Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,366
- 161,495
Yaani acha kabisaa...
Yaani acha kabisaa...
Sijawahi kabisa ila na hiyo mandhari imenifanya nihisi kama vile nipo kwenye kisiwa tulivu chenye fukwe nzuri daah sijui ni kwa vile napenda sana adventuresWapi?? Kwani hujawahi kuuskiliza???
Poleeeee
Umenionea.Huu wimbo kwa kweli unawafaa watu ambao wamesababisha vijana kulaumu macho yao kwa kuona.
List ni kama ifuatavyo.
Khantwe
cute b
Zuriel_cfc
Sakayo
kapeace
Hannah
Mzigua90
Zesh
Saint anne
Fragaria
Shunie
Madam vivian original
Vi rendra
ledada
Na wengine weeeeeengi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nani baharia?? Yaani mimi baharia??
Hata wewe pia?? Unanikandamiza???
Haraka haraka hebuuuuu
😂😂😂😂... Dah... naonewaaaaa!Mungu wangu.
Tena wewe ndio usiseme haswaaaaaa.
Umevuruga umevuruga umevuruga. Watu mpaka hawajui walaumu mioyo au macho yao
Kumbe??Sijawahi kabisa ila na hiyo mandhari imenifanya nihisi kama vile nipo kwenye kisiwa tulivu chenye fukwe nzuri daah sijui ni kwa vile napenda sana adventures
Zanzibar ni njema atakae na ajeSijawahi kabisa ila na hiyo mandhari imenifanya nihisi kama vile nipo kwenye kisiwa tulivu chenye fukwe nzuri daah sijui ni kwa vile napenda sana adventures
Why?? How are you??Umenionea.
Sikustahili kuwepo hapa
Baharia mimi. NtajifunzaSio wewe, we unaanzaje kuwa baharia
😄😄😄😄😄😄😄😄Nimetania tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani uongo!??Why?? How are you??
Utakua mtoto mbayaaaaaBaharia mimi. Ntajifunza
Wewe wasema!!?Zanzibar ni njema atakae na aje
Yeah napenda sana kusafiri ila bado kuna sehemu nyingi sana duniani natamani nifike na sijafika pengine labda ni kwa sababu za kiuchumi lakini Inshaallah Mwenyezi Mungu akijaalia ipo siku nitafikaKumbe??
You are the traveller it seems
Ulijuaje mkuu?? Zanzibar sijawahi fika kabisa japo sina mwenyeji huko ila ndiyo mahali palipo akilini mwangu kwa sasa yaani natamani sana nifike huko kwa ajili ya kutalii tu ila ndiyo nakosa muda!!Zanzibar ni njema atakae na aje