Niko kidato cha tano sijawahi kufanya mapenzi

Niko kidato cha tano sijawahi kufanya mapenzi

hongera hendisamu na Geneous wa kijiji... jitahidi kulinda na bikra ya uani unaweza kujikuta unalinda bikra ya upande moja tu midume unayosoma nayo ikakuona bwabwa....... VITAKUTAFUNA.

asante kwa sijui n ushauri maoni ama mapendekezo
 
Last edited by a moderator:
Wengi hawataamini na kuichukulia kama stori tu lakini huu ndio ukweli wa maisha yangu niliyochagua na ambayo nadhani ni chaguo sahihi linalopendeza machoni mwa mungu na wanadamu.

Umri wangu ni miaka 20 nasoma kidato cha tano katika mojawapo ya shule kubwa Tanzania, ni shule ya wavulana na pia o level nilisoma shule ya wavulana. npo katika uhusiano wa kimapenzi lakini sijawahi kula papuchi tangu nizaliwe kwa kuhofia magonjwa na kushindwa kutimiza ndoto zangu:

I always dream big kwangu sikubaliani na wanaoamini" VIRGINITY IS NOT DIGINITY BUT LACK OF OPPORTUNITY" .opportunity comes on my way maybe bcoz am handsome or else intelligent but I let go since am not ready.

Physically am fit and sexually very active but I got the power to control such desire. It seems that am living happily and without sex. MY CALL TO ALL SONS AND DAUGHTERS OF THIS FORUM WHO ARE STILL IN SCHOOL, DONT YOU SEE IT WISE TO STAY FAR AWAY FROM SEX?

I have seen many students failing to make their dreams come true due to engagement in sex but have never seen students failing due to lack of sex.
yes, am dume zima bado bikira with my future shining brightly but upo wap wewe mla ngono usiye na mbele wala nyuma?

Hujagusa papuchi lakini unapiga 'nyeto? kama sio hivyo utakuwa unachafua matandiko yako mara kwa mara au mbegu zinatoka zenyewe wakati unapojisaidia haja kubwa. Tuweke wazi hapo, maana baada ya kubalehe sperms zinakuwa zinatengenezwa kwenye korodani kila siku ya mungu na nilazima zitoke nje kwa njia yoyote ile (sex, punyeto, ndoto au unapojikamua wakati wa kwenda haja kubwa au unapodisa)
 
Mm ninachoamini mwanafunzi anajielewa anaetaka kufikia malengo yake asingekuwa huku jf tena MMU... ww umekosa pakujitolea bikra.. Sema tu ukweli upewe msaada. Eti najielewa... unajielewa mwanafunzi wa sekondari alafu upo huku.. unafanya nn. kuwepo huku ni zaidi ya kufanya mapenz... Dada zangu msaidieni huyu ... lol
 
acha umbea,unapiga punyeto halafu unajiita BIKIRA....acha usisimizi dogo....jifanye mgumu mwisho uishie na kesi ya KUBAKA watoto....
 
hata mimi ni "handsome boy " lakini nakula papuchi wewe mzembe
 
biashara biasharani
 

Attachments

  • 1418741739499.jpg
    1418741739499.jpg
    60.3 KB · Views: 190
Dogo umeijuaje jf ukiwa na bikra?! Je, hujawahi kupiga nyeto Wewe?
 
acha mapenzi kijana fikiria masomo...wenzako tumeanza hiyo kitu tupo chuo tens mwaka wa tatu..sasa wewe unasafar ndefu kijana.pigs buku utayakuta tu mpaka utachoka
 
Ur not alone.22yrs..still virgin..waiting for right time..right time is when I hv attained my goals
 
Back
Top Bottom