Niliacha chuo ili nifanye biashara, sasa mtaji umekatika sijui nifanye nini?

sijui nikuzabue vibaoo
 
Nimejifunza kitu ongera nigga.(Mapenzi tupunguze tutafute pesaa)
 
hongera mkuu umewainspire vijana wengi sana kwa hii feedback yko, kwamba pambana and never give up, je ulianza rasmi mwaka gani?? Unakunja kiasi kwa siku?? Yaan mauzo. Mimi nilianza mwaka jana mwishoni, development mpk sasa nasema Asante Mungu.
Nilianza 2017 baada ya kuacha chuo...!!kwa sasa mauzo ya chini sana ni 140k...coz mtaan vingi nnavyo mimi...na leo nmetoka kuongeza vngne vpyaa...just najtahd hili duka liza jingne
 
so inspirational umetisha mzee ila mtaji ulioanza nao ni laki tano pekee?
 
The best investment for one year is to grow grains; the best investment for ten years is to grow trees; the best investment for a lifetime is to educate people. What you gain from one year’s growth will be grains; what you gain from ten years’ growth will be trees; what you gain from a hundred years’ growth will be people
 
Pole sana ndugu.Inaonekana kibiashara hukufanya kitu kinachoitwa upembuzi yakinifu.Aina ya biashara uliyoichagua uliichagua kwa sababu tu uliona una mtaji mkononi.

Lakini pia inaonekana hata kwenye juhudi ya kile unachokifanya bado Nina mashaka kama unaweza kufanikiwa kwa sababu.Kwanza katika masomo 7 ulirudia 4 hii ina maana hata nusu ya masomo hukufanikiwa kupita wastani achalia mbali kufaulu.Ukaingia mtaani pia ukapata supplementary ya aina ya biashara uliyochagua.

Nimeandika haya ili kujifunza mambo 2.Kwanza kufanya upembuzi yakinifu kwa kila aina ya biashara unayotaka kufanya.Pili kuweka juhudi kwenye kila unachokifanya.Hapa haijalishi unapitia changamoto kiasi gani.Kwani changamoto ni sehemu ya maisha.

Mwisho.Ushauri wangu kwa sasa tafuta kibarua uanze upya.Pia, usitegemee suala la kupata mfadhili ili kulipa utakapopata kazi.Kazi kwa sasa hakuna na hats zikiwepo hazielwezi kuwatosheleza vijana wote.

Nakuombea pia ufanikiwe katika hayo.
 
Mkuu pole usikate tamaa ndio mitihani ya Dunia.Yaani hapo ulipofikia ndio maisha halisi ya ujasiriamali yanaanza.
Msingi anza na connection ya karibu then angalia biashara yenye mtaji kidogo pambana nayo.
Nenda hata kkoo ongea na chinga wanaotandika vitu ujifunze mdogo mdogo.cha msingi katika kipindi hiki usiwe mwoga.
Ni kawaida binadamu unapochukua abnormal decisions kukuhukumu so usikate tamaa.
You are the champion.Mateso,dharau, kudondoka na mafanikio yanakungoja genius.msingi komaa
 
I like it
 
Nilianza 2017 baada ya kuacha chuo...!!kwa sasa mauzo ya chini sana ni 140k...coz mtaan vingi nnavyo mimi...na leo nmetoka kuongeza vngne vpyaa...just najtahd hili duka liza jingne
Uko vzr mkuu, pia goli lako inaonekana liko center nzr sana, mauzo ni ya kuridhisha mno, ukikomaa ndan ya mwaka mmoja kwa mauzo hayo unafungua goli jingine la maana tu.
 
Hongera mkuu
 
Pambana mkuu,acha kuishi stoo
 
MKuu hongera sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…