The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
si tumekwambia unyamazeeee??
Halafu mbishi kweli huyu
si tumekwambia unyamazeeee??
Nilham umeona eheeee!!!!!
Hebu sema hapa ni kitu gani amabcho sikupi hadi uanze kunifanyia hivyo naomba jibu
uwiiiii hembu usije sema ukweli maana anaweza afe bure hahaha lol
usiseme uongo pia ..
Sema ukweli lakini urefushe kidogo hahahah lol
:redfaces::redfaces::redfaces::redfaces:uwiiiii hembu usije sema ukweli maana anaweza afe bure hahaha lol
usiseme uongo pia ..
sema ukweli lakini urefushe kidogo hahahah lol
sasa ilikuwaje akakwambia wende bila ya nguo mbele ya daraja na ye atakuwa kifuwa wazi akungoja,,,na kifua hicho hicho ndio nnacho lalia mim mwandani wake eeenhee???
uwi baba watoto nilidhani hatuta gombana mbele za watu nini tena hii mpenzi wangu...
dawa ya moto ni moto ngoja sasa
hahahah lol mmmhh bibie ilikuwa niende na nguo lakini
mmhh bibi nyau hapendi nguo
ikabidi nifuate sheria lol
AAAAFFFRRROOODDDDEEENZIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII??
:redfaces::redfaces::redfaces::redfaces:
hahahah lol mmmhh bibie ilikuwa niende na nguo lakini
mmhh bibi nyau hapendi nguo
ikabidi nifuate sheria lol
I'm gud my dear! The life is treating me fairly and I hope you are enjoying everything you are up to?
mmmmhh nini tena kipenzi changu sha roho..
Mie nakupa na zaidi sijui unalalamika nini tena mume wangu...
Mmmhh nilidhani dawa ya moto ni maji lol
huu ndo utetezijamani eeeh ukweli ndo huu liwalo na liwe..........mimi nilikuwa tu namsalimu afro....alafu nikamkaribisha sinza homu kwetu..bahati mbaya kabla hajaja likatokea lijamaa lina ile li avatar la muvi ekta wa marekani sijui ndo denzeli likanizidi ujanja sababu lenyewe lilikuwa lina muhaidi sijui ma hai hill sijui madress mekundu sijui ma lomantaki naiti na makila kitu sasa mimi........mnataka niendelee?
anhaaa!!!!!!!!!! Let me think what i'm gona do,,,,
huu ndo utetezi
anhaaa!!!!!!!!!! Let me think what i'm gona do,,,,
nimeona pana kesi hapa. afrodenzi na nilham naweza baadae nikakuiteni pembeni kwa ajili ya usuluhishi. hashycool na ze fainest mnaombwa kulog out haraka sana ili kuepusha mtafaruku zaidi.