Niliamini ananipenda kumbe alinifanya kichekesho

Niliamini ananipenda kumbe alinifanya kichekesho

NILIPOISHIA
Nikaingia chumbani na kukaa kitandani huku nikisinzia.

Kama baada ya dakika 20 hivi nikastushwa na sauti ya mlango ukifunguliwa niliinua kichwa haraka na kuangalia mlangoni.

Nikamwona mtu mnene mfipi kiasi akiwa amevalia nguo nyeusi na usoni amevaa kininja, umbo lake tu lilitosha kuniambia kwamba huyu ni mwanamke ekafunga mlango na kusogea nilipo.

Akafika na kukaa pembeni yangu akavua nikabu yake usoni na kunigeukia.

"Jamani kweli nyinyi ma last born ni watata kwahiyo ndiyo uliamua kweli tusionane"

Sauti yake ilinithibitishia kwamba kweli huyu ni Laima wangu.

ENDELEA

"Huna ustaarabu wala huruma hivi huu uchovu na hili baridi uniweke nje tena huu usiku unachukuliaje, haya si umefika hapo nioneshe umechubuka wapi? Ni kiuongo chako gani kilichopungua umekatika mikono! Au miguu au nini eenh?"

YEYE "Kim pole tatizo hujuwi mimi naishije hapa, yaani hadi nafika humu ndani ni kwasababu ni wewe tu, hata hivyo sitakuwa na muda mrefu hapa nitaondoka ili niwahi nyumbani"

"Sawa hata kama ni sasa unaweza kuondoka si tayari umeniona vizuri, au kama bado ngoja"

Nikawasha tochi ya simu na kujimulika usoni (Kumbuka ndani ya chumba taa inawaka)

"Haya niangalie vizuri, niangalie, niangalie, umeniona?"

Nikasimama na kunyoosha mikono kama mtu anaesachiwa na askari, nikazunguka ili aniangalie vizuri mgongoni.

"Haya niangalie, umeniona, umeridhika au bado? Kama tayari umeridhika unaweza kwenda kama bado unaweza kuniambia nifanye nini ili unione vizuri"

Nikafungua kamba za viatu nikavivua na kuveweka pembeni. nikakaa kitandani na kuvua flana na mkanda.

YEYE "Kim"

Nikamgeukia ili kumuaminisha kwamba nina msikia.

YEYE "sasa unaongea hayo maneno yote kwa kumaanisha kwamba unataka mimi nilale hapa?"

MIMI "Hapana nimekuonesha unione vizuri kwa sababu nataka uwahi nyumbani, au ulipofika hapa nimekwambia kwamba nataka ulale? Lakini mbona unatanguliza kumesema huna muda hapa sasa hivi utaondoka! Ndiyo maana mejionesha vizuri ili unione usije kupoteza muda"

Akanisogelea karibu hadi miguu yetu na mapaja ikawa yanagusana.

"Kim umenipenda"

Nikakaa kimya huku nikimtazama usoni kwa macho ya flani huvi kama nataka kujichekelea lakini najitahidi kuzuia tabasamu.

YEYE "Kim, mimi nimekupenda vipi wewe umenipenda?"

Sikuona sababu ya kusumbua mdomo kujibu swali lake, nikamvuta na kukilaza kichwa chake mapajani mwangu.

Nikamtazama kama dakika hivi huku yeye akiwa amefumba macho. nikamwinua na kumvua hijabu (Kumbuka mwanzo yeye alivua nikabu, wamakonde wenzangu tunachanganya hivi vitu )

Nikamlaza tena mapajani na kuanza kuutathimini uso wake, na mwili kwa ujumla.

Yeye alikuwa akinitazama tu huku akitabasamu.
Ukweli ni kwamba walichokuwa wakibisha Deo na Mudi pale kwenye pool table wote walikuwa sahihi. Mudi alikuwa sahihi kwamba Laima hana maajabu yoyote kwenye sura lakini pia Deo alikuwa sahihi kwamba Laima ni nyoko kwenye umbo yaani ni lile umbo lege lege, jirani zetu wa Mozambique wanaita Pwiti pwiti.

Nadhani hii pia ni miongoni mwa vitu vilivyo chochea kumwelewa kupindukia huyu mwanamke, maana mimi na wanawake mizigo ni hivi 🤞

"Haya na wewe tayari umemaliza au na mimi nisimame nigeuke geuke?"

MIMI "Simama ugeuke geuke"

YEYE " nyoo.. chimama unyenyuche nyenyuche.."

Tukaangua kicheko unaweza kudhani tunatazama katuni.

Wakati tukiwa katikati ya furaha nikamuinua chapu sana na kuikutanisha midomo yetu, alijitahidi kujitoa lakini nikatumia ubavu wangu wote kama vile naangusha ng'ombe.

Mwisho akatulia na kuacha ninywe juisi isiyo pitia kiwandani, baada ya muda mchache akaanza kunipa ulimi na kuanza kupokezana juu ya unywaji wa kimimika hiki ambacho ukiwekewa kwenye bakuli ukaambiwa unywe angalau funda mbili ili ulipwe malipo ya maana unaweza kukosa hela.

Nilipoona ametulia na amenigewa na mchezo huu pendwa, mkono wangu wa kulia nikaupa kazi ya kuanza kuusalimia mwili wake.

Akaushika na kujitoa haraka mwilini mwangu.

"Nini sasa kwamba ndiyo nafaidi au?"

Niliongea huku nikimtazama kwa macho ya uchu kishenzi yani.

YEYE "Mimi ni wako Kim wala usiwe na haraka, ngoja tuongee vitu vya msingi kwanza halafu ndiyo tufanye huo ujinga"

MIMI "unaita ujinga kitendo kilichokuleta duniani?"

Akacheka na kuniangukia tena mapajani.

YEYE "Hivi unajuwa tangu nimefika hatusalimiana?"

MIMI "wewe ulitaka tusalimiane? Unafika unaanza kuleta utoto unadhani tungesalimiana saa ngapi"

YEYE "Ila nimependa maamuzi yako ukisema hapana huna kelele nyingi unakazia hapo hapo, halafu hadi sasa namba yangu hujaitoa kwenye bloku ujue"

MIMI "Laima mimi ni mwanaume, mimi ni Baba, lazima niweze kujigawa katika sehemu zote kwenye ucheshi na kwenye ukali au unataka wanao wawe na baba mzembe mzembe tu?"

YEYE "Kwahiyo utanioa?"

MIMI "kwanini nisikuoe unadhani kuna mwanaume ambae hangependa kuwa na mwanamke ambae atampa furaha kama wewe! Changamoto ni kwamba muda wangu wa kufanya hayo maamuzi ni bado, kama nitawahi sana kuoa basi ni kuanzia miaka ishirini na mitano"

YEYE "Kim japo najua itaniumiza lakini nitajitahidi kusubiri. Kama utakuwa mkweli kwenye hili itatakiwa mimi na wewe tupate mtoto, najua wazee hawatakuwa na neno wakati nikikusubiri nikiwa na mwanao, vipi mtoto umefikiria kupata?"

MIMI "Sijawahi kuwaza kwamba nitapata mtoto kwa sasa kwa sababu sijawahi kuwa na mpenzi tukadumu kiasi cha kuaminiana, lakini najua unatambua kwamba katika dunia ya sasa hakuna kijana ambae hapendi kupata mtoto mapema"

"Ni kweli, kama moyo wako upo tayari kuwa na mimi kwenye ndoa nakuahidi nitafanya kila utakacho kihitaji"

Hapa nilitabasamu tu ili kuuridhisha moyo wangu ambao wenyewe unaruka ruka kwa furaha huko ndani.

Tuliongea mengi na Laima huku mikono yangu ikiwa na kazi ya kutalii katika mwili wake mara hii akiniacha huru kabisa.

Baridi iliyopo katika mji huu ulinifanya niuone mwili wa Laima ni wa moto na sio joto, hii ilifanya kasi ya 5G kupanda kwenye mnara wangu wa mawasiliano ya ngono.

Tulipana ahadi tele usiku ule, kama kweli Ahadi ni deni baasi deni langu lote inatakiwa alilipe yule mbwa maana ndiyo alifelisha matekelezo.

Baasi bwana.. nilipoona muda unazidi kwenda nikaanza mbwembwe zilizo ashiria kwamba sasa ninahitaji tuingie kwenye mchezo wa mieleka.

"Kim nikwambie kitu?"

MIMI "nakusikiliza mke wangu"

YEYE "Mimi leo siko sawa kiafya ndiyo maana mwanzo nimekuzuia tusifanye chochote"

MIMI "Haupo sawa kivipi unataka kunidanganya unaumwa"

YEYE "Hapana halafu hilo neno kunidanganya naomba ulifute mdomoni mwako mimi na wewe ni mtu na mume wake sasa japo ni wewe tu ndiyo utauchelewesha ubani"

MIMI "Laima hapo sasa unataka kunikaanga bila mafuta, yaani unaniambia hauko sawa ila unaingizia na mambo ya ndoa hapo hapo, ndiyo kwamba vipi nikuamini!"

YEYE "Hahahaha! Kukukaanga bila mafuta ndiyo nini?"

MIMI "niambie haupo sawa kivipi kwanza na huumwi"

YEYE "Nipo katika hedhi ndiyo maana nilikuwa nagoma kuongea na wewe ndani nilijuwa tu lazima utapata matamanio ya kimwili"

MIMI "Hakuna kitu kama hiko Laima huo ni uongo"

YEYE "Mme wangu kwa huyo huniamini?"

MIMI "Mimi ndiyo sikuamini"

Akakunja gauni lake hadi mapajani.

YEYE "Ingiza kidole uone"

Nikabaki nimeduwaa huku nikimwangalia usoni.

YEYE "Ingiza uthibitishe"

Alionge akiwa uso mkavu sana.

Roho moja ilikuwa inaniambia kwamba hapa Laima ananiuwa nyani mimi huku ananiangalia usoni, lakini roho ya pili ilikuwa inaniambia sio kitendo cha kiungwana kuzikaguwa nyeti za Laima kwa sababu tu ya kushiriki nae tendo.

Nikamtazama usoni alikuwa siriasi kweli, ile roho ya udhalilishaji ikachukua nafasi yake na kujikuta ninayafunika mapaja yake kwa gauni lake.
Ni kamvuta kifuani pangu na kumkumbatia kwa nguvu.

MIMI "Mke wangu"

YEYE "Mm"

MIMI "Sisi ni wanandoa wajao najuwa kama nitashindwa kukuamini leo itakuwa ni vigumu kukuamini kwenye maisha yote ambayo tutayaishi"

Nikamnyonya mate kidogo na kumuachia.

Tukaonge kwa dakika kadhaa baadae akaniaga.

Nikampa zawadi zake kwenye mfuko wa rambo (kipindi kile haijapigwa marufuku)

Nikamsindikiza hadi nje na kuagana huku tukipanga kesho asubuhi ningekwenda kwao.

Ilikuwa ni majira ya saa 4:30.
Nikarudi chumbani na kufunga mlango nijilaza kitandani.
Nikachukua simu na kumpigia Deo nikaiweka sikioni.

___________________________________
Sauti ambazo nilizisikia kwa mbaali zikaupa ubongo kazi ya kuchakata ili kujua ni sauti za nini na zinatokea wapi, baadae nikapata jibu ni sauti za adhana.

Nikafungua macho na kujikuta ni kiwa katika chumba chumba kile kile cha gest.
Baridi lilikuwa linapiga sio kitoto nilijisikitikia sana kuona nililala bila kujifunika shuka.

Nikachukuwa simu na kukuta missed call moja na meseji mbili za Deo.

Nikaangalia saa ilikuwa ni saa kumi na moja.

Nikaiweka simu kwenye chaji, nikaenda bafuni kisha nikarudi na kuendelea kulala.

Baasi bwana asubuhi pakakucha deo akanifata tukaelekea kwao.

Nikamsimulia kila kilichojili, akacheka sana nilipomwambia sikugonga kisa dogo alikua kwenye masiku (sikumsimulia kwamba alisema nimkague).

Tukapiga zetu chai na kusubiri ifike saa nne niende kwa kina Laima ambae muda wote nachati nae kwenye simu.

Nitaendelea wajumbe.
 
Unapendaje mtu mfupi halafu kibonge? 😹😹
Mwamke mnene ni ugonjwa wangu haijalishi kimo chake, japo akiwa mfupi sana kuna baadhi ya style hazipendezi, kwa mfano ule mtindo mwanamke analala chali halafu mwanaume anakuwa juu yake huku akiweka miguu ya mwanamke mabegani, sijuwi ndiyo wanaita misionali. Sasa ukimuweka ule mwanamke mnene halafu mfupi sana tumbo linajikusanya pamoja na kuwa kama puto linataka kupasuka.
 
Mwamke mnene ni ugonjwa wangu haijalishi kimo chake, japo akiwa mfupi sana kuna baadhi ya style hazipendezi, kwa mfano ule mtindo mwanamke analala chali halafu mwanaume anakiwa juu yake huku aiyeka miguu ya mwanamke mabegani, sijuwi ndiyo wanaita misionali. Sasa ukimuweka ule mwanamke mnene halafu mfupi sana tumbo linajikusanya pamoja na kuwa kama puto linataka kupasuka.
😹😹😹 Hauna picha ya wifi tumuone?
 
Laima 😜
🤣🤣🤣 sina huwa siruhusu aijuwe namba ninayotumia wasapu, kwa sababu nahofia naweza kuona picha zake. Zikanurudisha mbali kifikra nikapagawa nae nikatamani kurudisha mazoea wakati yeye yupo kwenye ndoa sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom