Niko kidato cha tano sijawahi kufanya mapenzi

Nyeto itakuua kijana!! We endelea kujifanya mgumu.
 
Safi sana, ila jua tu IPOCKU utafanya. Timiza malengo yako kwanza kama ulivyopendekeza
 
Inavyoelekea sasa unataka kuzama kwenye mapenzi...........kwa nini unafikiria haya ungali unasoma............?!!
 
Wengi hawataamini na kuichukulia kama stori tu lakini huu ndio ukweli wa maisha yangu niliyochagua na ambayo nadhani ni chaguo sahihi linalopendeza machoni mwa mungu na wanadamu.

Umri wangu ni miaka 20 nasoma kidato cha tano katika mojawapo ya shule kubwa Tanzania, ni shule ya wavulana na pia o level nilisoma shule ya wavulana. npo katika uhusiano wa kimapenzi lakini sijawahi kula papuchi tangu nizaliwe kwa kuhofia magonjwa na kushindwa kutimiza ndoto zangu:

I always dream big kwangu sikubaliani na wanaoamini" VIRGINITY IS NOT DIGINITY BUT LACK OF OPPORTUNITY" .opportunity comes on my way maybe bcoz am handsome or else intelligent but I let go since am not ready.

Physically am fit and sexually very active but I got the power to control such desire. It seems that am living happily and without sex. MY CALL TO ALL SONS AND DAUGHTERS OF THIS FORUM WHO ARE STILL IN SCHOOL, DONT YOU SEE IT WISE TO STAY FAR AWAY FROM SEX?

I have seen many students failing to make their dreams come true due to engagement in sex but have never seen students failing due to lack of sex.
yes, am dume zima bado bikira with my future shining brightly but upo wap wewe mla ngono usiye na mbele wala nyuma?

keep it up!!!
 
Dogo soma acha mbwembwe huku hapakufai!!na hilo nyeto ndio litakumaliza sasa.
 
acha uongo wewe jitu zima. haiwezekani mtu wa miaka 20 uwe darasa la Tano. ulikuwa wapi? ulikuwa kuchunga ng'ombe nini? umri huo wenzio ndo wapo Vyuo vikuu. usilete stori za kitoto hapa. kwanza nani kakuuliza? unajistukia ee? wewe unakula "tundi" acha longolongo zako
 
mwakani mnaingia form two kuna mtihani wa taifa acheni hayo.
 
mm pia npo chuo mwaka wa kwanza nnamiaka 21 cpo ktk uhusiano pia cjwahi ku do
 
Mtoto umejieleza vizuri nami nikupongeze kwa hili lkn bado una safari ndefu mno. Ngoja nikutie moyo vijana kama wewe wapo wengi sema huwajui kwa sababu hawasemi au mtaa unaoishi umeharibika ndo maana huwaoni. so soma na jitunze unyenyekevu achana na kujiita handsome au una miakili hii sio dili sana kwani maisha yana mambo mengi. Usidhani wote wenye maisha mazuri walikua vipanga darasani la hasha . Ushauri kujitunza kuzuri lkn usipende kujilinganisha na yeyote muombe Mungu akusaidie na kukutia nguvu ya kuuishi usafi wa roho na mwili.
 
humbly thanking you brothers. You means a lot to me. God bless you abundantly and exceedingly.

Nawashukuru sana.

wakuu mr rocky & tized ahsante sana kwa kila kitu katika mwaka huu wa 2014 unaoeleekea ukingoni. Mmekuwa marafiki wa karibu sana na nimejifunza mengi sana toka kwenu nyote.

Napenda kuchukua fursa hii kuwatakia kila la heri na baraka nyinyi pamoja na members of your families, relatives and close friends katika maandalizi ya kusherehekea x-mas na mwaka mpya ili msherehekee kwa furaha zote na kuumaliza mwaka huu salama salmini. Pia nawatakia kila heri na baraka katika mwaka mpya wa 2015 uwe na baraka tele kwenu na kila mlitakalo pamoja na familia zenu lifanikiwe kwa kiwango cha juu kabisa.

Ahsanteni sana wakuu.

mkuu bak sitaki kuquote yote ila asante sana mkuu japo tumevamia uzi wa watu ila asante sana kwa ujumbe wako mkuu bak
pamoja na tized ubarikiwe sana sana mkuu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Physically am fit and sexually very active but I got the power to control such desire

Unaelewa ulichokiandika hapo?!

Form six......!!!!
 
Back
Top Bottom