Niko njiapanda ya kuchagua dini sahihi

Niko njiapanda ya kuchagua dini sahihi

Karibu sana katika Uislam. Uislam ndio Dini yako ya asili. Unaposilimu unakuwa unarudi katika asili. Uislam ndio Dini ya maumbile yako. Rudi katika maumbile yako halisi. Moyo wako hauna utulivu deep down kwa sababu haupo katika maumbile yako halisi. Ulizaliwa katika Fitrah (maumbile ya asili) ya Uislam, ila wazazi/walezi wakakubadilisha. Tumeumbwa sisi kumuabudu Allah Peke Yake bila ya kumshirikisha na chochote kile (kuwa Waislam).

Mitume (Amani iwe yao) walikuja kuwaongoza watu na kuwarekebisha pale ambapo Fitrah yao ilipochafuliwa, Mitume wakaletwa kuwasafisha na kuwaongoza watu kurudi katika Fitrah yao, warudi kumuabudu Allah Peke Yake bila ya kumshirikisha na chochote.

Yule Aliyeumba kila kitu na ni Muweza juu ya kila kitu Ndiye Anayestahiki Kuabudiwa na Anaabudiwa vile anavyotaka Yeye kwa sababu Yeye Ndio Mjuzi juu ya kila kitu. Ndio maana kaleta Mitume ili wawalinganie watu wao warudi katika Fitrah (maumbile ya asili) yao ya kumuabudu Allah Peke Yake bila ya kumshirikisha na chochote kile na Allah Akawafunulia Mitume hao namna ya kumuabudu Yeye wakawafundisha jamaa zao.

Mitume wote walikuja kuwalingania na kuwaongoza watu wao kurudi katika maumbile ya asili na lengo la kuumbwa kwao wamuabudu Allah Peke Yake bila ya kumshirikisha na chochote.

Kila watu walipopotoka katika maumbile yao halisi na wakaacha mafundisho ya Mitume, Allah Alileta Mtume mwengine mpaka alipokuja Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake).

Mitume wote ikiwemo Nuh, Ibrahim, Musa, 'Iysa/Yesu na Mtume wa Mwisho Muhammad ambaye alitumwa kwa watu wote kwa zama zote mpaka Qiyama na akawa ni Mtume wa Mwisho na hakuna Mtume wala Nabii baada yake (Swala na Salamu ziwe juu yake na juu ya Mitume wote) walikuja kuwarudisha watu katika lengo la kuumbwa kwao.

Mtume Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) ndio Mtume wa mwisho na ndio alikuja na Sheria ya mwisho kutoka kwa Allah, na Sheria hiyo itabaki mpaka Qiyama, na wafuasi wa manabii waliopita wanawajibika kumfuata Mtume wa Mwisho pamoja na Sheria aliyokuja nayo kutoka kwa Mola wake.

Hivyo mkuu nodetz Uislam ndio Haqq na ndio njia ya sawa na ndio Dini ya Manabii na Mitume wote wa Allah (Amani iwe juu yao Manabii na Mitume wote) na ndio Dini yako ya asili.

ayat 64 from Surah Al Imran
﴿قُلْ يَا أَهْلَ الْكِتَابِ تَعَالَوْا إِلَىٰ كَلِمَةٍ سَوَاءٍ بَيْنَنَا وَبَيْنَكُمْ أَلَّا نَعْبُدَ إِلَّا اللَّهَ وَلَا نُشْرِكَ بِهِ شَيْئًا وَلَا يَتَّخِذَ بَعْضُنَا بَعْضًا أَرْبَابًا مِّن دُونِ اللَّهِ ۚ فَإِن تَوَلَّوْا فَقُولُوا اشْهَدُوا بِأَنَّا مُسْلِمُونَ﴾
[ آل عمران: 64]

Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Njooni kwenye neno lilio sawa baina yetu na nyinyi: Ya kwamba tusimuabudu yeyote ila Mwenyezi Mungu, wala tusimshirikishe na chochote; wala tusifanyane sisi kwa sisi kuwa Waola Walezi badala ya Mwenyezi Mungu. Na wakigeuka basi semeni: Shuhudieni ya kwamba sisi ni Waislamu.
Uislam ni dini ya juzi juzi ambayo imecopi baadhi ya vitu kwenye Bible na kuongezea tamaduni za kiarabu zilizojengwa katika wivu wa mapenzi, ulaghai na uchawi.
 
Sio sahihi kusema dini za kigeni, huwa nasema mara zote kwamba hata huko arabuni walikuwa wana imani zao kabla ya uislamu kuja kusambaa arabuni leo tunaona uislamu ni dini ya asili ya waarabu, na ukristo ni hivyo hivyo kwa wazungu nao walikuwa na imani zao kabla ukristo kusambaa huko.
Waafrika tuna laani karibu kila kitu kuhusu wakoloni KASORO dini zao tu

Waamini dini mmefungwa akili hata kwa vitu vilivyo wazi kabisa ili mradi tu vinatetea imani zenu

Uyahudi, Ukristo na Uislam ni IBRAMIC RELIGIOUS BELIEVE

UYAHUDI ndio ulioanza kwa mkusanyiko wa simulizi za mababu wa mababu wa kiimani wa yahudi karne kwa karne ndani ya Uyahudini(sio Asia, Afrika, Ulaya, Amerika nk)
Wayahudi walikua wakiamini katika Mungu wao na hakuwa Mungu wa watu wengine zaidi yao

UKRISTO
Alipokuja Yesu kwanza akatambua Mungu na hekaya za Kiyahudi kisha akaongezea za kwake….. na alipo fariki wafuasi wake wakamfanya kuwa Mungu wa wote,, Hapa ndipo Ukristo ukaanza kutoka kwenye asili ya uyahudi na kuanza kusambaa nje ya uyahudi
Na kwasababu Ukristo ulipata pingamizi sana Uyahudini ndio maana ulikita mizizi bara ulaya na kuonekana kama dini ya asili ya ulaya

UISLAM
Akaja Bwana Mudi pale Uarabuni, na yeye akautambua Uyahudi, akautambua Ukristo(Injili)lakini akachukua hekaya zao na kuzifanyia remix zikawa na version za kiarabu akidai original hekaya za kiyahudi na kikristo zimechakachuliwa
Akaongezea na mila na tamaduni za kiarabu kisha akajazilizia na hekaya zake kiutawala akapata UISLAM ndani ya UARABUNI(sio Afrika Asia Ulaya nk)

Uyahudi hadi leo hii ni dini ya wayahudi tu na ndio asili yao

Ukristo kwasababu ulisambaa sana ulaya umebeba nembo kama ni asili ya wazungu kwasababu walikuja kuutengeneza ukristo uliopo sasa kwa kutumia tamaduni na mila zao

Uislam ni dini ya asili ya kiarabu kwa maana ya kuanzishwa Uarabuni na kufuata kwa asilimia kubwa mila na tamaduni za kiarabu

Utakua na matatizo ukikataa kwamba uislam sio asili ya kiarabu ni sawa na ukatae Uhindu sio dini ya kiasili ya watu wa Asia ya uhindini

Kusambaa kwa dini fulani kulikua kunategemea na influence ya watu wa dini husika…. Ukristo na Uislam kwa kiasi kikubwa umesambazwa kwa nguvu za kivita na kiuchumi

Hata sisi waafrika tulikua na dini zetu kama zilivyokua zakwao ila kwasababu ya nguvu za kivita na uchumi(ukoloni) tumeaminishwa dini zao ndio bora
 
Mwanzon nilikuwa nna mawazo kama yako.
Nkajua atheism iko nje ya hiyo nyumba, kumbe nayo ni chumba tu ndani ya hiyo nyumba.
Spirituality nacho ni chumba tu,
Scientology nacho ni chumba tu.

Kitu kilicho karibu na kutoka Kwenye hiko chumba ni Buddhism, tena particularly zen Buddhism
Hao budhism wana upekee gani ambao uliuona?
 
Dini moja ililetwa na Bepari la kizungu ingine ililetwa na Waarabu kwa kutumia mashua wakaeneza dini zao Afrika mashariki sisi tumefata dini za Babu zetu ambao wao ndio walipokea hizi dini kutoka kwa hao wauza watu na maisha yanaendelea..
 
Waafrika tuna laani karibu kila kitu kuhusu wakoloni KASORO dini zao tu

Waamini dini mmefungwa akili hata kwa vitu vilivyo wazi kabisa ili mradi tu vinatetea imani zenu

Uyahudi, Ukristo na Uislam ni IBRAMIC RELIGIOUS BELIEVE

UYAHUDI ndio ulioanza kwa mkusanyiko wa simulizi za mababu wa mababu wa kiimani wa yahudi karne kwa karne ndani ya Uyahudini(sio Asia, Afrika, Ulaya, Amerika nk)
Wayahudi walikua wakiamini katika Mungu wao na hakuwa Mungu wa watu wengine zaidi yao

UKRISTO
Alipokuja Yesu kwanza akatambua Mungu na hekaya za Kiyahudi kisha akaongezea za kwake….. na alipo fariki wafuasi wake wakamfanya kuwa Mungu wa wote,, Hapa ndipo Ukristo ukaanza kutoka kwenye asili ya uyahudi na kuanza kusambaa nje ya uyahudi
Na kwasababu Ukristo ulipata pingamizi sana Uyahudini ndio maana ulikita mizizi bara ulaya na kuonekana kama dini ya asili ya ulaya

UISLAM
Akaja Bwana Mudi pale Uarabuni, na yeye akautambua Uyahudi, akautambua Ukristo(Injili)lakini akachukua hekaya zao na kuzifanyia remix zikawa na version za kiarabu akidai original hekaya za kiyahudi na kikristo zimechakachuliwa
Akaongezea na mila na tamaduni za kiarabu kisha akajazilizia na hekaya zake kiutawala akapata UISLAM ndani ya UARABUNI(sio Afrika Asia Ulaya nk)

Uyahudi hadi leo hii ni dini ya wayahudi tu na ndio asili yao

Ukristo kwasababu ulisambaa sana ulaya umebeba nembo kama ni asili ya wazungu kwasababu walikuja kuutengeneza ukristo uliopo sasa kwa kutumia tamaduni na mila zao

Uislam ni dini ya asili ya kiarabu kwa maana ya kuanzishwa Uarabuni na kufuata kwa asilimia kubwa mila na tamaduni za kiarabu

Utakua na matatizo ukikataa kwamba uislam sio asili ya kiarabu ni sawa na ukatae Uhindu sio dini ya kiasili ya watu wa Asia ya uhindini

Kusambaa kwa dini fulani kulikua kunategemea na influence ya watu wa dini husika…. Ukristo na Uislam kwa kiasi kikubwa umesambazwa kwa nguvu za kivita na kiuchumi

Hata sisi waafrika tulikua na dini zetu kama zilivyokua zakwao ila kwasababu ya nguvu za kivita na uchumi(ukoloni) tumeaminishwa dini zao ndio bora

Adam alikuwa Muislam
Nuhu alikuwa Muislam
Ibrahimu alikuwa Muislam
Isaka alikuwa Muislam
Yakobo alikuwa Muislam
Musa alikuwa Muislam
Daudi alikuwa Muislam
Zakaria alikuwa Muislam
Mariam alikuwa Muislam
Yesu alikuwa Muislam

Kama Kuna mtu alikuambia kuwa hao walikuwa wapagani kama wewe au walikuwa wakristo kama Papa Francis basi huyo amekudanganya
 
Upo sahihi Babu yangu kule kisa Tukuyu alitoa eneo kwa hao jamaa wakamjengea nyumba nzuri kwa wakati huo na akawa dini yao na babu yangu wa kule Njinjo alipewa magunia kadhaa ya mpunga ili atoe mtoto wake akasome shule za mission ila alikua dini tofauti na wao baadae jamii ilitaka kumtenga kwa kufanya hivyo ikabidi akimbilie Mlandizi hapo kwa Matias na maisha yakaendelea mzee akapata Elimu nae akaja kuishi mbeya sisi tunaendelea kufata dini zao Mzala upo sahihi sana sema wengi hawakupata masimulizi ya kweli kutoka kwa Babu zao au baba zao..
 
Mkuu kuna watu hata sio waislam wana wake zaidi ya hao 4 na bado hawajihisi kuwa na hatia yoyote na labda nikwambie mm sijaoa na sina hata hilo wazo kwasasa.
Alaf kwanin wengi mnaangalia vitu vinavyo ahidiwa kwa wahisilamu kama ndo msukumo unaowafanya watu kuingia kwenye hiyo dini.

Kiufupi naaangalia sehemu salama ambayo naweza kuwa na malezi bora kwangu na kwa watoto na kizazi changu kijacho sababu dini nyingi zihalibiwa na huu utandawazi yaani dunia yasasa nikawaida kukuta watu wakilitumia kanisa kwa mambo ya hovyo.

Kwaiyo sina chochote ninachotegemea kupata kwenye iyo dini unayoisema zaidi ya kumjua mungu na kupata. maadili na malezi bora kwangu na kwa familia yangu ijayo
Naanza kukuelewa sasa unachokitafuta na unachokitafakari,kwa mfano kuna yule mdada wa Bongo movie ambaye uchi wake ulisambazwa mitandaoni naye alifungua kanisa na anaitwa mchungaji.
Uko na point.
Uislamu utakufaa,kwenye uislamu akijitokeza mtu akajiita mtume tunamfuata siku hiyo hiyo atuonyeshe huo utume alipewaje na alikabidhiwa kitabu gani na Mungu,pia atuonyeshe utofauti wake na binadamu wengine uko wapi.
Huwa hatukubali kizembe eti mtu kazaliwa Manzese au Buza ajiite mtume halafu tumkubalie,a big no.

View: https://vt.tiktok.com/ZSSP8Sy3m/
 
Ingia ka
Kinachokutatiza ni kitu kimoja tu mkuu
Unatumia akili (logic) katika kuchanganua mambo ya dini yako hiyo kitu kinachokufanya uanze kujiuliza jambo fulani linawezekana vipi. Ukitaka kuwa muumini mtiifu wa dini yoyote ni lazima uamini bila kuhoji mistari katika vitabu hivyo vya dini. Maneno kadhaa ya kwenye biblia na Quran hayaendani na uhalisia kwa hiyo we chagua tu dini moja iamini hivyo hivyo.

Kubwa kuliko yote ukitaka kuwa muumini mzuri wa dini fulani basi usitumie philosophy katika kuchanganua mambo ya kidini.
Ingia katika uslam na njoo na maswali yote majibu yapo cha msingi uwe tayari kusoma na uombe Allah akukupe Muongozo,
 
Katika uslam kuna makundi pia ambayo yanapotosha cha msingi uwe na uwezo wa kusoma na uslam hauruhusu kufuata mtu bila kuwa na dalili kwani siku ya mwisho utaulizwa ww
Naanza kukuelewa sasa unachokitafuta na unachokitafakari,kwa mfano kuna yule mdada wa Bongo movie ambaye uchi wake ulisambazwa mitandaoni naye alifungua kanisa na anaitwa mchungaji.
Uko na point.
Uislamu utakufaa,kwenye uislamu akijitokeza mtu akajiita mtume tunamfuata siku hiyo hiyo atuonyeshe huo utume alipewaje na alikabidhiwa kitabu gani na Mungu,pia atuonyeshe utofauti wake na binadamu wengine uko wapi.
Huwa hatukubali kizembe eti mtu kazaliwa Manzese au Buza ajiite mtume halafu tumkubalie,a big no.
 
Sijataka nikuulize kwanjia ya message ili kila mtu ajifunze jambo hapa.

Nimekua mkristo tangu nakua huwa najitaidi kuelewa kuwa yesu ni mungu ila nikili mbele za kila mtu sijawai elewa hilo na kiukweli sijawai amini eti yesu ndiye mungu nisidanganye na hali hii inawakuta wakristo weng ila ni wachache wanaweza kusema.

Najua utaleta habari za utatu mtakatifu ila hata ilo pia sijawai lielewa ndo maana huwa najihisi mimi sio mkristo.
Wewe uko na upeo mpana sana,wengi wamekaririshwa hivyo tangu wakiwa watoto hadi wanakuwa watu wazima lakini hawajawahi kulitafakari hilo.
Ukiona umeweza kulitafakari hilo jua kuna nguvu ndani yako inayokukumbusha utafute njia sahihi kabla hujafa
 
Adam alikuwa Muislam
Nuhu alikuwa Muislam
Ibrahimu alikuwa Muislam
Isaka alikuwa Muislam
Yakobo alikuwa Muislam
Musa alikuwa Muislam
Daudi alikuwa Muislam
Zakaria alikuwa Muislam
Mariam alikuwa Muislam
Yesu alikuwa Muislam

Kama Kuna mtu alikuambia kuwa hao walikuwa wapagani kama wewe au walikuwa wakristo kama Papa Francis basi huyo amekudanganya
Samahani ila unaweza kuthibitidha hilo
 
Itoshe tu kusema upo kwenye njia sahihi ya kuachana na huu utumwa wa kifikra unaitwa Mungu na dini zake

Dini hazitaki matumizi sahihi ya akili(Logic) ukianza kutumia logic kwenye dini basi ujue hakuna dini itakayo kua sahihi zaidi ya kuziona ni Hekaya kama za Bulicheka tu

Logically concept ya Mungu kwa dini zote doesn’t make sense at all
Kinachofanyika ni blindly believe……. Accepting God is truly without questions, proof or critical evaluation and ignoring the fact

Kinachotokea kwako ni kwamba akili yako imegoma blindly believing, umeanza kutumia logic kwa kuhoji, kutaka proof, kuchambua na kuzingatia uhalisi ndio maana umeanza kuona dini uliyorithishwa na wazazi inawalakini…… ukienda upande wa pili kwa Mudi ndio hautachukua hata mwaka utaona ni HADITHI tu za alfu lela wa ulela

Karibu kwenye ukweli na uhuru wa kifikra, Mungu ni hekaya tu za kisadikika
Duuh ndicho kiko akilini mwangu kwasas
So wew hauamini kuhusu mungu ??
 
Mpaka sasa sijapata majibu juu ya haya hizi.Waislamu wasomi wapo wengi sana humu ila hili swali wanaliogopa na sababu kubwa ni kwamba linaanika imani yao kuwa ni ya uongo.Kama wanabisha waje kusema nani anayeongea katika haya hizi.?
Quran 75:16
Usiutikisie huu wahyi ulimi wako kwa kuufanyia haraka.
Quran 75:17
Hakika ni juu yetu kuukusanya na kuusomesha.
Quran 75:18
Tunapo usoma, basi nawe fuatiliza kusoma kwake.
Mkuu kwanini husiandike uzi ili kuuliza kitu hicho maana naitaji pia kufahamu maana yake ni nini na nahisi hawajibu kwasababu hawaoni comment yako.
 
Hakuna MUNGU.

Hakuna DINI sahihi.

Dini ZOTE ni UTAPELI.

Emancipate yourself from mental slavery.

Trash God.

Trash Religion.

Live free.
 
Samahani ila unaweza kuthibitidha hilo
Ni vizuri ukatumia akili yako kuthibitisha Kwa kusoma maandiko

Msome mmoja badala ya mwingine
Alikuwa anaishi vipi
Alikuwa anakula Nini
Alikuwa anaamini Mungu wangapi
Alikuwa anafanya vipi ibada zake

Utapata jibu utaratibu wa maisha yake ulikuwa unafana na Uislam. Ukristo au upagani

Maana mwisho wa siku wewe ndio utakaenda Jahanamu au peponi
 
Dini uliyozaliwa nayo shika hiyo hiyo. Hizi dini zote na imani zote ni mifumo ya Utawala tu! Mungu hahuko kwenye dini!
 
Back
Top Bottom