Tesla alikuwa kikwazo kwa wafanya biashara wakubwa na wanasayansi wenzake,hivyo walifanya kila mbinu kumtuliza.Hayo mabaya karibu yote yaliyomtokea yalipangwa na wafanyabiashara akiwemo JP.Morgan.
-Tesla alipingana na mwalimu wake kuhusu sayansi ya AC motor,Tesla alikuwa sahihi.
-Tesla alipingana na Edison kuhusu sayansi na faida za AC current,Tesla alishinda.
-Mantiki za Tesla zilipingana na hoja za Albert Eistein kuhusu relativity theory,Tesla alikuwa sahihi.
Tesla alijenga mnara mkubwa sana kwa lengo la kulisha umeme dunia nzima bure,watu wangepata umeme huo kwa njia ya kuukinga na antenna kwenye nyumba zao.JP.Morgan alipomuuliza "unajenga mnara huo kwa lengo gani?",Tesla akasema "nataka kulisha umeme dunia nzima bure bila kutumia wire".JP.Morgan aliposikia hivyo akasimamisha ufadhili wake kwa Tesla na kuachana naye,Tesla akashindwa kuendelea na project hiyo kwa kukosa mfadhili.
Tesla alikuwa mwanasayansi mwenye ethics halisi za sayansi halisi,alikuwa na lengo hasa la kuona watu wanafaidika na kichwa chake.Lakini lengo lake lilitofautiana na mabeberu wa kipindi kile ambao ndio offsprings zao zinashikilia serikali ya Marekani kwa sasa.Na ndio maana project yoyote yenye lengo la kusaidia watu walio wengi bure au kwa gharama nafuu kwa sasa haiwezi kufadhiliwa au kuachwa iendelee.Ukitaka kuamini hili anza kufuatilia taratibu masuala makubwa kwenye AFYA,KILIMO na ELIMU,utaona kuna watu kazi yao ni kuzuia maendeleo katika nyanja hizo.
Kwangu mimi Tesla ndio mwanasayansi bora wa karne yake.Sasa hivi kuna mwanasayansi mmoja muhimu sana na amefanya mambo mazito sana kwenye dunia hii lakini wengi hawamfahamu,huyu jamaa project yake ikikamilika dunia itaandika historia nyingine kabisa na kuweka mambo ya sasa kwenye makabrasha yatakayowekwa kwenye makumbusho kwa ajili ya kufundishia watoto wetu.Huyu anaitwa Jacque Fresco,project yake inaitwa The Venus.
Fuatilia 'The Venus Project' kwenye mitandao/youtube ili ujionee huyu ni mtu wa aina gani.Hapa ndio utaona kwamba sisi tumewekewa vifungo vya akili na mambo fulani katika dunia hii,especially MONEY.
DARPA's RINGS - A renewable electromagnetic power generator being tested at the International Space Station Image Source |
T= Wb / m[SUP]2[/SUP]
ulikuwa unasoma historia yake?
Nijuzeni alioa? Ama alikuwa na watoto na wanafanya au walifanya ishu gani?
anastahili pongezi kwa juhudi zake natumaini kila mmoja anatamani awe hai hadi leo ila kila kitu kinatokea kwa sababu.
Nijuzeni alioa? Ama alikuwa na watoto na wanafanya au walifanya ishu gani?
anastahili pongezi kwa juhudi zake natumaini kila mmoja anatamani awe hai hadi leo ila kila kitu kinatokea kwa sababu.
hakuwai kuoa wala kuwa na mahusiano yoyote, Hii ni moja ya kauli yake alipoulizwa katika miaka yake ya mwisho mwisho.
"Sometimes I feel that by not marrying, I made too great a sacrifice to my work ...''
mkuu uko vizuri kuna hawa jamaa fujo zao za physics na mathematics zilikuwa miaka ya 1700s Daniel Bernoulli na Pierre-Simon LaplaceKuna Kichwa kimoja kinaitwa Carl Friedrich Gauss, " The Prince of Mathematics", Hiki nacho kilikuwa ni balaa!
Offcourse nayo pia niliisoma ili kumjua vizuri huyu Guru.
kwa point ya hapo chini, Tesla hakuhitaji mathematical formulas kuvumbua vitu kama akina Einstain ambaye formula yake ilitengeneza bomu la atomic liliouwa wajapani, jamaa alifikiri na kufanya majaribio na kuwaacha watu midomo wazi.
mfano alipotengeneza vibrating electric shock ambayo ilitetemesha ghorofa zima ilasababisha police na zima moto wajaea lakini kumbe ni tesla alikuwa kazini.
Baada ya hapo alisema anaweza tengeneza low friquency electric vibrator ambayo ikifungwa madarasani na watu wanapokuwa wanasoma hiyo vibration inaweza kustimulate ubongo na hata kama ni kilaza kiasi gani lazima akili zichaji.
Jamaa hawakumtilia maani lkn angeweza,