Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,587
- 235,441
Mimi nilishawahi pigwa exile na dogo mmoja rum tulikuwa wawili tu,tena amenikuta na ndo kalikuwa kanaanza 1st yr.Kuna kipindi jamaa alitaka kunipiga exile, nikagoma. Jamaa alichukia
Chumba ufanye guest house. No
Nyie ndiyo wasababishi. Wakitongozwa tu, wanakubali hata hawezi kumshauri jamaa yake wakafanyie guest house. Tendo linahitaji faragha na usiri
Washikaji wanajua na mwanamke anajua anaenda kuliwa na wala hawaoni aibu
Aibu itoke wapi chief? Hata unaowaonea aibu nao wanakula na kuliwa kila siku piaKuna kipindi jamaa alitaka kunipiga exile, nikagoma. Jamaa alichukia
Chumba ufanye guest house. No
Nyie ndiyo wasababishi. Wakitongozwa tu, wanakubali hata hawezi kumshauri jamaa yake wakafanyie guest house. Tendo linahitaji faragha na usiri
Washikaji wanajua na mwanamke anajua anaenda kuliwa na wala hawaoni aibu
Na sasa hivi pampas zimepanda bei kazi unayo...maziwa ya SMA bei ya kopo ni elfu 45-50 na linatumika kwa wiki moja tu.bado mazaga mengine hapo..pole sana
Mkuu umekuwa mkaliMwanafunzi wa chuo kikuu unajutia kumpa mimba mwanamke?? Au upo certificate mkuu??
Hayo maziwa mnayoongelea hapa Ni maziwa gani?? Ya dukani?? Kwa ajili gani?? Kwa ajili ya mtoto?? Mama yake atakuwa hana maziwa??
Yaani kabisa mtoto wangu umnyonyeshe maziwa ya ng'ombe kabisa serious??
Wanaume acheni upumbavu, watoto wenu wananyonyeshwa maziwa ya mang'ombe mnaangalia tu mnachekelea na huku mama zao hawana matatizo ya kiafya!!!
Kama wewe Ni mwanaume na mtoto wako ananyonyeshwa/alinyonyeshwa maziwa ya ng'ombe wakati mama yake hakuwa na matatizo ya kiafya..WEE MWANAUME NI MATTERCORE..SHITHOLE
Mkuu umekuwa mkali
Acha uzwazwa ww jitutumue lea io mimba na wazee piga panga za maana ukimaliza chuo uone watavyofurah kupata mjukuuHabari wapendwa natumai wote mko poa kiafya.
Na mnaendelea na majukumu ya ujenzi wa taifa naenda straight to the point mimi ni mwanachuo wa chuo kikuu "X" hapa mkoani Dodoma naingia mwaka wa tatu,nilibahatika kumpata mwenza wa first year wa chuo fulani cha mipango.Sasa tumedumu takribani miezi sita majuzi ananiambia amepima na anaujazito wangu.
Aisee nikicheki hata chuo bado sijamaliza kazi sina,nategemea tuhela twa boom(meal and allowance).Nimemwambia asitoe huo ujauzito maana ni dhambi kubwa hata sijui nifanyaje mwenzenu majukumu hayo. Nikiwaambia wazee ndo nitakosa msaada kabisa yaani najuta kumwagia ndani..niko njia panda mpaka nahisi dunia imefika mwisho kwangu..
Ushauri kwa vijana wenzangu msimwagie ndani.
Watu wengi katika jamii tunapenda Sana kulaumu wengine Kama vile sisi pia hatufanyi makosa. Pole Sana kwa Changamoto hiyoI admit ni mistake nimefanya mkuu,ila mkuu hakuna ambaye hajawahi fanya makosa.
Acha kutumia Hisia kuliko akiliii kijanaa...!! Wewe unadhani wanawake wote wana maziwa ya kutoshaaa???? Na pia anaweza akawa nayo ya kutosha lakini anafanya kaziii unadhani mtoto atanyonyooo dyudyuuu yakoo au????[emoji1782]Mwanafunzi wa chuo kikuu unajutia kumpa mimba mwanamke?? Au upo certificate mkuu??
Hayo maziwa mnayoongelea hapa Ni maziwa gani?? Ya dukani?? Kwa ajili gani?? Kwa ajili ya mtoto?? Mama yake atakuwa hana maziwa??
Yaani kabisa mtoto wangu umnyonyeshe maziwa ya ng'ombe kabisa serious??
Wanaume acheni upumbavu, watoto wenu wananyonyeshwa maziwa ya mang'ombe mnaangalia tu mnachekelea na huku mama zao hawana matatizo ya kiafya!!!
Kama wewe Ni mwanaume na mtoto wako ananyonyeshwa/alinyonyeshwa maziwa ya ng'ombe wakati mama yake hakuwa na matatizo ya kiafya..WEE MWANAUME NI MATTERCORE..SHITHOLE
Aibu itoke wapi chief? Hata unaowaonea aibu nao wanakula na kuliwa kila siku pia
Maziwa ya ng'ombe wee umesikia wapi... Hapa inazungumziwaa FORMULA KIJANAA...!! 30000 KOPO LINAKAA SIKU 4[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama na wewe utaruhusu mtoto wako anyonyeshwe maziwa ya ng'ombe ujue na wewe utaingia kwenye kundi la wanaume WAPUMBAVU..SHITHOLE
Pole, hiyo ni mitihani ya kawaida mbona kaka.Habari wapendwa natumai wote mko poa kiafya.
Na mnaendelea na majukumu ya ujenzi wa taifa naenda straight to the point mimi ni mwanachuo wa chuo kikuu "X" hapa mkoani Dodoma naingia mwaka wa tatu,nilibahatika kumpata mwenza wa first year wa chuo fulani cha mipango.Sasa tumedumu takribani miezi sita majuzi ananiambia amepima na anaujazito wangu.
Aisee nikicheki hata chuo bado sijamaliza kazi sina,nategemea tuhela twa boom(meal and allowance).Nimemwambia asitoe huo ujauzito maana ni dhambi kubwa hata sijui nifanyaje mwenzenu majukumu hayo. Nikiwaambia wazee ndo nitakosa msaada kabisa yaani najuta kumwagia ndani..niko njia panda mpaka nahisi dunia imefika mwisho kwangu..
Ushauri kwa vijana wenzangu msimwagie ndani.
CBE ni chuo kikuu?VYOTE KWA PAMOJA,,nipo CBE
Mara paaaaap unapata mapacha wanne!Nina uhakika hiyo machine italala bila kushtuka kwa miaka kumiDaaaaa
kwa nini asiwaambie ndugu? kwani kuna kosa kafanya. Kumpa mimba mtu lazima kuwe na taarifa kwa wazazi kwa pande zote husika. Atakayezaliwa anaunganisha familia nzima tusificheUsimkatae mtoto, usitoe mimba na wala usimkatae mama kijacho. Tumia hilo hilo bumu vizuri utaona faida yake
Lea mtoto na mama yake huenda ndiyo mtoto wako wa kwanza na wa mwisho maana huwezi jua. Angalia biahara gani unaweza fanya ukiwa chuo na baada ya kutoka chuo ili uweze kulea familia yako.
Usimwambie ndugu yako yoyote maana unaweza kuwa ndiyo mwisho wa kusaidiwa kwako, siku ukiona mambo yamekuwa mazuri waambie. Hongera sana Baba kijacho
Mtoa mada kawaambia msimwagie ndani mnamgeuka tena[emoji119][emoji119][emoji119]Bro mbona Kama unatuchang'anya,una omba ushauri au umekuja kutushauri sisi tusimwagie ndani?!
Hahahaha dah sema ule mzigo director mbovuHawa watoto wa shule bhana![emoji316][emoji316][emoji316] View attachment 1577845