Niko njia panda

Niko njia panda

Smile povu la nini? Ushawahi penda wewe? For your info watu wengi wanacheza peku sikuwa na lengo la kuzaa naye imetokea tu na wala sitarajii kuolewa naye
 
Jamani ni mkristo ila swala si ndoa bali mapenzi, na huwezi uchagulia moyo yupi wa kumpenda

na mapenzi ndio hupelekea ndoa..... sasa huyo mme wa mtu utakuwa nae mpaka lini?,,, mkewe akistuka utakaa wapi weyee? ok... zaa nae kapisa ujue na pingu ushajipiga..... na huyo jamaa mwambie ukweli... nimempata mme wa mtu na anamaliza kila kitu....nisamehe moyo umependa ..mwili ukaamua.....dhambi zangu mwenyewe...
 
Azote nimegraduate nikiwa 23 mwezi mei mwaka huu ntakuwa 25
baby mama hebu funguka,huyu mme wa mtu amekuambia ni nini future yenu wewe na yeye?funguka basi usaidiwe na wanajamvi hapa
 
huwa tukisema hapa wanawake hamna akili mnasema tunawatukana ........ona sasa,hivi wewe una akili kweli? yaani umesoma kabisa teana una degree ya miaka minne,bado unafanya ukahaba? unaponishangaza zaidi badala ya kuomba ushauri wa kuachana na mume wa mtu,unaomba ushauri wa kumuacha mpenzi wako(aliye single) kisa tu,yupo nje kwa hiyo unamiss kufumuliwa!!
Hata hivyo sio kosa lako,hii ndio nature yenu nyie jinsia ya pili,wote akili ile ile tu,
Ahsante mungu kwa kuniumba mwanaume!
Poor katlego angekuwa ana akili.maneno haya yangemuingia.Bahati mbaya she is deeply in love with that monster
 
Last edited by a moderator:
mpenzi wako hata yeye sidhani kama anakutaka tena.jiandae tu kuwa single parent. na nyumba ndogo ya jamaa kwa muda.maana ukishanyonyesha matiti yakishalala kama ya mkewe kwako haji tena anatafuta saa sita nyingine.
hivi kweli kwanini unatembea na mume wa mtu? tena una mpenzi? mimi pamoja na kukaa bila mpernzi muda mrefu sijawai kuharibu ndoa ya mtu.
wewe ni ibilisi,mume wa mtu unampa kavu kavu tena kwa kujiachia uhesabu tar wala nini? hivi alikuambia anataka mtoto au wewe kuvuliwa ch ukaamua kuhamia mazima kumletea hadi wajukuu?

Katika wajinga nadhani huyu anawza kuwa kiongozi wao, pamoja na elimu aliyonayo bado hajaonyesha umuhimu wa elimu. Kweli kusoma na kuelimika ni vitu viwili tofauti.
 
Bado siyo point ya kukushauri uendelee na mume wa mtu, miaka 24 ulikuwa hujui ukitembea peku utadungwa na mwiba hadi unaona uvimbe. Achana na mume wa mwenzio ila uombe fedha za kulea mtoto asiye na hatia uliyemzaa kwa sababu ya tamaa zako za mapenzi na kama una uwezo umlee mwenyewe.....Wewe mtoto hakuna haramu mia zinazozaa halali moja..........
nataka kuzaa na wewe aisee
 
Sa nahuyo mume wa m2 anamalengo gan na ww? kama mwenzio ameamua mutumiane tu alafu kila mtu abaki na mpenziwake wa kisheria basi jua we ukimuacha mpenzi wako utajuja tafuta mume ukiwa kikongwe! Me najua we minyege ndo inakusumbua, kinawasha mumeo hayupo mbona angekuwepo ungetulizana tu! Me nakushauri piga game jamaa akirudi achana na game za ugenn! Kiukweli saiv hata me ukinipa usukan utaona nakufaa sana! hilo tatizo la wanawake wengi ndo maanawaislami wanashauri sana tusiwe mbali na wake zetu kwa muda mrefu tunawapa mateso!
 
Smile povu la nini? Ushawahi penda wewe? For your info watu wengi wanacheza peku sikuwa na lengo la kuzaa naye imetokea tu na wala sitarajii kuolewa naye

We kweli una matatizo, sasa nini maana ya kuomba ushauri? Huo ndo ushauri wenyewe.
 
Jamani matusi yenu hayasaidii jamaa amenambia anataka amweleze mkewe, mie nimekubali matokeo nitazaa na kumlea mwanangu kwani wangapi wanazaa nje ya ndoa zao? Its neither the first nor the last
 
Jamani matusi yenu hayasaidii jamaa amenambia anataka amweleze mkewe, mie nimekubali matokeo nitazaa na kumlea mwanangu kwani wangapi wanazaa nje ya ndoa zao? Its neither the first nor the last[/QUOTE
unafikiri ni raisi namna hiyo,eti amweleze mkewe,thubutuuu.Jamaa anakudanganya kweli wewe.na wewe unakubali tu.
 
Habari zenu. Ni mwaka wa tatu sasa niko kwenye mahusiano ya kimapenzi na mume wa mtu.nilikutana naye nikiwa nafanya dissertation kukamilisha mwaka wangu wa nne wa masomo chuoni, yeye alikuwa anamalizia masters yake, hivyo nilikuwa natumia muda mwingi library pale chuoni na yeye alikuwa anafika library kujisomea so katika harakati hizo ndipo tulipokutana na kufahamiana. Alinieleza ukweli kuhusu kuwa na mke na watoto na akaniomba tuwe wapenzi. Nami nilimweleza kuhusu kuwa na mpenzi aliye nje ya nchi kikazi. Sikumkubalia ombi lake nilimtaka tuwe marafiki tu,alikubali ila akanambia yuko tayari kunisubiri hadi hapo nitakapokuwa tayari kuwa mpenzi wake.tulispend some quality time pamoja kama friends hadi tulipograduate yeye akarudi kazini kwake nami nikapata ajira mapema kwa sapoti yake. Mwaka jana mwezi wa pili ndipo tulipo make love for the first time na tukawa wapenzi oficialy na ananipenda na kuniridhisha. Kadri muda ulivyokwenda nilijikuta nafall deeply in love na huyu mume wa mtu. Inshort nimepoteza mapenzi na boy wangu wa awali na nashindwa kumweleza ukweli nikihofia kumuumiza. Wandugu naombeni ushauri niko njiapanda.nimweleze ukweli mpenzi wangu ama nipotezee? NB:Kumwacha huyu mume wa mtu kwasasa haiwezekani.

MY friend you are possessed. Play and apply the original of this. You will be delivered. You can also watch this online: Emmanuel TV - A Christian Television Network by T.B. Joshua



images
 
Smile povu la nini? Ushawahi penda wewe? For your info watu wengi wanacheza peku sikuwa na lengo la kuzaa naye imetokea tu na wala sitarajii kuolewa naye
Unajipa moyo.Usisahau kumwambia akumbuke kukuweka kwenye "WOSIA"."eti watu wengi wanacheza peku", ama kweli akili ni nywele, I wish ningekiona kichwa chako.
 
kwa haraka haraka nimegundua ulikuwa na nyege zilizochanganyikana na dalili za upweke!!!!!!!! USHAURI.... usimwambie sasa hivi huyo BF msubirie arudi kwanza then ujipe muda upya wewe na yeye mapenzi yanaweza kurudi upya, kwa sababu pia hapa naona kuna tatizo la distant love then kama hayatarejea tena umwambie ukweli ila kwa sahv we endelea kumegwa na huyo mme wa mtu.
Huyo mpenzi wangu hayupo nchini kwasasa hivo siyo kwamba nawachanganya
 
Jamani matusi yenu hayasaidii jamaa amenambia anataka amweleze mkewe, mie nimekubali matokeo nitazaa na kumlea mwanangu kwani wangapi wanazaa nje ya ndoa zao? Its neither the first nor the last

Amweleze mkewe kakuambia eeeh! unafikiri mkewe atafurahi eti! unaona kitu rahisi pole sana.
 
Jamani matusi yenu hayasaidii jamaa amenambia anataka amweleze mkewe, mie nimekubali matokeo nitazaa na kumlea mwanangu kwani wangapi wanazaa nje ya ndoa zao? Its neither the first nor the last


Siyo kwamba wana lengo la kukudhalilisha ila unachokifanya hakikubaliki(angalia michango ya watu wote ndo utajua) na kwa vile nyote mmeamua kumuweka mungu pembeni na kumkumbatia shetani mke wa halali nae akiamua kuendeleza ushetani anaweza akatumia ushurikina(nguvu za giza) kupambana na wewe kitu ambacho wanajukwaa hawataki kikukute. Michango yote ina lengo la kukusaidia wewe na siyo mtu mwingine.
 
baby mama hebu funguka,huyu mme wa mtu amekuambia ni nini future yenu wewe na yeye?funguka basi usaidiwe na wanajamvi hapa
Azote, huyu anahitaji msaada wa kiroho.Anafikiri asante ya penzi ni kuzaa na mtu.na wala hiyo mimba sio bahati mbaya, she did on purpose, ili jamaa a-draw attention kwake.Poor katlego, kumbuka ule mwimbo wa Lady JD, "usiusemee moyo".
 
hahahah...yaani huyu mtu amenifanya nianze kuwafikiria mara mbili mbili wanawake, sina uhakika kama kweli akili yake ina uzima...nahisi ana upunguani
anasema yuko njia panda ni ile pale ya himo au marangu mtoni!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom