Niko njiapanda ya kuchagua dini sahihi

Niko njiapanda ya kuchagua dini sahihi

Sijataka nikuulize kwanjia ya message ili kila mtu ajifunze jambo hapa.

Nimekua mkristo tangu nakua huwa najitaidi kuelewa kuwa yesu ni mungu ila nikili mbele za kila mtu sijawai elewa hilo na kiukweli sijawai amini eti yesu ndiye mungu nisidanganye na hali hii inawakuta wakristo weng ila ni wachache wanaweza kusema.

Najua utaleta habari za utatu mtakatifu ila hata ilo pia sijawai lielewa ndo maana huwa najihisi mimi sio mkristo.
 
Labda sisi binadamu tuna tabia ya kuukwepa ukweli.

Umeliwaza hilo
Ukweli kwa muktadha upi? Kwa sababu kwa mmoja unaweza kuonekana kama ukweli ila kwa mwingine ukawa uzushi.

Imani haijitaji critical thinking, yaani leo uanze kuwaza the origin of universe, God's existence, creation of man etc uwaze kwa kina, majibu yake yatakuoa kwenye reli ya imani....
 
Mipango ya shetan Una maanisha nini
Baada ya Adam kufanya kosa yeye pamoja na mkewe huko peponi kwa kushawishiwa na shetani, Adam na Hawa waliomba msamaha kwa Mungu na Mungu akakubali toba yao ila kwa masharti. Atawatoa humo peponi na kuwapeleka duniani na kizazi chake chote atakizalia duniani kisha atawaletea muongozo ambayo ndio dini ambao utawaelekeza nini cha kufanya na nini wasifanye ili kupata radhi za Mwenyezi Mungu na kuwarudisha tena peponi kwa yule atakeyefata na yule asiyefata ataenda motoni. Na muongozo wenyewe au dini yenyewe ni Uislamu, Sasa kwa kuwa shetani bado ni adui wa mwanadamu anahakikisha mwanadamu anapotea kwa njia yoyote ile ndio anaenda kuwashawishi wanadamu kuanzisha muongozo mengine au dini nyingine kinyume na Mwenyezi Mungu anavyotaka. Ndio maana unaona midini kibao ambayo haina kichwa Wala miguu, hiyo yote ni kazi ya shetani kuhakikisha mwanadamu hafati muongozo/dini sahihi ya Mungu. Kwa hiyo ndugu tuliza kichwa chako kufanya tathmini ili kujua muongozo/dini ipi sahihi ya Mwenyezi Mungu.
 
Do the right things, tenda wema kwa watu, wanyama na kila chenye uhai na jiepushe na ubaya wowote hasa kwa kiumbe chenye uhai that's enough mkuu, Love itself is a religion, it is our religion. 💚
Dini ya kweli ni UPENDO.
Nakushauri uanze kufanya 'MEDITATION' kwa kujiuliza 'Mimi ni Nani' na kusudio la kuwepo duniani ni nini.
 
Ukweli kwa muktadha upi? Kwa sababu kwa mmoja unaweza kuonekana kama ukweli ila kwa mwingine ukawa uzushi.

Imani haijitaji critical thinking, yaani leo uanze kuwaza the origin of universe, God's existence, creation of man etc uwaze kwa kina, majibu yake yatakuoa kwenye reli ya imani....
Mfano mim naamin mungu yupo sio kwa sababu nilifundishwa yupo ni naamini Coz kuna mazingira huwa nayapitia na nikiwaza kwa logic ni kuwa haiwezekani hivyo nafikia hitimisho kuwa iyo ni nguvu ya mungu na kama ulivyosema huwezi ukakiuliza chanzo kimekuaje coz huwez pata jibu ila kaka ishu nikua naamini kabisa kuna misingi lazima tuitumie kuishi hapa ili tupate maana ya mungu.
 
Mtafute mwalimu onesmo wa mbingu dunia tv youtube amefafanua kwa upana jinsi ya kuchagua dini na kuhani sahihi.
 
Habari wana jf leo ninaswala gumu linanitatiza naitaji maoni yenu.

Kama binadamu wengine namuamini mungu.

Ila napata wakati mugumu kuchagua dini ya kuabudia. Nikisema hivyo namaanisha mini ni mtu ambaye napenda kujifunza sana.

Na kijifunza kwanga kumefanya nibadili jinsi ninavyo itizama dini yangu iliyonelea (ukristo)

Nimekulia katika familia inayo abudua kupitia roman Catholic ila miaka mitano nyuma baada ya kujifunza na kuelewa vitu fulani mimi kama binadamu ninahaki ya kuchagua wapi nikaabudu ivyo nikaamua kubadili na kuwa katika makanisa ya kilokole.

Now nimwaka wa pili sasa huwa najiuliza kama uamuzi niliofanya ni sahihi make najikuta naitaji kubadili tena na safari hii naonelea zaidi kuwa mwisilam (dini ninayoipenda zaidi).

Kinacho nisukuma kufanya hivi sio nafata mkumbo hapana ila kunavitu vingi uwa vinanipa mwaswali na hayo maswali yakikosa majibu basi huwa naitaji kubadilisha msimamo wangu.

Nitaepuka kuweka maswali hayo hapa ili nisianzishe mjadala wa kinidi.

Kiukweli kabisa niko njia panda na ukizingatia naelewa pia sio rahisi kumwamini mungu kwa kuto shiriki katika dini yoyote maana utakosa malezi ya kidini japo wengine ufikili kuingia kwenye dini ni kama kujiingiza kwenye jela yako mwenyewe.

Ntashukulu kwa maoni yako mwana jf.
Kwani wewe ni mwarabu mpaka ufate dini ya kiarabu? Uislamu ni dini ya waarabu so kuwa makini na unachotaka kufanya
 
Karibu

kwenye DINI yangu ya ukweli
 
Ushauri wangu ingia uislamu,utakuwa katibu na Mola wako sana kuliko dini yoyote ile
 
Asante ila kwani wewe unaabudu kwenye dini ya waafrika?
Ndiyo mkuu, kwani hata kama ningekuwa naabudu dini nyingine tofauti na Uislamu lazima ingekuwa dini ya kigeni na siyo dini yangu. Tenda mema kwa kila kiumbe utakuwa umemaliza wala huitaji dini
 
fimboyaukwaju asante hicho ndicho nakitafuta
Mimi nina asili ya kizungu,mama yangu ni mtanzqnia na ninekulia kwenye mazingira ya kimagharibi,lakini nilikaa chini nikachagua uislamu na nina amani moyoni na naendelea na maisha yangu kwa utulivu ndani ya dini ya kiislamu,simuingilii mti na maisha yake na wala sijioneshi kuwa mie ni mshika dini kuliko mwingine
 
Back
Top Bottom