Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,340
- 46,128
Ni kweli lakini sidhani kama kuna dini ya kweli ukitumia logoc mkuu.Kweli ila dini zina athili iman zetu mkuu
Utahama kila pahala, kila pahali utaambiwa huna imani, Mungu ndo anajua, hilo lipo nje ya uwezo wetu kujua ni Mungu pekee. Hupaswi kuuliza hilo ni kufuru na vitu kama hivyo.