Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,401
- 465,253
Sura za babu hizo ndio huwa nazipenda mimi [emoji847][emoji847]Labda......
Au pengine sina bahati
Sura za babu hizo ndio huwa nazipenda mimi [emoji847][emoji847]Labda......
Au pengine sina bahati
Asante dadaLindo lema dada
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Au alikuwa hataki tuchat hapa mimi na wewe??
HmmmmSura za babu hizo ndio huwa nazipenda mimi [emoji847][emoji847]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ebu ukoooHmmmm
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ebu ukooo
Hata mimi nahisi hivyoBahati unayo!
Nimejifkiria mwenzanguHahahah eti mapembe
Kumbe?? Na wala sio mambo ya lindoHamna kuna siku tu sijisikii kuingia jf ujue siku hazifanani si unajua utu uzima ukibisha hodi
Eenh siku nyingine sio lindo leo ndio nipo lindo sasa mpaka mida hii nipo hukuKumbe?? Na wala sio mambo ya lindo
HahhahahahNimejifkiria mwenzangu
Mi unanisingizia tu best yanguHuu wimbo kwa kweli unawafaa watu ambao wamesababisha vijana kulaumu macho yao kwa kuona.
List ni kama ifuatavyo.
Khantwe
cute b
Zuriel_cfc
Sakayo
kapeace
Hannah
Mzigua90
Zesh
Saint anne
Fragaria
Shunie
Madam vivian original
Vi rendra
ledada
Na wengine weeeeeengi.
Sema kweli!Loh leo ndiyo nimejua jinsia ya huyu Zuriel_cfc maana nilikuwaga sielewi kama ni ke au me
[emoji3][emoji3]haki ya nani vile kuna siku nilitaka nikuulize kwenye mada fulani hivi ila nikahisi ungenimind nikaona nipotezee tu[emoji2][emoji2]Sema kweli!
Bas ondoa shaka mimi ni ke tena mama wawili[emoji3][emoji3]haki ya nani vile kuna siku nilitaka nikuulize kwenye mada fulani hivi ila nikahisi ungenimind nikaona nipotezee tu[emoji2][emoji2]
Ooh sawa hongera sana..Bas ondoa shaka mimi ni ke tena mama wawili
Mbona michango yake tu inaonyesha[emoji3][emoji3]haki ya nani vile kuna siku nilitaka nikuulize kwenye mada fulani hivi ila nikahisi ungenimind nikaona nipotezee tu[emoji2][emoji2]
Hakuwahi kujua huyuBas ondoa shaka mimi ni ke tena mama wawili
Hahahaahahahaha.Ooh sawa hongera sana..
Wewe ni shabiki wa chelsea eenh??