mwathu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 403
- 210
Hizo rangi huwa zinaambatana na harufu mbaya sana ya uvundo sasa ukute kapiga na castle lite na nyama choma ...... Dooooooh inakuwa nyama choma kabisaaaaa
Jumamosi nilienda kwenye nyama choma festival. Offcourse ilikuwa na watu wengi wa kila aina.
Niliwahi kuingia so I had an opportunity kupita pita almost kwenye kila angle kuangalia.
Sasa baadae nikawa nimekaa sehem na washkaji piga story mbili tatu.
Lakini kila wasichana(ladies) wakipita wengi wao ni weupe na weupe wao sio ule natural yaani unaona kabisa hapa kuna "wema type" nikajiuliza ndo style ama genes za watu weupe zimeisha?