Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,860
- Thread starter
- #241
Tunaenda mwisho sasaUnaonaje ukianza kutoa Advance kabisa then tumalizie kazi 😂😂, maana huchelewi kunitapeli
Tunaenda mwisho sasaUnaonaje ukianza kutoa Advance kabisa then tumalizie kazi 😂😂, maana huchelewi kunitapeli
Tunaenda mwisho sasa.Deo kama Deo
Anajua mbinu za kuwaingiza kuku wajanja bandani
Naenda kumaliza hiki kisa.Tajil huna BAYA... maliza sasa
Shusha vitu sasa TajiriTunaenda mwisho sasa
Mkuu malizia basi au na wewe ndiyo umeamua kututesa kimawzo wasomji wako
mbona huweki? hizi tabia siyo za kitajiri kabisa,
Hiyo ushaisoma?Shusha vitu sasa Tajiri
Pamoja mkuu
Tunaenda mwisho sasaDuuh
Tunaenda mwisho sasa.
Endelea basi, tuburudike na laima wa newala
Toka jana wewe shusha vitu apo tumalizeHiyo ushaisoma?
Tunaenda mwisho sasaI'm in.
🤣🤣🤣🤣🤣 haya bhana.Toka jana wewe shusha vitu apo tumalize
Nishasoma weka mwisho nioneTunaenda mwisho sasa
Sawa mkuu.Nishasoma weka mwisho nione
Kama lilivyo jina lako Tajiri huna baya shukran utazipata maliza story kwanza🤣🤣🤣🤣🤣
Ila hujashuku kwa tajiri kukuzalishia ajira.