Niko njiapanda ya kuchagua dini sahihi

Niko njiapanda ya kuchagua dini sahihi

Dini ni utapeli usiweke usiriazi sana tupo kwenye hizi dini kwasababu ya kujihusanisha na kuunganika vizuri na jamii.
Nakushauri urudi RC dini uliyoirithi kutoka kwa wazazi wako.
Asante mkuu
 
Siku zote ukweli haujifichi ndugu yangu hakika ndani ya nafsi yako kuna yakini imekuingia hasa kuhusu ww kuingia kwenye uislamu na jambo hili najua umelifanyia utafiti na kipo ulichokigundua
Mm nakuombea kwa mwenyezi mungu akuongozee kwenye njia iliyoonyoka
Asante ila bado japo moyo wangu unanambia nifate iyo njia
 
Dini ni utapeli usiweke usiriazi sana tupo kwenye hizi dini kwasababu ya kujihusanisha na kuunganika vizuri na jamii.
Nakushauri urudi RC dini uliyoirithi kutoka kwa wazazi wako.
Ila dini na uelewa sahihi wa mambo ya kinidi vina umuhimu wake.
 
Mejifunza kuuliza maswali sahihi na sio kuuliza maswali tuu. Kwa bahati mbaya ukristo hauna majibu kwa maswali sahihi ila unamajibu kwa maswali.

Sijui kama umenielewa??
 
Habari wana jf leo ninaswala gumu linanitatiza naitaji maoni yenu.

Kama binadamu wengine namuamini mungu.

Ila napata wakati mugumu kuchagua dini ya kuabudia. Nikisema hivyo namaanisha mini ni mtu ambaye napenda kujifunza sana.

Na kijifunza kwanga kumefanya nibadili jinsi ninavyo itizama dini yangu iliyonelea (ukristo)

Nimekulia katika familia inayo abudua kupitia roman Catholic ila miaka mitano nyuma baada ya kujifunza na kuelewa vitu fulani mimi kama binadamu ninahaki ya kuchagua wapi nikaabudu ivyo nikaamua kubadili na kuwa katika makanisa ya kilokole.

Now nimwaka wa pili sasa huwa najiuliza kama uamuzi niliofanya ni sahihi make najikuta naitaji kubadili tena na safari hii naonelea zaidi kuwa mwisilam (dini ninayoipenda zaidi).

Kinacho nisukuma kufanya hivi sio nafata mkumbo hapana ila kunavitu vingi uwa vinanipa mwaswali na hayo maswali yakikosa majibu basi huwa naitaji kubadilisha msimamo wangu.

Nitaepuka kuweka maswali hayo hapa ili nisianzishe mjadala wa kinidi.

Kiukweli kabisa niko njia panda na ukizingatia naelewa pia sio rahisi kumwamini mungu kwa kuto shiriki katika dini yoyote maana utakosa malezi ya kidini japo wengine ufikili kuingia kwenye dini ni kama kujiingiza kwenye jela yako mwenyewe.

Ntashukulu kwa maoni yako mwana jf.
Njoo Freemason maana naona sadaka unazo wachangia wachungaji zinakuuma njoo huku ukitoa unarudishiwa mara 6 yake
 
Karibu sana katika Uislam. Uislam ndio Dini yako ya asili. Unaposilimu unakuwa unarudi katika asili. Uislam ndio Dini ya maumbile yako. Rudi katika maumbile yako halisi. Moyo wako hauna utulivu deep down kwa sababu haupo katika maumbile yako halisi. Ulizaliwa katika Fitrah (maumbile ya asili) ya Uislam, ila wazazi/walezi wakakubadilisha. Tumeumbwa sisi kumuabudu Allah Peke Yake bila ya kumshirikisha na chochote kile (kuwa Waislam).

Mitume (Amani iwe yao) walikuja kuwaongoza watu na kuwarekebisha pale ambapo Fitrah yao ilipochafuliwa, Mitume wakaletwa kuwasafisha na kuwaongoza watu kurudi katika Fitrah yao, warudi kumuabudu Allah Peke Yake bila ya kumshirikisha na chochote.

Yule Aliyeumba kila kitu na ni Muweza juu ya kila kitu Ndiye Anayestahiki Kuabudiwa na Anaabudiwa vile anavyotaka Yeye kwa sababu Yeye Ndio Mjuzi juu ya kila kitu. Ndio maana kaleta Mitume ili wawalinganie watu wao warudi katika Fitrah (maumbile ya asili) yao ya kumuabudu Allah Peke Yake bila ya kumshirikisha na chochote kile na Allah Akawafunulia Mitume hao namna ya kumuabudu Yeye wakawafundisha jamaa zao.

Mitume wote walikuja kuwalingania na kuwaongoza watu wao kurudi katika maumbile ya asili na lengo la kuumbwa kwao wamuabudu Allah Peke Yake bila ya kumshirikisha na chochote.

Kila watu walipopotoka katika maumbile yao halisi na wakaacha mafundisho ya Mitume, Allah Alileta Mtume mwengine mpaka alipokuja Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake).

Mitume wote ikiwemo Nuh, Ibrahim, Musa, 'Iysa/Yesu na Mtume wa Mwisho Muhammad ambaye alitumwa kwa watu wote kwa zama zote mpaka Qiyama na akawa ni Mtume wa Mwisho na hakuna Mtume wala Nabii baada yake (Swala na Salamu ziwe juu yake na juu ya Mitume wote) walikuja kuwarudisha watu katika lengo la kuumbwa kwao.

Mtume Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) ndio Mtume wa mwisho na ndio alikuja na Sheria ya mwisho kutoka kwa Allah, na Sheria hiyo itabaki mpaka Qiyama, na wafuasi wa manabii waliopita wanawajibika kumfuata Mtume wa Mwisho pamoja na Sheria aliyokuja nayo kutoka kwa Mola wake.

Hivyo mkuu nodetz Uislam ndio Haqq na ndio njia ya sawa na ndio Dini ya Manabii na Mitume wote wa Allah (Amani iwe juu yao Manabii na Mitume wote) na ndio Dini yako ya asili.

ayat 64 from Surah Al Imran
﴿قُلْ يَا أَهْلَ الْكِتَابِ تَعَالَوْا إِلَىٰ كَلِمَةٍ سَوَاءٍ بَيْنَنَا وَبَيْنَكُمْ أَلَّا نَعْبُدَ إِلَّا اللَّهَ وَلَا نُشْرِكَ بِهِ شَيْئًا وَلَا يَتَّخِذَ بَعْضُنَا بَعْضًا أَرْبَابًا مِّن دُونِ اللَّهِ ۚ فَإِن تَوَلَّوْا فَقُولُوا اشْهَدُوا بِأَنَّا مُسْلِمُونَ﴾
[ آل عمران: 64]

Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Njooni kwenye neno lilio sawa baina yetu na nyinyi: Ya kwamba tusimuabudu yeyote ila Mwenyezi Mungu, wala tusimshirikishe na chochote; wala tusifanyane sisi kwa sisi kuwa Waola Walezi badala ya Mwenyezi Mungu. Na wakigeuka basi semeni: Shuhudieni ya kwamba sisi ni Waislamu.
 
Kinachokutatiza ni kitu kimoja tu mkuu
Unatumia akili (logic) katika kuchanganua mambo ya dini yako hiyo kitu kinachokufanya uanze kujiuliza jambo fulani linawezekana vipi. Ukitaka kuwa muumini mtiifu wa dini yoyote ni lazima uamini bila kuhoji mistari katika vitabu hivyo vya dini. Maneno kadhaa ya kwenye biblia na Quran hayaendani na uhalisia kwa hiyo we chagua tu dini moja iamini hivyo hivyo.

Kubwa kuliko yote ukitaka kuwa muumini mzuri wa dini fulani basi usitumie philosophy katika kuchanganua mambo ya kidini.

Ni kweli.
Logic ya mtoa Mada ni kuwa anatafuta Dini iliyo Sahihi.
Akienda pia Uislam atahoji hivyo hivyo na atatoka, ataenda Budhism, na Dini nyingne na zote kama akitumia Logic aliyonayo sasa basi hatapata Dini Sahihi.

Mwisho wa siku atakuwa hana Dini kama watu weng walivyo sasa.

Dini ni mapokeo na Imani.
 
Karibu sana katika Uislam. Uislam ndio Dini yako ya asili. Unaposilimu unakuwa unarudi katika asili. Uislam ndio Dini ya maumbile yako. Rudi katika maumbile yako halisi. Moyo wako hauna utulivu deep down kwa sababu haupo katika maumbile yako halisi. Ulizaliwa katika Fitrah (maumbile ya asili) ya Uislam, ila wazazi/walezi wakakubadilisha. Tumeumbwa sisi kumuabudu Allah Peke Yake bila ya kumshirikisha na chochote kile (kuwa Waislam).

Mitume (Amani iwe yao) walikuja kuwaongoza watu na kuwarekebisha pale ambapo Fitrah yao ilipochafuliwa, Mitume wakaletwa kuwasafisha na kuwaongoza watu kurudi katika Fitrah yao, warudi kumuabudu Allah Peke Yake bila ya kumshirikisha na chochote.

Yule Aliyeumba kila kitu na ni Muweza juu ya kila kitu Ndiye Anayestahiki Kuabudiwa na Anaabudiwa vile anavyotaka Yeye kwa sababu Yeye Ndio Mjuzi juu ya kila kitu. Ndio maana kaleta Mitume ili wawalinganie watu wao warudi katika Fitrah (maumbile ya asili) yao ya kumuabudu Allah Peke Yake bila ya kumshirikisha na chochote kile na Allah Akawafunulia Mitume hao namna ya kumuabudu Yeye wakawafundisha jamaa zao.

Mitume wote walikuja kuwalingania na kuwaongoza watu wao kurudi katika maumbile ya asili na lengo la kuumbwa kwao wamuabudu Allah Peke Yake bila ya kumshirikisha na chochote.

Kila watu walipopotoka katika maumbile yao halisi na wakaacha mafundisho ya Mitume, Allah Alileta Mtume mwengine mpaka alipokuja Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake).

Mitume wote ikiwemo Nuh, Ibrahim, Musa, 'Iysa/Yesu na Mtume wa Mwisho Muhammad ambaye alitumwa kwa watu wote kwa zama zote mpaka Qiyama na akawa ni Mtume wa Mwisho na hakuna Mtume wala Nabii baada yake (Swala na Salamu ziwe juu yake na juu ya Mitume wote) walikuja kuwarudisha watu katika lengo la kuumbwa kwao.

Mtume Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) ndio Mtume wa mwisho na ndio alikuja na Sheria ya mwisho kutoka kwa Allah, na Sheria hiyo itabaki mpaka Qiyama, na wafuasi wa manabii waliopita wanawajibiwa kumfuata Mtume wa Mwisho pamoja na Sheria aliyokuja nayo kutoka kwa Mola wake.

Hivyo mkuu nodetz Uislam ndio Haqq na ndio njia ya sawa na ndio ndio Dini ya Manabii na Mitume wote wa Allah (Amani iwe juu yao Manabii na Mitume wote) na ndio Dini yako ya asili.

ayat 64 from Surah Al Imran
﴿قُلْ يَا أَهْلَ الْكِتَابِ تَعَالَوْا إِلَىٰ كَلِمَةٍ سَوَاءٍ بَيْنَنَا وَبَيْنَكُمْ أَلَّا نَعْبُدَ إِلَّا اللَّهَ وَلَا نُشْرِكَ بِهِ شَيْئًا وَلَا يَتَّخِذَ بَعْضُنَا بَعْضًا أَرْبَابًا مِّن دُونِ اللَّهِ ۚ فَإِن تَوَلَّوْا فَقُولُوا اشْهَدُوا بِأَنَّا مُسْلِمُونَ﴾
[ آل عمران: 64]

Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Njooni kwenye neno lilio sawa baina yetu na nyinyi: Ya kwamba tusimuabudu yeyote ila Mwenyezi Mungu, wala tusimshirikishe na chochote; wala tusifanyane sisi kwa sisi kuwa Waola Walezi badala ya Mwenyezi Mungu. Na wakigeuka basi semeni: Shuhudieni ya kwamba sisi ni Waislamu.
Kwa Logic aliyonayo Jamaa.
Huku sidhan kama atamaliza mwezi mmoja.
Ni mawazo yangu tu lakini.
 
Uko sahihi Nenda kwenye Dini inayoabudu Mungu mmoja na Kuomba msaada kwa Mwenyezi Mungu pekee , achana na dini zinazosema mungu wao alijifanyia mtoto na wanaomba kwa jina la mtoto wa huyo mungu wao hiyo ni ushirikina na ni dhulma.

Kwenye Quran Lukman alimuhusia mtoto wake kwa kumwambia

Luqmān 31:13
Ewe mwanangu! Usimshirikishe Mwenyezi Mungu. Hakika kumshirikisha Mwenyezi Mungu ni dhulma kubwa kabisa.”

Akaendelea kwa kumuhusia mwanae

Luqmān 31:17
"Ewe mwanangu! Dumu katika Sala, amrisha mema, kataza mabaya, na vumilia yale yatakayokusibu. Hakika hayo ni katika mambo ya kuazimiwa (yaani yanahitaji subira na msimamo).
 
Back
Top Bottom