NIKOLA TESLA: Kwa nini watu kama hawa dunia ni nadra kuwapata?

albert einstein alikua noma sana mkuu...ndo the father of modern physics

mkuu tafuta facts mkuu, Tesla alikuwa mentor wa einstain, ndio amemotivate wanasayansi vijana wa wakati huo akiwemo na einstain.
Wamarekani wanajaribu kumuhafififsha huyu jamaa na kumkuza einstain lakini ukweli uko moyoni mwao.
3169532-albert.jpg
 
hivi kuna chanzo chochote kinaweka wazi kuwa mentor wa einstein alikua tesla

Mimi simjui vzuri tesla lakini einstein namjuajua na nimemsoma pia,huyu jamaa alikua noma..kuna wakati ashapewa fursa ya kua rais wa taifa la marekani kipindi hicho lakini akakataa...ni mtu ambaye theory zake mpaka leo wanasayansi bado zinawatatiza

haijalishi nani alikua mentor wa nani
 
hivi kuna chanzo chochote kinaweka wazi kuwa mentor wa einstein alikua tesla,tofauti na hio picha maana yaweza kua ni effects za adobe photoshop.

Mimi simjui vzuri tesla lakini einstein namjuajua na nimemsoma pia,huyu jamaa alikua noma..kuna wakati ashapewa fursa ya kua rais wa taifa la marekani kipindi hicho lakini akakataa...ni mtu ambaye theory zake mpaka leo wanasayansi bado zinawatatiza

haijalishi nani alikua mentor wa nani
 
Nashindwa kumchambua Tesla alikuwa mtu wa aina gani Jamaa ni Role mode Wangu kwa kweli , Jamaa ame patent vitu vingi sana inshu kama AC current alternator, Transformer, Tesla ndo wa kwanza ku implement wazo la Polyphase system, Hakuoa mpaka anakufa na alifia hotelini Uzee ulimkuta alipenda sana Kumtembelea rafiki ake mark twain ambae ni Mtunzi wa vitabu na mashairi Shortly Tesla was a Polymath In engineering field
 
hivi kuna chanzo chochote kinaweka wazi kuwa mentor wa einstein alikua tesla

Mimi simjui vzuri tesla lakini einstein namjuajua na nimemsoma pia,huyu jamaa alikua noma..kuna wakati ashapewa fursa ya kua rais wa taifa la marekani kipindi hicho lakini akakataa...ni mtu ambaye theory zake mpaka leo wanasayansi bado zinawatatiza

haijalishi nani alikua mentor wa nani
Mkuu huyo tesla hafai,kwani einstain aligundua nini tofauti na bomu la nyukilia
 
Jamani ntapata wapi kitabu ama movie inayo elezea maisha ya huyu jamaa?kama vipo je vinaitwaje?
 
Tesla alikuwa ni mvumbuzi si mfanya biashara.

Wametengeneza gari sasa hivi za umeme kwa kutumia teknolojia yake ya betri na super charger aliyoivumbuwa miaka mingi sana iliyopita , zinafanya kazi vizuri na zinauzika sana kuliko gari yoyote ya umeme na imepewa jina hilo hilo Tesla:

hero_forest_nored.jpeg

Source na soma zaidi: Tesla Motors | Premium Electric Vehicles
Kumbe upo deep.....nilidhani ni kwenye chama tu
 
"They own the present....I own the future".....for sure huyu mtu ni genious....hela kwake haikuwa issue.....thats why he died broke
 
Back
Top Bottom