Nilaumu macho yangu Au moyo, niambieni?

Nilaumu macho yangu Au moyo, niambieni?

Hapanaaa! Hebu iangalie tena hiyo post yangu ukiwa umetulia
Nimetuliza akili nikaanzia kwenye comment yangu niliyosema mimi huwa ndio nachezewa hisia zangu, nikaja kwenye jibu lako na dictionary yangu pembeni kisha nikaja na hili jibu.
Ila ngoja nibadili kamusi nikasome upya.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukiniona mimi umemuona babangu!! Nikiwa primary mwalimu wangu alikuwa akiniita jina la babangu!
Mbona kama sitaki kuamini hivi mkuu
 
Nimetuliza akili nikaanzia kwenye comment yangu niliyosema mimi huwa ndio nachezewa hisia zangu, nikaja kwenye jibu lako na dictionary yangu pembeni kisha nikaja na hili jibu.
Ila ngoja nibadili kamusi nikasome upya.
I will pass to you a most correct dictionary
 
Back
Top Bottom