Nikola Tesla ni mfano mzuri wa jinsi viumbe wanavyoelekeza mwelekeo na maendeleo ya sayansi na teknolojia katika maisha yetu hapa duñiani..

Great YHC

Senior Member
Jan 1, 2024
167
596
NIKOLA TESLA;;10/7/1856-7/1/1943. Nikola Tesla ni mfano mzuri wa jinsi viumbe wanavyoelekeza mwelekeo na maendeleo ya sayansi na teknolojia katika maisha yetu hapa duñiani..kumaanisha kuwa hakuna uvumbuzi wa aina yoyote aidha wa sanaa,sayansi n.k. ambao hawajachangia! Nikola Tesla ni mserbia ( Croatia ya saiv) ambaye akiwa bado na umri mdogo alikuwa akipata flash za mwanga kuhusu vitu mbalimbali na uvumbuzi..aliumwà kasoro kufa.Aliacha chuo na kuajiriwa kwenye makumpuni mbali hadi mwishowe akahamia marekani.Aliacha ajira na kuanza kufànya tafiti mbalimbali na kuvumbua teknolojia nyingi ambazo zingezingatiwa haswà kuhusu uzalishaji wa Umeme( free energy )..mabepari wengi wangekosa faida ndipo wakampotezea na kuiba hati miliki na tafiti zake! Fauka ya häyo..Tesla alijaliwa maono makubwa ..alilpenda sana kulisha njiwa kitu ambacho kilifanya akatimuliwà kwenye baadhi ya makaazi yake kwani walikuja kwa maelfu ..aligharamika kuwalisha kwa miaka mingi.kwenye biografia yake anasimulia njiwa moja kipenzi chake ambaye alimuona kama mwanamke wake..kwani Tesla katika maisha yake hakuwahi jihusisha na mahusiano ya màpenzi; yeye ni kazi zake na njiwa wake tu basi! Usingizi wake ulikuwa sio zaidi ya masaa 2! Alivumbua mengi sana ambayo muda wake ulikuwa haujafika..na walimuibia sana haswà Albert Einstein ..hadi kifo chake aliishi maisha duni ukilinganisha na hadhi yake.Amekuja kukubalika miaka ya juzi hadi tajiri namba moja duniani kwa sasa ELON MUSK akaamua kutumia jina lake kwenye model za magari anayotengeneza yatakayobadilisha taswira ya sekta ya usafir.
 
wanasayansi wote walio hasisi teknolojia na vumbuzi walionekana vichaa wapinga dini kimtazamo. wa imani za watu.
kipindi cha wakatoliki waliwaua sana au kupinga tafiti.
ssa huku kwa wenzetu wavaa kobazi wanataka kwenda mbinguni ya dunia kwao sio kitu
 
Back
Top Bottom