Nilaumu macho yangu Au moyo, niambieni?

Nilaumu macho yangu Au moyo, niambieni?

Yeah napenda sana kusafiri ila bado kuna sehemu nyingi sana duniani natamani nifike na sijafika pengine labda ni kwa sababu za kiuchumi lakini Inshaallah Mwenyezi Mungu akijaalia ipo siku nitafika
Kumbe sometimes we can speak the same language, just so you know I am a traveller.

Penye nia pana njia
 
Ulijuaje mkuu?? Zanzibar sijawahi fika kabisa japo sina mwenyeji huko ila ndiyo mahali palipo akilini mwangu kwa sasa yaani natamani sana nifike huko kwa ajili ya kutalii tu ila ndiyo nakosa muda!!
Karibu sana visiwa cha marashi.

Ukiwa tayar tutawasiliana
 
Yeah wewe nilishakugundua tu kwenye ule uzi wako ulioelezea jinsi ulivyoenda Madina na Mecca na wazazi wako ulivyokuwa unarusha na zile picha nilikuwa nakutamania haujui tu na ukasema ulikuwa umetoka likizo Singapore na familia yako nikajua tu kuwa utakuwa unapenda kusafiri
Kumbe sometimes we can speak the same language, just so you know I am a traveller.

Penye nia pana njia
 
Yeah wewe nilishakugundua tu kwenye ule uzi wako ulioelezea jinsi ulivyoenda Madina na Mecca na wazazi wako ulivyokuwa unarusha na zile picha nilikuwa nakutamania haujui tu na ukasema ulikuwa umetoka likizo Singapore na familia yako nikajua tu kuwa utakuwa unapenda kusafiri
Hahaahaahahahahahahaah!

Usichukulie serious basi. Anyway, I am trying to travel around the world. Kuna member hapa ni traveller ila sitamtaja. Ame-comment kwenye huu uzi na nadhani kashawahi fika zaidi ya nchi 20 duniani na bado yupo na plan za kutembea zaidi na zaidi. Salute kwake
 
Aisee hongera zake ni ke au me??
 
Ukiona mwanaume anapenda nyimbo za hivi basi mkague marinda kama yapo,
 
One of the major difference between me and you is, I matured when I was only 16 and you are as you are (immature).
 
Back
Top Bottom