Niko njiapanda ya kuchagua dini sahihi

Niko njiapanda ya kuchagua dini sahihi

Kinachokutatiza ni kitu kimoja tu mkuu
Unatumia akili (logic) katika kuchanganua mambo ya dini yako hiyo kitu kinachokufanya uanze kujiuliza jambo fulani linawezekana vipi. Ukitaka kuwa muumini mtiifu wa dini yoyote ni lazima uamini bila kuhoji mistari katika vitabu hivyo vya dini. Maneno kadhaa ya kwenye biblia na Quran hayaendani na uhalisia kwa hiyo we chagua tu dini moja iamini hivyo hivyo.

Kubwa kuliko yote ukitaka kuwa muumini mzuri wa dini fulani basi usitumie philosophy katika kuchanganua mambo ya kidini.
IMG_20250801_164240.jpg
 
Kwa mara ya kwanza Nakubaliana na wewe.

Dini ni Imani.
Ukishaamini basi Dini yoyote ni Dini.

Hata wa Budha wana imani yao. Na hata mababu zetu walikuwa na imani zao.
Yaah kabisa mkuu, kuanza kutafuta dini sahihi kwa akili hizi za kiuchunguzi za kibinadamu huwezi.

Mfano kwenye uislam na hata ukristo wote kuna mambo wanadai hawajui bali Mungu ndo ajuae!! So hata ukihoji na kutafuta hutapata jibu.
 
Habari wana jf leo ninaswala gumu linanitatiza naitaji maoni yenu.

Kama binadamu wengine namuamini mungu.

Ila napata wakati mugumu kuchagua dini ya kuabudia. Nikisema hivyo namaanisha mini ni mtu ambaye napenda kujifunza sana.

Na kijifunza kwanga kumefanya nibadili jinsi ninavyo itizama dini yangu iliyonelea (ukristo)

Nimekulia katika familia inayo abudua kupitia roman Catholic ila miaka mitano nyuma baada ya kujifunza na kuelewa vitu fulani mimi kama binadamu ninahaki ya kuchagua wapi nikaabudu ivyo nikaamua kubadili na kuwa katika makanisa ya kilokole.

Now nimwaka wa pili sasa huwa najiuliza kama uamuzi niliofanya ni sahihi make najikuta naitaji kubadili tena na safari hii naonelea zaidi kuwa mwisilam (dini ninayoipenda zaidi).

Kinacho nisukuma kufanya hivi sio nafata mkumbo hapana ila kunavitu vingi uwa vinanipa mwaswali na hayo maswali yakikosa majibu basi huwa naitaji kubadilisha msimamo wangu.

Nitaepuka kuweka maswali hayo hapa ili nisianzishe mjadala wa kinidi.

Kiukweli kabisa niko njia panda na ukizingatia naelewa pia sio rahisi kumwamini mungu kwa kuto shiriki katika dini yoyote maana utakosa malezi ya kidini japo wengine ufikili kuingia kwenye dini ni kama kujiingiza kwenye jela yako mwenyewe.

Ntashukulu kwa maoni yako mwana jf.
Sema tu unataka mke zaidi ya mmoja
 
So, kama ilikuwepo mpangilio wake halisi ni upi?
Na kwanini binadamu wakipangulue na kupanga kitabu cha Mungu Kwa utashi wao?

Swali la bonus, Quran imeandikwa lini?
Nilikuambia Kuna Quran na msahafu

Shida ni kwamba wewe unajenga picha ya Quran kupitia hu msahafu ambao umezoea kuuona

Wakati Mtume akiwa hai Quran ilikuwepo ila msahafu haukuwepo

Quran ni sura na Aya zake zipo Kwa mpangilio jinsi zilivyoshuka Kwa mfano surati Yusufu inaelezea story ya Yusufu tokea akiwa mtoto anaota ndoto ya unabii Hadi anafika misiri na kuwa waziri
Hapa hakuna mtu atakaye Sema ngoja nipange vizuri hilo halipo ni sura na Aya zake alivyoiacha mtume Hadi Leo ipo hivyo hivyo

Sasa waliyo panga msahafu surati Yusufu wameiweka namba 12 sio kosa Kwa sababu ndani ya hiyo sura hakuna walichopunguza Wala kuongeza
Mpangilio wa msahafu katika uislam hauna impact yoyote Kwa sababu sio ibada

Quran iliandikwa mtume mwenyewe akiwa yupo

Ila kipindi inakukusanywa na kuwekwa pamoja katika msahafu ndio mtume alikuwa hayupo
 
Habari wana jf leo ninaswala gumu linanitatiza naitaji maoni yenu.

Kama binadamu wengine namuamini mungu.

Ila napata wakati mugumu kuchagua dini ya kuabudia. Nikisema hivyo namaanisha mini ni mtu ambaye napenda kujifunza sana.

Na kijifunza kwanga kumefanya nibadili jinsi ninavyo itizama dini yangu iliyonelea (ukristo)

Nimekulia katika familia inayo abudua kupitia roman Catholic ila miaka mitano nyuma baada ya kujifunza na kuelewa vitu fulani mimi kama binadamu ninahaki ya kuchagua wapi nikaabudu ivyo nikaamua kubadili na kuwa katika makanisa ya kilokole.

Now nimwaka wa pili sasa huwa najiuliza kama uamuzi niliofanya ni sahihi make najikuta naitaji kubadili tena na safari hii naonelea zaidi kuwa mwisilam (dini ninayoipenda zaidi).

Kinacho nisukuma kufanya hivi sio nafata mkumbo hapana ila kunavitu vingi uwa vinanipa mwaswali na hayo maswali yakikosa majibu basi huwa naitaji kubadilisha msimamo wangu.

Nitaepuka kuweka maswali hayo hapa ili nisianzishe mjadala wa kinidi.

Kiukweli kabisa niko njia panda na ukizingatia naelewa pia sio rahisi kumwamini mungu kwa kuto shiriki katika dini yoyote maana utakosa malezi ya kidini japo wengine ufikili kuingia kwenye dini ni kama kujiingiza kwenye jela yako mwenyewe.

Ntashukulu kwa maoni yako mwana jf.
Nafikiri kama ni suala la dini huko Katoliki ni mahali pazuri sana kuweza kupata msingi mzuri na discipline ya kumjua Mungu. Ila usibaki katika zile hatua za mwanzo za malezi, songa mbele zaidi kwa msaada ya Roho Mtakatifu utafikia kumjua Mungu na njia zake zaidi.

Uislamu haiwezi kukupeleka kwa Mungu kama Ukristo. Kristo ndiye anayetuleta zaidi katika kuifahamu zaidi dhana ya Mungu na kumjua Mungu kwa usahihi zaidi. Mungu ni Pendo. Yesu Kristo alijitoa kwa ajili ya wanadamu kwa namna ambayo haijawahi kutokea kwenye dini nyingine yoyote. Hivyo Yesu ni kielelezo sahihi cha Upendo wa Mungu kwa wanadamu ni hivyo Ukristo utakusaidia zaidi kumfikia Mungu kuliko Uislam ambao umeletwa kama counteraction kwa Ukristo.
 
Mpaka sasa sijapata majibu juu ya haya hizi.Waislamu wasomi wapo wengi sana humu ila hili swali wanaliogopa na sababu kubwa ni kwamba linaanika imani yao kuwa ni ya uongo.Kama wanabisha waje kusema nani anayeongea katika haya hizi.?
Quran 75:16
Usiutikisie huu wahyi ulimi wako kwa kuufanyia haraka.
Quran 75:17
Hakika ni juu yetu kuukusanya na kuusomesha.
Quran 75:18
Tunapo usoma, basi nawe fuatiliza kusoma kwake.
 
Habari wana jf leo ninaswala gumu linanitatiza naitaji maoni yenu.

Kama binadamu wengine namuamini mungu.

Ila napata wakati mugumu kuchagua dini ya kuabudia. Nikisema hivyo namaanisha mini ni mtu ambaye napenda kujifunza sana.

Na kijifunza kwanga kumefanya nibadili jinsi ninavyo itizama dini yangu iliyonelea (ukristo)

Nimekulia katika familia inayo abudua kupitia roman Catholic ila miaka mitano nyuma baada ya kujifunza na kuelewa vitu fulani mimi kama binadamu ninahaki ya kuchagua wapi nikaabudu ivyo nikaamua kubadili na kuwa katika makanisa ya kilokole.

Now nimwaka wa pili sasa huwa najiuliza kama uamuzi niliofanya ni sahihi make najikuta naitaji kubadili tena na safari hii naonelea zaidi kuwa mwisilam (dini ninayoipenda zaidi).

Kinacho nisukuma kufanya hivi sio nafata mkumbo hapana ila kunavitu vingi uwa vinanipa mwaswali na hayo maswali yakikosa majibu basi huwa naitaji kubadilisha msimamo wangu.

Nitaepuka kuweka maswali hayo hapa ili nisianzishe mjadala wa kinidi.

Kiukweli kabisa niko njia panda na ukizingatia naelewa pia sio rahisi kumwamini mungu kwa kuto shiriki katika dini yoyote maana utakosa malezi ya kidini japo wengine ufikili kuingia kwenye dini ni kama kujiingiza kwenye jela yako mwenyewe.

Ntashukulu kwa maoni yako mwana jf.
You are BETTER OFF WITHOUT ONE Kamanda. Dini ni chanzo cha Umaskini wa Waafrika wengi. Huhitaji dini kumuomba Mungu. Sali omba in private inatosha. Dini ni Biashara na itakufanya uishi kwa hofu forever wakati watu wanakula mpunga.
 
Habari wana jf leo ninaswala gumu linanitatiza naitaji maoni yenu.

Kama binadamu wengine namuamini mungu.

Ila napata wakati mugumu kuchagua dini ya kuabudia. Nikisema hivyo namaanisha mini ni mtu ambaye napenda kujifunza sana.

Na kijifunza kwanga kumefanya nibadili jinsi ninavyo itizama dini yangu iliyonelea (ukristo)

Nimekulia katika familia inayo abudua kupitia roman Catholic ila miaka mitano nyuma baada ya kujifunza na kuelewa vitu fulani mimi kama binadamu ninahaki ya kuchagua wapi nikaabudu ivyo nikaamua kubadili na kuwa katika makanisa ya kilokole.

Now nimwaka wa pili sasa huwa najiuliza kama uamuzi niliofanya ni sahihi make najikuta naitaji kubadili tena na safari hii naonelea zaidi kuwa mwisilam (dini ninayoipenda zaidi).

Kinacho nisukuma kufanya hivi sio nafata mkumbo hapana ila kunavitu vingi uwa vinanipa mwaswali na hayo maswali yakikosa majibu basi huwa naitaji kubadilisha msimamo wangu.

Nitaepuka kuweka maswali hayo hapa ili nisianzishe mjadala wa kinidi.

Kiukweli kabisa niko njia panda na ukizingatia naelewa pia sio rahisi kumwamini mungu kwa kuto shiriki katika dini yoyote maana utakosa malezi ya kidini japo wengine ufikili kuingia kwenye dini ni kama kujiingiza kwenye jela yako mwenyewe.

Ntashukulu kwa maoni yako mwana jf.
Itoshe tu kusema upo kwenye njia sahihi ya kuachana na huu utumwa wa kifikra unaitwa Mungu na dini zake

Dini hazitaki matumizi sahihi ya akili(Logic) ukianza kutumia logic kwenye dini basi ujue hakuna dini itakayo kua sahihi zaidi ya kuziona ni Hekaya kama za Bulicheka tu

Logically concept ya Mungu kwa dini zote doesn’t make sense at all
Kinachofanyika ni blindly believe……. Accepting God is truly without questions, proof or critical evaluation and ignoring the fact

Kinachotokea kwako ni kwamba akili yako imegoma blindly believing, umeanza kutumia logic kwa kuhoji, kutaka proof, kuchambua na kuzingatia uhalisi ndio maana umeanza kuona dini uliyorithishwa na wazazi inawalakini…… ukienda upande wa pili kwa Mudi ndio hautachukua hata mwaka utaona ni HADITHI tu za alfu lela wa ulela

Karibu kwenye ukweli na uhuru wa kifikra, Mungu ni hekaya tu za kisadikika
 
Back
Top Bottom