Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,252
- 10,497
Atuwacheeeee.......tujipake mambo yetu....khaaaa!!!!......kila kukicha.....bora ya jana......hatupumui.......
tenaaaaaah!!! chezeiya kitu cha dodo?
Atuwacheeeee.......tujipake mambo yetu....khaaaa!!!!......kila kukicha.....bora ya jana......hatupumui.......
We acha tu, nilikuwa na demu akaenda nje ka miezi mitatu hivi. Kurudi kajichibua, nikajiweka pembeni fasta. Siwezagi kabisa!
Kujipiga deki ndo habari ya mjini kwa sasa. Ila kusema ukweli wanaume mna shida, hivi mnajisikiaje mnavyo do na wanawake sura fanta mgongo pepsi? hamuogopi mchanganyiko wa rangi? Me kwa kweli mwanamke mwenzangu akijichubua namuogopa, hata akipika chakula napata shida kula.
Pokea na mwaaaa

Jumamosi nilienda kwenye nyama choma festival. Offcourse ilikuwa na watu wengi wa kila aina.
Niliwahi kuingia so I had an opportunity kupita pita almost kwenye kila angle kuangalia.
Sasa baadae nikawa nimekaa sehem na washkaji piga story mbili tatu.
Lakini kila wasichana(ladies) wakipita wengi wao ni weupe na weupe wao sio ule natural yaani unaona kabisa hapa kuna "wema type" nikajiuliza ndo style ama genes za watu weupe zimeisha?
tenaaaaaah!!! chezeiya kitu cha dodo?
yaaani mdau ulikosa cha kuobserve zaidi ya rangi za wadada? ulifata nyama au mwanamke?
Mshangae! Wakati watu walikuwa wamebana wowowos na wana viuno kama nyigu. Hivi Una sketi ya bigijii uniazime nione kama kiuno changu Ni cha nyigu AMA cha nyoka?
Mshangae! Wakati watu walikuwa wamebana wowowos na wana viuno kama nyigu. Hivi Una sketi ya bigijii uniazime nione kama kiuno changu Ni cha nyigu AMA cha nyoka?
hehehehe!!! mkwe unataka uchekeshe walionuna au? halafu watu wakiwa na manyonyo makubwa wala hawasemwi ila wakiwa na mawowowo ya haja utaskia mchina huyooo. ni wivu au? wanapenda wenzao waumuke mbele nyuma wabaki flat.
Mie nasaka sketi ya pipi karanga
Taa zinakuwa zimezimwaKujipiga deki ndo habari ya mjini kwa sasa. Ila kusema ukweli wanaume mna shida, hivi mnajisikiaje mnavyo do na wanawake sura fanta mgongo pepsi? hamuogopi mchanganyiko wa rangi? Me kwa kweli mwanamke mwenzangu akijichubua namuogopa, hata akipika chakula napata shida kula.