Niko njiapanda ya kuchagua dini sahihi

Niko njiapanda ya kuchagua dini sahihi

Mimi nina asili ya kizungu,mama yangu ni mtanzqnia na ninekulia kwenye mazingira ya kimagharibi,lakini nilikaa chini nikachagua uislamu na nina amani moyoni na naendelea na maisha yangu kwa utulivu ndani ya dininya kiislamu,simuingilii mti na maisha yake na wala sijioneshi kuwa mie ni mshika dini kuliko mwingine
Nimependa hiyo
 
Mi nna swali kuhusu uislam
.
Ni nani aliyeipanga Quran, Yani aya hii ianze ile ifate? Na alitumia/walitumia formula ipi au vigezo Gani?
Asante
Swali lako halipo sawa kitaalamu ila nimekuelewa

Kwanza tambua kuwa Kuna Quran na msahafu

Quran
Ni Aya na sura zilizokuwa zinamfikia mtume Moja Kwa Moja kupitia ufunuo

Kwa mfano siku mtume anahama kutoka Maka kuende Madina kulikuwa na maadui wanamsuburi nje akitoka wamshambulia Ili asifanikiwe kufika Madina

Mtume akaambiwa asome surat Yasini kama Kinga yake na akaisoma kuanzia Aya ya kwanza Hadi ya mwisho

Na Kuna siku mtume alimwambia swahaba wake amsomee surat nisaa Yale swahaba akaisoma alipofika Aya Fulani akamwambia basi ishia hapo

Na pia wakati Mtume anaongoza Sara alikuwa anasoma sura tofauti tofauti

So wakati Mtume yupo Quran ilikuwa Ina sura zake na Aya zake

MSAHAFU
Baada ya mtume kufa Abukali ndio alikuwa kiongozi wa waislam akaona ni vyema tukusanye sura zote tuziandike sehemu Moja ndio ukapatikana msahafu
Hizo sura kabla ya msahafu zilikuwa zimeandikwa katika ngozi za wanyama na zingine katika mawe

KUPANGWA KWA MSAHAFU
Ndani ya msahafu Kuna
1) sura ya kwanza Hadi ya mwisho
2) Juzu ya kwanza Hadi ya 30

Haya yamepangwa na wanazuoni Ili kurahisisha kwa watu kujifunza kuisoma Quran na kuhifadhi na ndio maana Ile juzu ya mwisho imewekwa sura nyinyingi fupi fupi Ili watoto wajifunze Kwa urahisi

Sio sawa mtoto mdogo aanze kufundishwa surat bakara Ina Aya zaidi ya 200 na 80 badala yake Kuna sura fupi fupi Zina 7 au 5 ,au 10 ndio anaanza nazo hizo

Na hili la kupangwa sura na juzuu katika uislam halina ulazima wowote kulifuata

Umewekewa sura fupi fupi uanze nazo ukisema Mimi nataka nijifunze Quran kuanzia surat bakara Haina shida wewe tu na uamuzi wako unaweza ukaanzia popote kujifunza au kuisoma
 
Mimi nina asili ya kizungu,mama yangu ni mtanzqnia na ninekulia kwenye mazingira ya kimagharibi,lakini nilikaa chini nikachagua uislamu na nina amani moyoni na naendelea na maisha yangu kwa utulivu ndani ya dininya kiislamu,simuingilii mti na maisha yake na wala sijioneshi kuwa mie ni mshika dini kuliko mwingine
Nimependa hiy
 
Kabla sijaanza kufuatilia mambo ya dini kiundani ,nilikuona naona uislamu ndio dini sahihi maana mihadhara mingi walikuwa wanatamba wao..ila baada ya kuingia kiundani nikaona upepo unabadirika na kugundua ukristo ndio dini sahihi sema tu umekosa usimamizi kama waislamu wafanyavyo.Lakini kiufupi maandiko ya kikristo yamenyooka labda kipengele ulete wewe.Ila upande wa waislamu kuna vipengele vingi sana kuvielewa ni shida mfano aya hizi hapa chini.
Quran 75:16
Usiutikisie huu wahyi ulimi wako kwa kuufanyia haraka.
Quran 75:17
Hakika ni juu yetu kuukusanya na kuusomesha.
Quran 75:18
Tunapo usoma, basi nawe fuatiliza kusoma kwake.

Ukisoma hizo haya huwezi jua anayeongea ni Allah,ni Gibril au wote? Na hakuna muislamu anayeweza kukupa jibu hapa.Na hapa ndipo msingi wa uislamu ulipo.Kama wanabisha waje watoe majibu hapa.
 
Ndiyo mkuu, kwani hata kama ningekuwa naabudu dini nyingine tofauti na Uislamu lazima ingekuwa dini ya kigeni na siyo dini yangu. Tenda mema kwa kila kiumbe utakuwa umemaliza wala huitaji dini
Okay basi kumbe hakuna dini ya mwarabu wala mchina wala mzungu nafikili dini zote zinamwelekea mungu ayo mengine nhata hayana haja kuyajua.
 
Umesema una muamini mungu ee?bado bado mkuu endelea kujifunza, ukifika kumuamini Mungu ndo uanze kuchagua wapi uende.
 
Okay basi kumbe hakuna dini ya mwarabu wala mchina wala mzungu nafikili dini zote zinamwelekea mungu ayo mengine nhata hayana haja kuyajua.
Mungu kaleta wapi hiyo dini ya kikristu au Uislamu? Wakoloni ndiyo walikulea. Tenda mema tu achana na dini zao
 
Mfano mim naamin mungu yupo sio kwa sababu nilifundishwa yupo ni naamini Coz kuna mazingira huwa nayapitia na nikiwaza kwa logic ni kuwa haiwezekani hivyo nafikia hitimisho kuwa iyo ni nguvu ya mungu na kama ulivyosema huwezi ukakiuliza chanzo kimekuaje coz huwez pata jibu ila kaka ishu nikua naamini kabisa kuna misingi lazima tuitumie kuishi hapa ili tupate maana ya mungu.
Usingefundishwa uwepo wa Mungu wala usingeanza kuongea habari zake. Dini ni utamaduni wa mwanadamu tu, aliyezaliwa Saudi Arabia kwa wazazi walislam most likely ni muislamu na aliyezaliwa Italy most likely ni mkristo tena Roman Catholic, wote hao wamefuata utamaduni kwa kurithi toka kwa wazazi wao.

Critically, ukianza kuhoji namna gani Nuhu alihubiri kuhusu safina, jinsi gani Mungu alimuumba mwanadamu, Yesu akazaliwa na kutufia wadhambi...as in critical thinking, hutoboi. Hali kadhalika huko kwenye uislam, kuna ambiguities nyingi.
 
Uko sahihi mkuu,ndiyo maana nasema fanya matendo mema tu kwa kila kiumbe. Achana na dini za kigeni. Japo neno langu siyo sheria
Sio sahihi kusema dini za kigeni, huwa nasema mara zote kwamba hata huko arabuni walikuwa wana imani zao kabla ya uislamu kuja kusambaa arabuni leo tunaona uislamu ni dini ya asili ya waarabu, na ukristo ni hivyo hivyo kwa wazungu nao walikuwa na imani zao kabla ukristo kusambaa huko.
 
Kabla sijaanza kufuatilia mambo ya dini kiundani ,nilikuona naona uislamu ndio dini sahihi maana mihadhara mingi walikuwa wanatamba wao..ila baada ya kuingia kiundani nikaona upepo unabadirika na kugundua ukristo ndio dini sahihi sema tu umekosa usimamizi kama waislamu wafanyavyo.Lakini kiufupi maandiko ya kikristo yamenyooka labda kipengele ulete wewe.Ila upande wa waislamu kuna vipengele vingi sana kuvielewa ni shida mfano aya hizi hapa chini.
Quran 75:16
Usiutikisie huu wahyi ulimi wako kwa kuufanyia haraka.
Quran 75:17
Hakika ni juu yetu kuukusanya na kuusomesha.
Quran 75:18
Tunapo usoma, basi nawe fuatiliza kusoma kwake.

Ukisoma hizo haya huwezi jua anayeongea ni Allah,ni Gibril au wote? Na hakuna muislamu anayeweza kukupa jibu hapa.Na hapa ndipo msingi wa uislamu ulipo.Kama wanabisha waje watoe majibu hapa.

Quran 75:16
Usiutikisie huu wahyi ulimi wako kwa kuufanyia haraka.
Quran 75:17
Hakika ni juu yetu kuukusanya na kuusomesha.
Quran 75:18
Tunapo usoma, basi nawe fuatiliza kusoma kwake.

Quran ni Maneno ya Mungu kuja Kwa mtume Muhammad

Aliyekuwa anayachukua hayo Maneno kutoka Kwa Mungu kwenda Kwa Mtume Muhammad ni malaika Jibril

Malaika Jibril alikuwa anaubeba ujumbe kama ulivyo kutoka Kwa Mungu kuenda Kwa Mtume Muhammad

Hivyo basi hayo ni maelekezo ambayo Jibril yeye ameyatoa Kwa Mungu na hapo anayafikisha Kwa mtume Muhammad

Wewe shida yako Nini hapo?
 
Screenshot_20250731-182720_JamiiForums.png
 
Usingefundishwa uwepo wa Mungu wala usingeanza kuongea habari zake. Dini ni utamaduni wa mwanadamu tu, aliyezaliwa Saudi Arabia kwa wazazi walislam most likely ni muislamu na aliyezaliwa Italy most likely ni mkristo tena Roman Catholic, wote hao wamefuata utamaduni kwa kurithi toka kwa wazazi wao.

Critically, ukianza kuhoji namna gani Nuhu alihubiri kuhusu safina, jinsi gani Mungu alimuumba mwanadamu, Yesu akazaliwa na kutufia wadhambi...as in critical thinking, hutoboi. Hali kadhalika huko kwenye uislam, kuna ambiguities nyingi.
Ila mkuu dini hazipo ili kujibu maswali ya watu wala sidhani kama itakuwa ni sahihi kwa mtu kusema anatafuta dini sahihi kwa kuangalia dini yenye kuweza kujibu maswali.
 
Kweli na hayo matendo unayatenda katika msingi gani je unaiishi tuu unavyojua ww au kuna labda mwongozo uufate.
Mtu mwema hata mtaani wanamjua watakwambia huyu ni mwema, huhitaji dini Ili kuwa mwema au muovu.Au niambie unaamini dini Yako pekee ndiyo itaingia mbinguni? wengine wote Motoni??

Ni kujidanganya,biblia inasema watu wa Kila taifa na kabila zote means hata wasandawe wataingia mbinguni
 
Sasa haya maelezo uliyoweka hapa ndio zen Buddhism yenyewe.
Zen sio ideology.
Zen ni way of life.
Ambayo ukiifuatilia kiundani zaidi utagundua Kila mtu ni zen Buddhist.
Ala kumbe!

Kwa maana hiyo Zen Buddhism na Tamaduni(culture) ni sawa.

Culture =total way of life

Kila jamii ina utamaduni zake na hata baadhi ya dini misingi yake ni chimbuko la tamaduni fulani.

Kuna:;
Italy
Israel
Arabs
Hindi
China
Russia
England
Japani
Mongolia
Africa nk...

Mleta mada nodetz unataka uondoke na utamaduni wa Jamii ipi
 
Habari wana jf leo ninaswala gumu linanitatiza naitaji maoni yenu.

Kama binadamu wengine namuamini mungu.

Ila napata wakati mugumu kuchagua dini ya kuabudia. Nikisema hivyo namaanisha mini ni mtu ambaye napenda kujifunza sana.

Na kijifunza kwanga kumefanya nibadili jinsi ninavyo itizama dini yangu iliyonelea (ukristo)

Nimekulia katika familia inayo abudua kupitia roman Catholic ila miaka mitano nyuma baada ya kujifunza na kuelewa vitu fulani mimi kama binadamu ninahaki ya kuchagua wapi nikaabudu ivyo nikaamua kubadili na kuwa katika makanisa ya kilokole.

Now nimwaka wa pili sasa huwa najiuliza kama uamuzi niliofanya ni sahihi make najikuta naitaji kubadili tena na safari hii naonelea zaidi kuwa mwisilam (dini ninayoipenda zaidi).

Kinacho nisukuma kufanya hivi sio nafata mkumbo hapana ila kunavitu vingi uwa vinanipa mwaswali na hayo maswali yakikosa majibu basi huwa naitaji kubadilisha msimamo wangu.

Nitaepuka kuweka maswali hayo hapa ili nisianzishe mjadala wa kinidi.

Kiukweli kabisa niko njia panda na ukizingatia naelewa pia sio rahisi kumwamini mungu kwa kuto shiriki katika dini yoyote maana utakosa malezi ya kidini japo wengine ufikili kuingia kwenye dini ni kama kujiingiza kwenye jela yako mwenyewe.

Ntashukulu kwa maoni yako mwana jf.
Uisilamu ni dini ya kweli na ya Mitume wote,wewe mwenyewe muhusika utapata mda wa kujitahimini kabla hata hujafa,maana inazungumzia maisha yako ukiwa mzima na hata yale utakayoishi ukiwa kaburini na hata utakapofufuliwa na hizi juhudi zote uzifanye wewe mwenyewe
 
Back
Top Bottom