Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,401
- 465,253
HahhahahNdo maana nikakuacha ulale mpaka jioni
HahhahahNdo maana nikakuacha ulale mpaka jioni
[emoji1787][emoji1787] hata sijui dadaHebu hukoo
Asa waogopa nini eti jamani
Kwani unaniogopa??Ebu kuja apa unaniachaje peke yangu apa
Hahahah kwani mimi nakuogopa etiKwani unaniogopa??
Mbona mimi ni mtu mwema tu
MmmhhhHuyo kanikariri kila siku nipo lindo
Au alikuwa hataki tuchat hapa mimi na wewe??Huyo kanikariri kila siku nipo lindo
Hata mimi ndio nashangaaHahahah kwani mimi nakuogopa eti
Bahati unayo!Labda......
Au pengine sina bahati
Wala kuna mda sijisikii tu kuingia jf lindo naingia leo apa ndio najiandaaMmmhhh
Huwa ukipotea ni lindo bana
Lindo naanza leo na kesho hizo siku niliingia asubuhiAlikuwa lindo kweli
Hamna kuna siku tu sijisikii kuingia jf ujue siku hazifanani si unajua utu uzima ukibisha hodiAu alikuwa hataki tuchat hapa mimi na wewe??
Sawa dadaWala kuna mda sijisikii tu kuingia jf lindo naingia leo apa ndio najiandaa
Lindo lema dadaLindo naanza leo na kesho hizo siku niliingia asubuhi