Nilicho observe Nyama Choma Festival

Nilicho observe Nyama Choma Festival

hehehehee nimeshika nguo hunidaliki ng'ooo
aisee usije fanya hivo yaani ukinishika bega kwa nyuma napiga yowe la mwizi hilo sijui kama utapona hapo kwenye bajaji hehehehheeI
la naona wameanza kuzipiga marufuku bajaji kuingia mjini sjui itakuweje kurudi kwenye noah za buku mbilimbili foleni yaani itabidi nianze kutembea tena tuu

Mmh!! kupigiana yowe la uizi tena wakati mwenzio nipo kwenye krashi :biggrin1:

Karibu kwenye klabu yetu ya matembezi ya hisani en route namanga kwenda morocco.
 
yaani mademu wangekuwa wanajua wakijichibua kipindi cha miaka 40 huwa wanakuaje wote wangeacjha kujichibua
kuna mama nimekutana nae sikuwa nimeonana kama miaka 8 yaani alikuwa amejichubia enzi hizo yupo hot mixer mwarabu mixer mzungu nimemuona juzi yaani yupo kama mdoli au mtu wa kuchora aliepangwa rangi na mtu anaejifunza kuchora shavu la huku mweusi la kule jekundu kwenye paji la uso mweusi basi ni shda tu,we have to embrace what we have kuwa mweupe sometimes sio dili.
 
Mmh!! kupigiana yowe la uizi tena wakati mwenzio nipo kwenye krashi :biggrin1:

Karibu kwenye klabu yetu ya matembezi ya hisani en route namanga kwenda morocco.
heheheee crash kaniachia manyoya sijamuona tena, asante ila mie matembezi naanzia posta kuja namanga
 
actually you did koku..!

where were you in all these days?

my machine freezes so i havve to go to jirani to access JF or to use my ka mchina which sometimes kanazingua pia.
Tell me what did i miss?
 
Jumamosi nilienda kwenye nyama choma festival. Offcourse ilikuwa na watu wengi wa kila aina.

Niliwahi kuingia so I had an opportunity kupita pita almost kwenye kila angle kuangalia.

Sasa baadae nikawa nimekaa sehem na washkaji piga story mbili tatu.

Lakini kila wasichana(ladies) wakipita wengi wao ni weupe na weupe wao sio ule natural yaani unaona kabisa hapa kuna "wema type" nikajiuliza ndo style ama genes za watu weupe zimeisha?

nilijua wamekuchuna kumbe mikorogo mkuu..
 
my machine freezes so i havve to go to jirani to access JF or to use my ka mchina which sometimes kanazingua pia.
Tell me what did i miss?

hahahahaaaa!! koku nafwa na my english yako!

you drove to the depth of the river with both legs..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom