Nile vyakula gani niongeze kilo 5 ndani ya wiki2?

Nile vyakula gani niongeze kilo 5 ndani ya wiki2?

kiss ov love

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2025
Posts
9,363
Reaction score
16,092
Wakuu nataka kuongeza uzito kidogo ushauri wenu muhimu.

Hivi nile vyakula vipi kwa wingi niongeze walau kilo 5 in 2 weeks

03681732811507a2c5e15823796efdb2.jpg
 
Asubuhi, chapati, supu na pepsi baridi..
Tafuna tafuna chocolate 🍫za kutosha..
Mchana gonga wali wako, na pepsi,
Saa 10 hivi kandamiza kiepe yai na soda baridi..
Shibda unakula kula vi snacks
Usiku kula saa 4 au saa 5, ugali wako na nyama nyingi.. piga na pepsi
Kesho yake gonga uji na blue band ya kutosha
Saa 4 chapati, mixer na soda..
Irudie ratiba hii, ndani ya wiki 2 utaipata habari yake
 
Asubuhi, chapati, supu na pepsi baridi..
Tafuna tafuna chocolate 🍫za kutosha..
Mchana gonga wali wako, na pepsi,
Saa 10 hivi kandamiza kiepe yai na soda baridi..
Shida unakula kula vi snacks
Usiku kula saa 4 au saa 5, ugali wako na nyama nyingi.. piga na pepsi
Kesho yake gonga uji na blee banda ya kutosha
Saa 4 chapati, mixer na soda..
Irudie ratiba hii, ndani ya wiki 2 utaipata habari yake
Asante mkuu nitaifanyia kazi hii ratiba
 
Watakuja kukushauri ule kitimoto na Bia za baridi ,vuguvugu na moto..

Mie ushauri wangu kama una Mwanaume fanya mapenz mara kwa mara (Amwagie ndani). Lala usingizi mzr mwili utaongezeka kwa afya...
 
Back
Top Bottom