishi milimani na mawe kama fisi hehehehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…