subiri uone
JF-Expert Member
- Sep 12, 2024
- 753
- 624
Habari wana jf leo ninaswala gumu linanitatiza naitaji maoni yenu.
Kama binadamu wengine namuamini mungu.
Ila napata wakati mugumu kuchagua dini ya kuabudia. Nikisema hivyo namaanisha mini ni mtu ambaye napenda kujifunza sana.
Na kijifunza kwanga kumefanya nibadili jinsi ninavyo itizama dini yangu iliyonelea (ukristo)
Nimekulia katika familia inayo abudua kupitia roman Catholic ila miaka mitano nyuma baada ya kujifunza na kuelewa vitu fulani mimi kama binadamu ninahaki ya kuchagua wapi nikaabudu ivyo nikaamua kubadili na kuwa katika makanisa ya kilokole.
Now nimwaka wa pili sasa huwa najiuliza kama uamuzi niliofanya ni sahihi make najikuta naitaji kubadili tena na safari hii naonelea zaidi kuwa mwisilam (dini ninayoipenda zaidi).
Kinacho nisukuma kufanya hivi sio nafata mkumbo hapana ila kunavitu vingi uwa vinanipa mwaswali na hayo maswali yakikosa majibu basi huwa naitaji kubadilisha msimamo wangu.
Nitaepuka kuweka maswali hayo hapa ili nisianzishe mjadala wa kinidi.
Kiukweli kabisa niko njia panda na ukizingatia naelewa pia sio rahisi kumwamini mungu kwa kuto shiriki katika dini yoyote maana utakosa malezi ya kidini japo wengine ufikili ku
Chakuku shauri kwanza zingatia maandiko 📖 ya dini husika mimi naanza na neno “Uislamu” linatokana na neno la Kiarabu “Islam” lenye maana ya "kujitoa/kujisalimisha kwa Allah kwa utiifu kamili" kwa kumpwekesha katika kila jambo na Uislamu unamaanisha “kunyenyekea kwa mapenzi mbele ya Mwenyezi Mungu” kwa "Tawhidi" kumpwekesha yeye Allah kwa kumtii na kuacha maasi.Habari wana jf leo ninaswala gumu linanitatiza naitaji maoni yenu.
Kama binadamu wengine namuamini mungu.
Ila napata wakati mugumu kuchagua dini ya kuabudia. Nikisema hivyo namaanisha mini ni mtu ambaye napenda kujifunza sana.
Na kijifunza kwanga kumefanya nibadili jinsi ninavyo itizama dini yangu iliyonelea (ukristo)
Nimekulia katika familia inayo abudua kupitia roman Catholic ila miaka mitano nyuma baada ya kujifunza na kuelewa vitu fulani mimi kama binadamu ninahaki ya kuchagua wapi nikaabudu ivyo nikaamua kubadili na kuwa katika makanisa ya kilokole.
Now nimwaka wa pili sasa huwa najiuliza kama uamuzi niliofanya ni sahihi make najikuta naitaji kubadili tena na safari hii naonelea zaidi kuwa mwisilam (dini ninayoipenda zaidi).
Kinacho nisukuma kufanya hivi sio nafata mkumbo hapana ila kunavitu vingi uwa vinanipa mwaswali na hayo maswali yakikosa majibu basi huwa naitaji kubadilisha msimamo wangu.
Nitaepuka kuweka maswali hayo hapa ili nisianzishe mjadala wa kinidi.
Kiukweli kabisa niko njia panda na ukizingatia naelewa pia sio rahisi kumwamini mungu kwa kuto shiriki katika dini yoyote maana utakosa malezi ya kidini japo wengine ufikili kuingia kwenye dini ni kama kujiingiza kwenye jela yako mwenyewe.
Ntashukulu kwa maoni yako mwana jf.
Katika Qur'an
Surah Aali ‘Imran 3:19
"Hakika Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu...".
Na katika Hadithi:
Hadithi ya Jibril (Imepokewa na Muslim)
Mtume (s.a.w) alisema:
"Uislamu ni kushuhudia kuwa hakuna Mungu ila Allah na Muhammad ni Mtume Wake kuswali swala tano kutoa Zaka kufunga Ramadhani na kwenda Hija kwa mwenye uwezo".
Mwanazuoni Shaykhul-Islam Ibn Taymiyyah alisema:
"Uislamu ni kujisalimisha kwa Mwenyezi Mungu kwa "Tawhidi" na kunyenyekea Kwake kwa utiifu na kujitenga na Shirki na wenye kushirikisha".
Na katika Surah Aali ‘Imran 3:85
Allah anasema "Na atakayefuata dini isiyokuwa Uislamu basi haitakubaliwa kwake..."