Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,418
- Thread starter
- #141
Na wewe upoooo๐๐๐๐๐๐ Amen
Si unajua ile ngumukukumbuka kila mmoja
Na wewe upoooo๐๐๐๐๐๐ Amen
Mungu wangu.Doh... Mzeebaba wote hao wamekusumbua!!๐
Basi huyo special ni special kweli ..I hope she knows how lucky she is that God brought you into her life ...
Ila mie sipo kwenye list hiyo jameni sijawahi sumbua mtu mie ..
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Sawa my dear [emoji8][emoji7]Nimekusamehe sasa usinisingizie tena[emoji7]
Kakusalimia pia!Ntashkuru sana.
Usisahau kumwambia atufanyie maombi maana imefika kipindi hatujui tulaumu nini, moto au macho
Nawaza hizo.......Unawaza nini???
HahahahahahaHapa umesema aiseeee
Umekuwa korofi eeh? [emoji23][emoji23][emoji23]I believe
Ahsante sana.Kakusalimia pia!
Mimi nitachukua jukumu la kuwaombea!
Kwa kweli zinawazishaNawaza hizo.......
HahaahahahaahahahahHahahahahaha
Kwa mara ya kwanza umekuwa mpolee
๐๐๐๐๐๐๐๐Umekuwa korofi eeh? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mtaje tumjue huyo ambapo mambo yako yamekuponza.Best anajijua mwenyewe.
Amini nakwambia anajijua
Ondoa shaka kabisaa my dearAhsante sana.
Uniombeee
Kwa ubuyu weweeeeee๐๐๐๐๐Mtaje tumjue huyo ambapo mambo yako yamekuponza.
SaaanaaaKwa kweli zinawazisha