Niko njiapanda ya kuchagua dini sahihi

Niko njiapanda ya kuchagua dini sahihi

Asante

Asant mkuu na kama nimekuelewa vizuri unamaanisha hatuitaji mwongozo wa kufuata ila tunaitaji tuu kuwa na upendo ?
Yap mkuu... yaani mawaidha, mahubili yooote hayo yame-focus kitu kimoja ambacho ni upendo... Ambapo wewe ukiyaishi maisha yaliyojawa na upendo automatically unakua njia safi na umemaliza...

Kitu utakacho kikosa ni ushilikiano kwasababu binadamu tunaishi kijumuiya kuna baada ya mambo/changamoto huwezi kuzikabili au kazikamilisha pekee yako.

Na ndio nikasema kama unajihisi mpweke unaweza kuchagua dini yoyote yenye miongozo unayoona unaimudu Unaishi nayo...

Na siokwamba unaabudu dini flani kwasababu ya kuwa karibu na mungu! hapana! upo pale kwa ushilikiano (kuogopa kama au endapo utapata changamoto basi utakua mgeni wa nani? Ila ukiokoka ama kusilimu inamaana utapata msaada kwa waumini wenzako kama wewe unavyo wasaidia pindi wapatapo na changamoto.)

Mkiwa katika jumiiya dini kuna shughuli/matukio zinafanyika bila adha yoyote ukilinganisha na Ungekua mwenyewe mfano:

Shelehe ni watu,
Misiba,
Majanga mengineyo. Nak.
 
nodetz nadhan hiki kitabu "the kybalio" ndio kimekulisha vitu unavyoamini hadi sasa.

Ni cha philosophy . Logic pia ni za ki-science.
 
Uko sahihi na nimekuelewa vizur sasa.
 
nodetz nadhan hiki kitabu "the kybalio" ndio kimekulisha vitu unavyoamini hadi sasa.

Ni cha philosophy . Logic pia ni za ki-science.
Haha nakijua na nishakisoma ila hakiondoi ukweli kwamba tunaitaji kumfahamu mungu
 
Habari wana jf leo ninaswala gumu linanitatiza naitaji maoni yenu.

Kama binadamu wengine namuamini mungu.

Ila napata wakati mugumu kuchagua dini ya kuabudia. Nikisema hivyo namaanisha mini ni mtu ambaye napenda kujifunza sana.

Na kijifunza kwanga kumefanya nibadili jinsi ninavyo itizama dini yangu iliyonelea (ukristo)

Nimekulia katika familia inayo abudua kupitia roman Catholic ila miaka mitano nyuma baada ya kujifunza na kuelewa vitu fulani mimi kama binadamu ninahaki ya kuchagua wapi nikaabudu ivyo nikaamua kubadili na kuwa katika makanisa ya kilokole.

Now nimwaka wa pili sasa huwa najiuliza kama uamuzi niliofanya ni sahihi make najikuta naitaji kubadili tena na safari hii naonelea zaidi kuwa mwisilam (dini ninayoipenda zaidi).

Kinacho nisukuma kufanya hivi sio nafata mkumbo hapana ila kunavitu vingi uwa vinanipa mwaswali na hayo maswali yakikosa majibu basi huwa naitaji kubadilisha msimamo wangu.

Nitaepuka kuweka maswali hayo hapa ili nisianzishe mjadala wa kinidi.

Kiukweli kabisa niko njia panda na ukizingatia naelewa pia sio rahisi kumwamini mungu kwa kuto shiriki katika dini yoyote maana utakosa malezi ya kidini japo wengine ufikili kuingia kwenye dini ni kama kujiingiza kwenye jela yako mwenyewe.

Ntashukulu kwa maoni yako mwana jf.
Mwqfrka hana dini.dini ni kasumba za kimagharibi usisumbue akili yako. Tenda yaliyo Mema kwa watu hiyo ni imani tosha
 
Kwa Hali hiyo ni sahihi kuwa njia panda, ukitegemea dini zote duniani zinahubiri kutenda mema.
LAKINI
Dini zote hapa Duniani hakuna hata dini Moja inatuambia ni namna Gani tunaweza kulipa deni la dhambi zetu isipokuwa ukristo peke yake, kutenda wema peke Yake hakutoshi tunatakiwa kulipa deni la dhambi na makosa ya kila siku.

utazunguka Dunia nzima utaishia kuwambiwa Sali na utende mema ila hakuna atakaekuambia deni la dhambi Yako ya Jana imelipiwa vipi?.

Yesu ni jibu.
 
Habari wana jf leo ninaswala gumu linanitatiza naitaji maoni yenu.

Kama binadamu wengine namuamini mungu.

Ila napata wakati mugumu kuchagua dini ya kuabudia. Nikisema hivyo namaanisha mini ni mtu ambaye napenda kujifunza sana.

Na kijifunza kwanga kumefanya nibadili jinsi ninavyo itizama dini yangu iliyonelea (ukristo)

Nimekulia katika familia inayo abudua kupitia roman Catholic ila miaka mitano nyuma baada ya kujifunza na kuelewa vitu fulani mimi kama binadamu ninahaki ya kuchagua wapi nikaabudu ivyo nikaamua kubadili na kuwa katika makanisa ya kilokole.

Now nimwaka wa pili sasa huwa najiuliza kama uamuzi niliofanya ni sahihi make najikuta naitaji kubadili tena na safari hii naonelea zaidi kuwa mwisilam (dini ninayoipenda zaidi).

Kinacho nisukuma kufanya hivi sio nafata mkumbo hapana ila kunavitu vingi uwa vinanipa mwaswali na hayo maswali yakikosa majibu basi huwa naitaji kubadilisha msimamo wangu.

Nitaepuka kuweka maswali hayo hapa ili nisianzishe mjadala wa kinidi.

Kiukweli kabisa niko njia panda na ukizingatia naelewa pia sio rahisi kumwamini mungu kwa kuto shiriki katika dini yoyote maana utakosa malezi ya kidini japo wengine ufikili kuingia kwenye dini ni kama kujiingiza kwenye jela yako mwenyewe.

Ntashukulu kwa maoni yako mwana jf.
Mwabudu Mungu ya walimwengu waachie walimwengu,
 
Sio sahihi kusema dini za kigeni, huwa nasema mara zote kwamba hata huko arabuni walikuwa wana imani zao kabla ya uislamu kuja kusambaa arabuni leo tunaona uislamu ni dini ya asili ya waarabu, na ukristo ni hivyo hivyo kwa wazungu nao walikuwa na imani zao kabla ukristo kusambaa huko.
Mkuu ninachomaanisha ni kuwa hizi dini za Uislamu na Ukristo ni dini za kigeni na siyo zetu. Tumeiga tu
 
Kuna mchina mmoja nilimuona You-tube na yeye alikuwa mkatoliki kama wewe. Akasoma Quran lakini akawa na wasiwasi kama uislamu ni dini ya kweli. Basi aliamua kufanya maombi maalumu akamuomba Mwenyezi Mungu, amuongoze na amuonyeshe ukweli ni upi?

Basi akachukua Biblia na Quran, kisha akamuomba Mwenyezi Mungu kuwa amuonyeshe kama Biblia ndio ya kweli kwa kumuonyesha Aya za Biblia zinazosema hiyo ndio kweli. Kwa maana alimuomba Mwenyezi Mungu kuwa atafunga macho na kisha atafungua Biblia randomly akiwa amefunga macho hivyo hivyo na akamuomba Mungu hiyo paragraph atakayoisoma iwe inasema kuwa hii ndio UKWELI ili aufuate.

Na kwamba pia atafungua Quran kama alivyofanya kwa Biblia yani atafunga macho kisha afungue page randomly huku akiwa amefunga macho na hiyo page au Aya atakayokutana nayo iwe inasema HII NDIO UKWELI ili aufuate. Huyu kijana alimwambia Mwenyezi Mungu kuwa ikiwa Biblia itamwambia kuwa ndio kweli basi ataifuata, na ikiwa Quran itamwambia kuwa ni kweli basi ataifuata. Kwa hivyo alimuomba Mwenyezi Mungu amuonyeshe ukweli kupitia vitabu hivi.

Alifungua Biblia kwa mara tatu akiwa amefunga macho na kila alipofungua ukurasa alifungua macho ili asome aone kama atapata Aya inayosema HII NDIO KWELI lakini haikutokea hivyo. Kisha akachukua Quran nayo akafunga macho akafungua randomly kisha akafungua macho ili kusoma akakuta Aya inasema HII NDIO KWELI, kisha akarudia tena kwa Quran na ikaja Aya nyengine tena inasema hii NI KWELI na aifuate. Huyu kijana alisilimu, na alionyeshwa ukweli huu na Mwenyezi Mungu Mwenyewe.

Sasa na wewe fanya hivyo, usiwasikilize watu wewe muombe Mungu atakuonyesha UKWELI na uufuate huo UKWELI. Ngoja nakutumia ile clip uingalie.
Namuomba Mwenyezi Mungu atuongoze wote katika njia iliyo ya KWELI

View: https://youtu.be/BtNDfpzhyzU?si=lKkC1ifHH74Rm8w4
 
Mungu ni yule yule ,Fanya vile moto wako unapenda,Hata ukiamua kuabudia nyumbani wewe abudu Tu kikubwa ni imani
 
Kwa ushauri wangu wa dhati kuwa Catholic , Lutheran au kuwa mwislamu, achana na kitu inaitwa ulokole kabisa.
 
Kuna mchina mmoja nilimuona You-tube na yeye alikuwa mkatoliki kama wewe. Akasoma Quran lakini akawa na wasiwasi kama uislamu ni dini ya kweli. Basi aliamua kufanya maombi maalumu akamuomba Mwenyezi Mungu, amuongoze na amuonyeshe ukweli ni upi?

Basi akachukua Biblia na Quran, kisha akamuomba Mwenyezi Mungu kuwa amuonyeshe kama Biblia ndio ya kweli kwa kumuonyesha Aya za Biblia zinazosema hiyo ndio kweli. Kwa maana alimuomba Mwenyezi Mungu kuwa atafunga macho na kisha atafungua Biblia randomly akiwa amefunga macho hivyo hivyo na akamuomba Mungu hiyo paragraph atakayoisoma iwe inasema kuwa hii ndio UKWELI ili aufuate.

Na kwamba pia atafungua Quran kama alivyofanya kwa Biblia yani atafunga macho kisha afungue page randomly huku akiwa amefunga macho na hiyo page au Aya atakayokutana nayo iwe inasema HII NDIO UKWELI ili aufuate. Huyu kijana alimwambia Mwenyezi Mungu kuwa ikiwa Biblia itamwambia kuwa ndio kweli basi ataifuata, na ikiwa Quran itamwambia kuwa ni kweli basi ataifuata. Kwa hivyo alimuomba Mwenyezi Mungu amuonyeshe ukweli kupitia vitabu hivi.

Alifungua Biblia kwa mara tatu akiwa amefunga macho na kila alipofungua ukurasa alifungua macho ili asome aone kama atapata Aya inayosema HII NDIO KWELI lakini haikutokea hivyo. Kisha akachukua Quran nayo akafunga macho akafungua randomly kisha akafungua macho ili kusoma akakuta Aya inasema HII NDIO KWELI, kisha akarudia tena kwa Quran na ikaja Aya nyengine tena inasema hii NI KWELI na aifuate. Huyu kijana alisilimu, na alionyeshwa ukweli huu na Mwenyezi Mungu Mwenyewe.

Sasa na wewe fanya hivyo, usiwasikilize watu wewe muombe Mungu atakuonyesha UKWELI na uufuate huo UKWELI. Ngoja nakutumia ile clip uingalie.
Namuomba Mwenyezi Mungu atuongoze wote katika njia iliyo ya KWELI

View: https://youtu.be/BtNDfpzhyzU?si=lKkC1ifHH74Rm8w4

Hizi propaganda zipo nyingi sana mitandaoni..
Mimi muislamu akiweza kujibu hili swali nitaamini hii dini ya kweli
Quran 75:16
Usiutikisie huu wahyi ulimi wako kwa kuufanyia haraka.
Quran 75:17
Hakika ni juu yetu kuukusanya na kuusomesha.
Quran 75:18
Tunapo usoma, basi nawe fuatiliza kusoma kwake.

Haya maneno katika hizi aya alikuwa anaongea nani ..Ni Allah? ni Gibril au wote ??
 
Habari wana jf leo ninaswala gumu linanitatiza naitaji maoni yenu.

Kama binadamu wengine namuamini mungu.

Ila napata wakati mugumu kuchagua dini ya kuabudia. Nikisema hivyo namaanisha mini ni mtu ambaye napenda kujifunza sana.

Na kijifunza kwanga kumefanya nibadili jinsi ninavyo itizama dini yangu iliyonelea (ukristo)

Nimekulia katika familia inayo abudua kupitia roman Catholic ila miaka mitano nyuma baada ya kujifunza na kuelewa vitu fulani mimi kama binadamu ninahaki ya kuchagua wapi nikaabudu ivyo nikaamua kubadili na kuwa katika makanisa ya kilokole.

Now nimwaka wa pili sasa huwa najiuliza kama uamuzi niliofanya ni sahihi make najikuta naitaji kubadili tena na safari hii naonelea zaidi kuwa mwisilam (dini ninayoipenda zaidi).

Kinacho nisukuma kufanya hivi sio nafata mkumbo hapana ila kunavitu vingi uwa vinanipa mwaswali na hayo maswali yakikosa majibu basi huwa naitaji kubadilisha msimamo wangu.

Nitaepuka kuweka maswali hayo hapa ili nisianzishe mjadala wa kinidi.

Kiukweli kabisa niko njia panda na ukizingatia naelewa pia sio rahisi kumwamini mungu kwa kuto shiriki katika dini yoyote maana utakosa malezi ya kidini japo wengine ufikili kuingia kwenye dini ni kama kujiingiza kwenye jela yako mwenyewe.

Ntashukulu kwa maoni yako mwana jf.
Jifunze kuhusu Mimi,Niko katika dini ambayo haijakamilika, watu ni wezi,wazinzi,mafisadi,wachawi .... Ila Huwa naamini Mimi nipo ili kuwaonyesha Nini Mungu anataka, najitahidi kuwa kinyume na yote hayo, Nashukuru baadhi wameniamini, Huwa napata vinafasi vya kuzungumza,sure Huwa sikosei, nawachana ukweli

Kuhusu namna ya kuabudu , naamini hata watoto wako hawafanani ukamilifu, hata Mungu mwenyewe anajua dini zetu ni kama baba mwenye watoto nane ,huyu mwizi,huyu mzinzi,huyu mnoko, na wao wenyewe wanachukiana kiasi Cha Mmoja kutamani hata mwingine afukuzwe ndani,,, ila Sasa hisia za baba ni kinyume na mawazo ya watoto, baba Kila siku anaomba Angalau tu mtoto ajiheshimu kidoooogo, na siku hata yule mtoto jambazi akifa baba Analia as if akirudi ataacha ujambazi

Mungu yuko kama baba mwenye watoto wengi, ila hataki hata mtoto Mmoja apotee, na dini haikuingizi mbinguni, ila utu, upendo,kujali ,ukarimu na kujitoa kwa ajili ya wengine,

Kuhama dini siyo kumtafuta Mungu, Mungu anawapenda watu, kwa kufanya hivo anajua makusudi ya Kila mtu kuwepo sehemu fulani
 
Back
Top Bottom