Niko kwenye mood ya malavedavi

Niko kwenye mood ya malavedavi

waona kwa uliyo fanya sweart heart yaani kiasi ulivyomuona tuu waanza kubabaika sasa unachokiogopa ni nini hapa kama kweli hukusema vileeee??? ngoja si keshakuja afrodenz ataniambia ukweli tuu,,, we tulia .japo mahaba nitampa anidokolee yaliyojiri..
haya sasa mpaka naigopa com yangu!
 
Na visu vyako hivyo usije nicharanga mwenzio na krismas nikaikosa
Hivyo sio visu ni kisu na uma,huyu anaonekana michongo yake ni chicken tikka na tanduli,yaani anaonekana ni mpenda chipsi kuku si unaona anavyojiramba!!!
 
vipi kipenda roho changu ??
Nini kulikoni tena lol??

Tuna kesi inabidi wewe na HASHY mtueleze mimi na NILHAM whats going maana mimi nahisi HASHY ananiibia AFRO wangu na NILHAM anahisi anaibiwa HASHY wake hizo appointment za kwenda sinza kwa HASHY jana leo utanileza vizuri hapa, pia na yale maua na perfume ulizompelekea jana
 
khaaaaaa aaafrodeeeenzi ni wewe kweli au macho yangu????? na finest nae keshachomoka nini????? mi nnchotaka ukweli wako mpenzi huyu hash alikwambia mukutane wapi??? halafu kakwambia usiva nguo wala nini ye hapendi ilikuwaje hebu nidokeze tuu na baba watoto wako finest leo mikono juu tangu asubuhii,,,,lakini kwa kkuwa umewasili nafkiri mambo yatakwenda vizuri tuu>>

the Following User Says Thank You to NILHAM RASHED For This Useful Post:

afrodenzi (Today)​
 
ndio kweli kabisa ndugu yangu eti walikuwa waambiana kikao kimekwisha afro amdanganya mwenzie amwambia hatutarudi tena kikaoni,,,,,
tuna kesi inabidi wewe na hashy mtueleze mimi na nilhama whats going maana mimi nahisi hashy ananiibia afro wangu na nilham anahisi anaibiwa hashy wake hizo appointment za kwenda sinza kwa hashy jana leo utanileza vizuri hapa
 
khaaaaaa aaafrodeeeenzi ni wewe kweli au macho yangu????? na finest nae keshachomoka nini????? mi nnchotaka ukweli wako mpenzi huyu hash alikwambia mukutane wapi??? halafu kakwambia usiva nguo wala nini ye hapendi ilikuwaje hebu nidokeze tuu na baba watoto wako finest leo mikono juu tangu asubuhii,,,,lakini kwa kkuwa umewasili nafkiri mambo yatakwenda vizuri tuu>>

hahahahahah lol
mmmhh bibie umeniacha hoi lol
mi TF wangu mwache tu nampaga sawa sawa akiingia huku anachanganyikiwa lol
siunajua tena bibie hawawanaume usipo wapa haswa wataanza mambo yao ambayo hayana miguu wala kichwa lol
Tf nampa mpaka anaacha mwenyewe.. jana nikampa toleo jipya ile ambayo iko kwenye fashion sasa
ndo maana mikono hateremshi lol
mmmmhhhhh Hash C mmhh aliniambia anataka kunionyeshea nyumabani kwao sinza mmhh
lakini huko hata usiende ndugu yangu kuna vitisho huko ni balaa..
 
waona kwa uliyo fanya sweart heart yaani kiasi ulivyomuona tuu waanza kubabaika sasa unachokiogopa ni nini hapa kama kweli hukusema vileeee??? ngoja si keshakuja afrodenz ataniambia ukweli tuu,,, we tulia .japo mahaba nitampa anidokolee yaliyojiri..

ahhh bibie
mi niko hapa na siondoki swali lolote uliza tu ...
mmhhhh leo halali mtu lol
hahahhahaha
 
hahahahahah lol
mmmhh bibie umeniacha hoi lol
mi TF wangu mwache tu nampaga sawa sawa akiingia huku anachanganyikiwa lol
siunajua tena bibie hawawanaume usipo wapa haswa wataanza mambo yao ambayo hayana miguu wala kichwa lol
Tf nampa mpaka anaacha mwenyewe.. jana nikampa toleo jipya ile ambayo iko kwenye fashion sasa
ndo maana mikono hateremshi lol
mmmmhhhhh Hash C mmhh aliniambia anataka kunionyeshea nyumabani kwao sinza mmhh
lakini huko hata usiende ndugu yangu kuna vitisho huko ni balaa..

Nilham unaona huyu mamaa anakimbia kujibu maswali yetu
 
Hivyo sio visu ni kisu na uma,huyu anaonekana michongo yake ni chicken tikka na tanduli,yaani anaonekana ni mpenda chipsi kuku si unaona anavyojiramba!!!
???????????????????????????????????????????????????
 
Tuna kesi inabidi wewe na HASHY mtueleze mimi na NILHAM whats going maana mimi nahisi HASHY ananiibia AFRO wangu na NILHAM anahisi anaibiwa HASHY wake hizo appointment za kwenda sinza kwa HASHY jana leo utanileza vizuri hapa, pia na yale maua na perfume ulizompelekea jana

mmmmmhhh baba watoto nilizani
nguzo yetu ya kwanza ni uaminifu nini tena jamani mmmhhhhh
mbona unanitisha mwenzio hahah lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom