Niko njiapanda ya kuchagua dini sahihi

Niko njiapanda ya kuchagua dini sahihi

INATEGEMEANA. MI NAONA UWE MUISLAMU MI KWA TABIA ZANGU. ROLE MODEL WANGU NI MUDDY. MIMI NAPENDA SANA MADEMU NA NINA HASIRA MTU AKINIUDHI. UKRISTO MAMBO YA KUSAMEHEANA NA UPENDO SIWEZI. UKIWA MUISLAMU UNAKUWA FREE MAADUI ZAKO KUWAKATA VICHWA NA UNAENDA AKHERA HUKO UNAPATA MADEMU 72 BIKRA. NA PIA HATA HAPA DUNIANI UNAWEZA WACHANGE UTAKAVYO. UNAOA LEO AFTER A WEEK UNAMPIGA CHINI UNAOA WENGINE NA NI RUKSA.
Tabia halisi za waumini zinajulikana tuache kuzungumza vitu vya kufikirika.
 
Mkuu mimi sikatai hoja ya kuwa kuna creator ila idea ya kusema huyo creator ameanda athabu kwa kile alicho kiumba hapa
Kitu ambacho binafsi nakiona ni tatizo ni watu kutaka Mungu awe au wamuelewe kwa namna kama tulivyo sie binaadamu, jambo hilo tunalo sana watu wenye kuamini dini na Mungu na hata wasioamini Mungu nao hoja zao unaona kabisa walitaka Mungu awe kwa namna wanayo fikiria wao.

Ndio maana hoja kama za upendo wa Mungu na haya majanga ya ulimwengu imekuwa ngumu sana kueleweka, au kwamba Mungu ndio anafanya kila kitu.

Sasa kama wewe hapo Mkuu unaona haiwezekani Mungu kuweka moto wa kuwachoma watu, hiyo inaweza ikawa ni aina ya mtazamo unaomdhania huyo Mungu ndio maana unaona hilo haliwezekani.
 
Iko hivi:

1. Pure monotheistic religions ni mbili tu, Uislamu na Uyahudi, bahati mbaya Ukiristo una Imani ya utatu ambayo inalean kuelekea ktk upagani.

2. Unfortunately Uyahudi unamkataa Yesu

Kwa hiyo hapo umebakiwa na option ya Uislamu tu ambayo ni Pure monotheistic religion lakini at the same time unamkubali Yesu kama Messiah.

Karibu sana katika Uislamu.
 
Back
Top Bottom