MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,752
- 5,497
- Thread starter
- #61
albert einstein alikua noma sana mkuu...ndo the father of modern physics
mkuu tafuta facts mkuu, Tesla alikuwa mentor wa einstain, ndio amemotivate wanasayansi vijana wa wakati huo akiwemo na einstain.
Wamarekani wanajaribu kumuhafififsha huyu jamaa na kumkuza einstain lakini ukweli uko moyoni mwao.